Elections 2010 Dr slaa yupo?

Makame

JF-Expert Member
Jan 3, 2008
512
60
Naona simsikii sana siku hizi huyu mbunge wa zamani wa karatu. Yupo?
Ana mpango wa kugombea tena urais au atarudi karatu kuendelea na shughuli ya ubunge?
 
Mimi naona tangu agaragazwe na Kikwete mwaka jana; amekuwa low profile sana; ukiachilia vurugu za uchochezi anazofanya za hapa na pale. Anyway, he would have made a better MP and Leader of the Opposition than Kijana Aikaeli.
 
wewe unaishi wapi? juzi tu dk slaa alikuwa hapa jf// kikwete wako yuko wapi? unawasiliana naye?
 
mimi siangalii huko, nauliza atagombea 2015?
Au ashajua kuwa Urais sio ubunge?
 
Back
Top Bottom