Dr.Slaa ziarani Kahama, Mbongwe ,Bukombe

chitambikwa

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
3,941
900
Katibu mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo anatarajia kufanya ziara ya kuimarisha chama mkoani Shinyanga kuanzia Tar.16/04/2012.

Atatembelea pia Jimbo la Mbongwe ambapo atakagua jengo jipya la chama lililo fadhiliwa na Bwana M.Sabodo na kufanya mikutano ya ndani na ya Hadhara. Habari hii imedhibitishwa na uongozi wa Chadema kahama, shinyanga na mbongwe

Leo pia hapa mjini kahama timu ya YANGA (wanandondi) itakuwa hapa kucheza mchezo mmoja ikiwa njiani kuelekea Mwanza kucheza na Wanae Toto Africa
 
Tunashukuru kwa taarifa.
 
Jamani Polisi msituletee habari za Al-Shabaab hapa ili kuzuia kuimarisha chama. Aiseee kwa jinsi CDM ilivyoibana ccm nachelea kusema 2015 ni mbali sana kwa magamba kuendelea kuwepo. Katiba mpya iitishe uchaguzi 2014 tuondokane na hili dubwana once and for all...
 
Kama yupo mwenyewe nitafurahi zaidi kuliko kuwa na yule.manake ni kukiongezea chama gharama zisizokuwa na maana
 
Tena ni bora Chadema wakam2mia huyuhuyu Dk Slaa ktk kukiimarisha chama kuliko Lema maana Dk Slaa ana historia ktk siasa kuliko Lema
 
Kama yupo mwenyewe nitafurahi zaidi kuliko kuwa na yule.manake ni kukiongezea chama gharama zisizokuwa na maana
...tulia unyolewe,mbona umeanza kutetemeka...akitoka Silaa LEMA nae atakuja sasa sijui ndo utakimbia mji?!...
 
Pia atakuja na Geita wiki ijayo kwa ajili ya kufanya mikutano ya ndani na hadhara kuimarisha chama, magamba yakae chonjo.
 
Back
Top Bottom