Dr slaaa na mhe sita nani mkweli...?

sinafungu

JF-Expert Member
Feb 13, 2010
1,524
863
DR Slaa amesema BW S Sita alikkwenda mwemyewe CDM kutaka kujiunga , yeye amejibu walimfuata na baada ya kusoma katiba ya CDM akaona awezi tena kujiunga nao. HAYA NANI ANASEMA KWELI.........?
 
kama kulikuwa na mawasiliano ya simu, muarubaini ni tcra...waende kule tutajua mbivu na mbichi!
 
Back
Top Bottom