Dkt. Ulimboka amuumbua mmoja wa wahusika wa utekaji wake!

Na tusishangae huyo afande akawa kiongozi au mjumbe wa TUME ya uchunguzi inayotarajiwa kuundwa na Kova
 
Du huyu Msangi, Mpare aliyetoka Dodoma akaenda Moro baadae Dar hii kali naona Dr atawatambua wote wauaji wake na nani kawatuma kwa Dau gani
Dr Ulu ugua pole

Si ajabu kwa yeye kufanya vile. Huyu Msangi alihamishwa Morogoro kwa sababu ya ukatili, rushwa na vile vile kushirikiana na MAJAMBAZI. Ni kati ya Polisi sita waliohamishwa Moro baada ya Polisi mwenzao "ALIYEOKOKA" kuwachomea kuwa hushirikiana na majambazi.
 
Basi atakuwa amepata matatizo kwenye brain , hiyo ni kawaida kwa mtu aliyeumia kichwani kuchanganya habari.
 
Kama vyombo vya usalama vyashiri kufanya uharamia je itakuwaje na wenyewe Wakaingia mikononi mwa madaktari na wenyewe wakiwa wagonjwa hivi hawafikilii hili au wote wataenda India?
 
Mtuhumiwa wa utekaji nyara wa dr ulimboka ni vyombo vya serikali!
Serikali hiyohiyo imeunda tume,mbaya zaidi na kumhusisha mtu (aliye tumwa?) kwenye tume!
Hii ni kumpa kesi ya nyani ngedere aiamue!
 
Dr. Ulimboka anatakiwa apate ulinzi wa kutosha especially kutoka kwa Drs ambao wao wanafahamiana kwa urahisi zaidi kuliko kuacha kila mtu anaingia tu kumuona Dr. Ulimboka bila kueleweka.
 
Mimi hadi kufikia hapa naona wahusika wameshakamatwa.

1. Kama ni kweli wahusika walimpigia simu basi tayari vyombo husika vimeshapata taarifa zao hivi tunavyoongea. Sasa isijekuwa waliokutana na Dr Ulimboka waliompigia simu watu wengine na waliokuja kumchukua wengine.

2. Kama kweli walimteka kwa gari wakaondoka nae na bila kuficha nyuso zao identification ni 100% possible.

3. Kuna kila dalili kwamba Dr alishafanya mazungumzo mara nyingi na hao wahusika walikuwa wanazungumza nini? Je Ulimboka aki stabilize ataweka wazi habari zote? au na yeye ataficha ficha ili tusijue yaliyomsibu? Je hawa waliokuwa wanazungumza nae wanahusiana na wale waliomchukua? ( sio kumteka)
 
Habari hii nani anaweza kuihakikisha , kwani saa ingine uzushi una hasara zake,hapo ndani ulikuwepo peke yako ,mpasie Mwanakijiji hii issue aichunguze ,haifai kupotoshana katika critical condition za amani ya Taifa.
Mkuu hii imetoka kwenye magazeti ya leo. Mia
 
Walikuwa wakimtesa wakitaka aseme kama chadema inahusika. chanzo magazeti ya leo. Mia
 
Kamanda aliyehusika kumtesa Dr. Ulimboka na mmoja kati ya watu wanaounda tume ya kuchunguza unyama aliofanyiwa Dr. Ulimboka ameaibika mara alipoingia chumba alicholazwa Dr. Ulimboka aliweza kumtambua na kumwambia "Nirudishie simu na wallet yangu".

Kamanda alitoka wodini kainamisha kichwa.

Source (Mimi mwenyewe-nilikuwepo)

Umeniacha kando kidogo mkuu ni kamanda wa kitu gani sungusungu,jeshi la polisi, jwtz kwani makamanda ni wengi.
 
Kamanda aliyehusika kumtesa Dr. Ulimboka na mmoja kati ya watu wanaounda tume ya kuchunguza unyama aliofanyiwa Dr. Ulimboka ameaibika mara alipoingia chumba alicholazwa Dr. Ulimboka aliweza kumtambua na kumwambia "Nirudishie simu na wallet yangu".

Kamanda alitoka wodini kainamisha kichwa.

Source (Mimi mwenyewe-nilikuwepo)
Jamani huyu muhusika amefahamika tayari na atatakiwa awataje wenzake.tumeweka vizuri utetezi wetu kwani lazima
atatakiwa kwenye vyombo vya sheria.twahitaji majina yake yote na yuko wapi kikazi na kitengo chake.kwani
kwa unyama huu alioufanya huyu ni wa kunyongwa tu.uzuri kama Dr mwenyewe anawakumbuka.tunaomba sana usiku hadi mchana ulinzi mkali katika wodi yake asiingie mtu asiyefahamika.
Namuomba Mungu wangu,Mungu wa Isaka na Yakobo na akuponye katila jina la Yesu Kristo AMEN.
 
Mbunge mmuja akkisema bungeni koplo wa JWTZ ni eqivalent na Inspector wa Police. Hata wao hawjionei huruma.
 
Natamani kama ningekua askari jeshi,...wallah pangechimbika_ningeua askari polisi wengi tu
 
Hiyo tune ya kuchunguzwa wangewekwa na watu huru kutoka secta binafsi kama Kitengo cha Forensic Auditing pale KPMG!
 
Back
Top Bottom