Dr. Steven Ulimboka anarudi leo saa sita mchana

Ulimboka anarudi leo Jumapili saa sita mchana, Ndugu hatuwezi tukaishi kwa uoga siku zote,hata kwenye page ya MAT hao maadui wapo, hakuna namna utakao wapa madaktari taarifa wasijue, hata simu zetu wanarekodi. mimi sioni haja ya kuogopa tena baada ya haya yote yaliyotokea. Twende tukampokee father of Medicine Dr.Ulimboka
 
Habari wadau, kwa taarifa za uhakika Dr.Steven Ulimboka anarudi nchini kesho, Madaktari wote na wadau wote mnaombwa kufika uwanja wa ndege saa sita na nusu mchana kwa ajili ya kumpokea jemedari, mtaarifu daktari mwingine!

Anakaribishwa. Ila akitua tu awaombe msamaha Watz na akahani misiba ya aliowasababishia watangulie mbele za haki kwa upuuzi wake.
 
Sidhani ka ni kweli
Anaingia kesho madaktari wasingesema ila mi nina uhakika kuna watu wa usalama wa taifa pale uwanjani kila siku wakimsubiri mda wowote ule wanajua atarudi
 
Na pia akome upuuzi wake. Mauti zilizowasibu Watz kwa upuuzi wake zitamsumbua akilini mwake anaweza kuchanganyikiwa kwa nafsi Yake kumsuta kuwa Watz wenzake (Kama na yeye Ni mmojawapo?????!!!!!) wamepoteza maisha kutokana na upuuzi wake.
 
karibu sana dr ULIMOBKA (mnyakyusa) MUUAJI WA WAGONJWA MASIKINI WASIO NA UWEZO . tunashukuru mungu na wewe umeonja japo kidogo uchungu wa kifo. karibu tanzania nchi ya amani na upendo.
 
Hbr hii ni nyeti kwa Watanzania!


Source pls!!!!

Hana lolote huyo. ULIMBOKA ni nani mpaka apokelewe airport? Labda waende wabaya wake wakammalize. Watu wengi wana hasira naye, Kuna jamaa wako maeneo ya chamanzi wanasema, Dokta Uli lazima amalizwe kwa sababu amesababishia familia za marehemu waliofarika Matatizo makubwa kutokana na kukosa tiba wakati wa mgomo
 
karibu sana dr ULIMOBKA (mnyakyusa) MUUAJI WA WAGONJWA MASIKINI WASIO NA UWEZO . tunashukuru mungu na wewe umeonja japo kidogo uchungu wa kifo. karibu tanzania nchi ya amani na upendo.
Sasa atakufa, kule si alikuwa anakula kuku kwa mrija, hapa sasa amekuja kwa maadui zake, damu ya maheremu waliokufa kutokana na mgomo nayo itakuwa inamuita, wapo watakapomshauri vibaya na bila ya azizi ataingia mkenge. Lazima mawazo yatamuondoa tu. Umeua kwa upanga , nawe utakufa kwa upanga. Hatumombei iwe hivyo ila mazingira hayo yanalazimu kuwa na imani hiyo.
 
Sidhani ka ni kweli
Anaingia kesho madaktari wasingesema ila mi nina uhakika kuna watu wa usalama wa taifa pale uwanjani kila siku wakimsubiri mda wowote ule wanajua atarudi

Hao watu wa usalama kwani wana ratiba yake mkuu, nakumbuka hata alipokwenda Afrika Kusini hawakuwa na taarifa , iweje ujio wake wawe na taarifa? na kwanza ili iweje. Sidhani kama watu wa usalama wana muda kama huo wa kusubiri mtu aliyekwishajifia.
 
hivi hawa MADAKTARI wa tanzania kazi yao ni nini hasa . au ndio hiyo kazi ya kupeleka watu wakatibiwe india . mimi nawaita MADAKTARI UCHWARA. kazi kutangaza siasa . na kudai mishahara. hivi daktari baada ya kutibu wagonjwa unafuatilia safari za raisi kikwete na posho za wabunge. kama udaktari huuwezi basi omba kazi bunguni au ikulu
 
Anakaribishwa. Ila akitua tu awaombe msamaha Watz na akahani misiba ya aliowasababishia watangulie mbele za haki kwa upuuzi wake.
Roho yenye mapepo ni vigumu sana kuomba Msamaha. Unajua wapambe wake wote ni watu wanfadhiliwa na fedha zinazotokana na FREEMASONS, Hawa akina ANANILEA NKYA, HELLEN KIJO BISIMBA, KUBENEA na MENGI wote hawa fedha zao ni za taasisi hii ya Mashetani kwa hiyo usitemee watu wa aina hii waombe msamaha. Ni roho ambazo zinapamabana na Mungu.
 
Huyu ulimboka hivi anarudi kufanya nini naye anataka kuwapa lawama tu watu
 
Welcome-Home nayo ni siasa! Mweh!
Anyway, Karibu Dr. Ulimboka. Njoo utueleze ukweli.
 
home is home hata kama haki hakuna,karibu na ueleze ukweli juu ya unyama wa serikali ya tanzania isiyojali haki za binadamu
 
karibu kamanda mpiganaji.na pole sana bado tunakuombea upone mapema na kurudi katika hali yako ya kawaida.Ila fanya maombi ya kufunga na kusali ili Mungu awaumbue waliofanya unyama juu yako na jamii iweze kuyashuhudia.
 
Nadhani atarudi na adabu kidogo, atajirekebisha tabia yake, atambue kuwa serikali ipo timamu, kama hajui amaulize chadema Arusha kisago walichopata mpaka sasa wamekuwa wastaarabu.
 
Back
Top Bottom