Dr Ulimboka atoa tamko, amtaja Ramadhani Ighondu

Status
Not open for further replies.
Hapa hatumtendei haki RAMA (Ighondu)....ni kama tumlaumu C.Ronaldo au Drogba kwanini amefunga goli wakati ile ndio kazi yake!? Au kwanini de gea anadaka, bkoz ndio kazi yake! Hatumtendei haki hata kidogo!
- Alivyorudi kutoka Libya ni nani amekiona cheti chake zaidi ya aliyemtuma? Mnajuaje kama ana "A+" ya kung'oa meno? na "B" ya kutoa watu kucha? na "C" ya kuuwa?!

Wakumlaumu ni aliyemtuma akafanye vile kwa Uli (pengine), sisi sote kupitia kodi zetu ndie tuliempeleka libya akasomee hayo yeye na wengine! Kazi yake ni kama ya mbwa ni kung'ata tu, ishu ni aliyesakizia mbwa kwenda kung'ata!

Yeye tumwacheni jamani...!
 
Mkuu ahsante sana hawa mabazazi lazima waachwe uchi wa mnyama ili dunia iwajue.

FEAR NOT.
 
Hapa hatumtendei haki RAMA (Ighondu)....ni kama tumlaumu C.Ronaldo au Drogba kwanini amefunga goli wakati ile ndio kazi yake!? Au kwanini de gea anadaka, bkoz ndio kazi yake! Hatumtendei haki hata kidogo!
- Alivyorudi kutoka Libya ni nani amekiona cheti chake zaidi ya aliyemtuma? Mnajuaje kama ana "A+" ya kung'oa meno? na "B" ya kutoa watu kucha? na "C" ya kuuwa?!

Wakumlaumu ni aliyemtuma akafanye vile kwa Uli (pengine), sisi sote kupitia kodi zetu ndie tuliempeleka libya akasomee hayo yeye na wengine! Kazi yake ni kama ya mbwa ni kung'ata tu, ishu ni aliyesakizia mbwa kwenda kung'ata!

Yeye tumwacheni jamani...!

Wewe acha zako, elimu hiyo anaitumia vibaya ni sawa na gaenokolojia anapoongoza kutoa mimba badala ya kutibu akina Mama
 
Mkuu multmandalin

Ishu ni kuwa alijituma yeye mwenyewe pamoja na facilities zote za magari ya idara, muda na wenzie kufanya vile au aliagizwa?
 
hapa hatumtendei haki rama (ighondu)....ni kama tumlaumu c.ronaldo au drogba kwanini amefunga goli wakati ile ndio kazi yake!? Au kwanini de gea anadaka, bkoz ndio kazi yake! Hatumtendei haki hata kidogo!
- alivyorudi kutoka libya ni nani amekiona cheti chake zaidi ya aliyemtuma? Mnajuaje kama ana "a+" ya kung'oa meno? Na "b" ya kutoa watu kucha? Na "c" ya kuuwa?!

Wakumlaumu ni aliyemtuma akafanye vile kwa uli (pengine), sisi sote kupitia kodi zetu ndie tuliempeleka libya akasomee hayo yeye na wengine! Kazi yake ni kama ya mbwa ni kung'ata tu, ishu ni aliyesakizia mbwa kwenda kung'ata!

Yeye tumwacheni jamani...!

acha upu.mba.fu wewe, angetumwa kupiga na kuchomoa meno ya mama yake angetimiza amri ya mkuu wake, we mjinga nini au ndo wewe? Demeti.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom