Dr tafadhari tafadhari sana

Adharusi

JF-Expert Member
Jan 22, 2012
14,402
7,310
Nina dada yangu anamtoto wa mwaka mmoja wa jinsia ya kike..
anatatizo la kustuka anapokua usingizini(usiku)-akistuka uwa analia sana,anambembeleza analala..baada ya saa moja anastuka tena..kazi ni hiyohiyo..Naomba ushauri
"vox populi,vox dei"
 
Tiba ya mtoto mdogo anaye stuka stuka usingizini:

Chukua dawa inayoitwa mvuje, halititi na kibiriti upele zitwange kisha roweka katika maji kwa muda wa saa kisha muogeshe mtoto kwa maji ya dawa asubuhi, mchana, na jioni.Inshaallah ataacha kushtuka. tumia kisha uje hapa unipe Feedback. MziziMkavu Adharusi
 
Last edited by a moderator:

Nashukuru dr wetu..nitaleta mjb
 
Last edited by a moderator:
Mpeleke kwa babu yake Moshi na mbuzi bila kusahau debe la mbege mkirudi mjini atakuwa poa kabisa.
 
Tiba ya mtoto mdogo anaye stuka stuka usingizini:

Chukua dawa inayoitwa mvuje, halititi na kibiriti upele zitwange kisha roweka katika maji kwa muda wa saa kisha muogeshe mtoto kwa maji ya dawa asubuhi, mchana, na jioni.Inshaallah ataacha kushtuka. tumia kisha uje hapa unipe Feedback. MziziMkavu Adharusi

Dr wangu nimeongea na sister,kaniambia haujui Mvuje,Halititi,na Kibiriti upele(ila mi nilihisi labda ni njiti ya kibiriti)
 
Last edited by a moderator:
Dr wangu nimeongea na sister,kaniambia haujui Mvuje,Halititi,na Kibiriti upele(ila mi nilihisi labda ni njiti ya kibiriti)
Mkuu Mvuje kwa kiingereza unaitwa (Asafetida) angalia picha yake hapo chini:

spice_asafetida.jpg

Asafetida Mvuje.

asafoetida5.jpg
asafetida (powder). Haltiti.

kukurt.jpg

Kibiriti Upele Upele kwa kiingereza inaitwa sulfur

Kama upo Dar, nenda maduka ya Wauza Dawa za kiarabu Wapemba yaliyopo Karibu na Soko kuu la Kariakoo Mtaa wa Pemba au Mtaa wa Nyamwezi kaulize hizo Dawa utazipata Mkuu Adharusi La kama haupo Dara chukuwa hizo picha kawaonyeshe wauza Madawa ya Kiarabu popote pale ulipo wewe utapata inshallah tumia kisha uje uniambie umefikia wapi? Give me a Feedback.​
 
Last edited by a moderator:
Hiyo ni tabia iliyojengeka kwa huyo mtoto kujiliza, inawezekana hata mchana kitu kidogo kinamliza. Kushituka shituka usiku mara kwa mara na kulia ni michezo mingi anayocheza mchana ndiyo inamsababishia hivi.
 
Back
Top Bottom