Dr Slaa vs Makamba

We must distinguish between speaking to distract/deceive (Makamba) and being silent to be reserved.
 
Shame on Makamba!!!huyu mufilisi unamlinganisha na PhD holder???????????????the most wanted Rapist in the universe
 
Chechekali: Makamba ndio kichwa cha CCM?, ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha aha ha ah aha ha ha aha ha ha aha ha aha ha aha ha aha ha aha ha aha aha ha ah aha aha ha aha ha aha aha ha aha ah aha aha ha ha aha aha na anaaha aha ha haanhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Nadhani ulitaka kuandika Makamba Vs Chatanda kwa Uropokaji. otherwise you can't compare Slaa with Captain Makambakamba.
 
Aisee dr wa ukweli banaaaa.........makambako mropokaji na mpayukaji....domo lake linamuweka mujini...

waungwana kumlinganisha mropokaji makamba na Dr, ni dharau ni sawa kulinganisha m'buyu na mchicha, hata kenyewe katajisifu tukikalinganisha na Dr.
 
yaani unafananisha makamba mwehu na kiongozi watu na makini DR.SLAA?
 
Hata mimi nilipata wasiwasi katika hili, Dr. Slaa hawezi hata kulinganishwa boys to men Kikwete.

Tafadhalini sana, tuwe na heshima na viongozi wetu wenye busara. Tanzania huenda sasa inaheshimika kutokana na Dr. Slaa, sio mkwere na wezi wenzie!
 
makamba mtunzi wa taarabu! apeleke huko huko mipasho yake kwa dr dr dr dr wa kuchongwa mkwere. Dr Slaa hafananishwi na yeyote ktk ccm
 
Back
Top Bottom