Dr Ulimboka atoa tamko, amtaja Ramadhani Ighondu

Status
Not open for further replies.
Issue hapa nadhani,si TAARIFA kutolewa na Dr.Ulimboka issue ni UWAJIBIKAJI:
-Clip ya Youtube haikuwepo?
-Magazeti hatukusoma?
-Watu hawakusimamishwa kazi mashirika ya simu kwa kutoa taarifa?..Hatukusikia?
-"Tume huru"haikuundwa kwa Dr. Ulimboka's saga?...ilitupa majibu ingawa walikuwa wakilipwa kwa uchunguzi?

Tulitegemea kwa mateso aliyoyapata, taarifa aliyoitoa, kwa maandishi na video..Dr.Ulimboka atasema TOFAUTI na Hicho???!

-Ukweli ni kwamba watanzania tunatumia NGUVU, AKILI, PESA nyingi kuutafuta Ukweli, halafu tukiujua TUNAISHIA HAPO!Kuufanyia kazi "tunadhani" si jukumu letu!

Okay, tunasema amechelewa, amechelewa KITU gani?

great ...well said wasaidie wengi wetu wawe analytical badala ya kukimbilia kuandika comments bila ya kutafakari
 
msimlaumu ulimboka,kama mlishindwa kulisaidia mwanahalisi,hakuna haja ya kumlaumu Dr maana hakuna lolote ambalo tungesaidia zaidi ya kuwa ktk vichalazo na kutoa maoni pasi ya kuchukua hatua
 
Mie nilishasubiri nikachoka... This isn't hot news anymore.... aliacha ikapoaaaa ka msiba watu wameshasahau.....
 
Jamani je baada ya huyu kusema haya na kuhakikisha ukweli ambao ulisababisha Mwanahalisi kufungiwa je litafunguliwa au ulimboka nae atafungiwa? What a beautiful SAGA movie imefika pazuri aiseee hahahhaha hata kama kachelewa ila hapa pazuri tumsikie KOVA

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Tanzania haiishiwi matukio mafupi mafupi yasio na kichwa wala miguu



Tunachezeshwa kama wanasesere!
Mbaya zaidi waandishi wetu wa habari na taasisi zote za kiraia hazina utamaduni wa kuturudisha masijala.
Hivyo tukio likipita limepita hamna kujifunza wala kurejea...
Mtu hakosei akiita hii ni "jamii ya mazuzu"
tunaishi kwa leo, kesho inajitegemea!
 
umaarufu puuuuu! hakuna kitu tena, watu wameluz interest na uli hata madr waliomsaliti wamesahau na wanapiga kazi ile mbaya, interns waliotolewa kafara nao wametupwa chooni,
 
amefanya bad timing. Sasa hivi tuna sakata la kidini, barlow na kadhalika. Tuombe tu ishu yake ifunike haya mengine
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom