Elections 2010 Dr. SLAA USIKUBALI, HAIWEZEKANI UMATI WOTE ULE UKUSALITI!

Magessa78 bado hujakomaa kisiasa, Habari ndo hii...
Kaskazini Chadema imenyang'anyana na CCM afu kusini CCM ikanyang'anyana na CUF afu Central Kidume CCM akatawala, hata kwa mtoto wa darasa la kwanza anaweza kukupa taswira hii, Prezidaa Kikwete oyeeee!!! Wale walofifanya matusi kibao sijui wataweka wapi sura yao@!!!! Upepo umepita wajanja tunaendelea na maisha teheeee
 
rejea umati wote uliokuwa unakulaki,wengine kukuita mussa kuokoa wanaisrael,wengine mkombozi, eti leo unapata kura kidogo namna hii,

sio kweli kabisa eti wajiandikishe watu laki moja halafu wapiga kur wawe elfu arobaini,lazima wamefutilia kura zako nying sana na kuacha za mafisadi.

Kama ni vita wao mafisadi ndio wanaanzisha kwa kuchakachua matokeo,

tanzania bili kitekwe inawezekana!
wasaliti watakuwa mawakala kama walishindwa kulinda kura zao!
 
ni kweli tanzania bila ccm inawezekana,nimejiuliza maswali yasiyokua na majibu kuhusu idadi ya kura za slaa na bado naendelea kujiuliza pls nisaidieni kutatua kura zimeenda wapi?
 
tulikuwa tunafuata helikopta na pia kumwona yule mke wa watu aliyeibiwa


wewe mwenyewe uliyenae unauhakika ni mumuo/mkeo...... au unaongea tu...
Hivi unajua kuna watu wanaishi, kulala, na kula na watu ambao sio wenzi wao sema jamii tu ndio inayowa force kuwa nao???
Ndo maana ukimwi unazidi, cause wanatoka nje na kujilazimisha kurudi kwenye ndoa ambazo hazipo mwisho wake wanauana.....
Bora wa slaa alishindwa kujificha na akaonyesha moyo wake ulipo...........................
unafiki ndo utakao tuuwa watanzania
 
Jamani, acheni utani. Ki ukweli mshindi ni Dr Slaa, ila kuna hila kubwa imefanywa ndani ya serikali ili Jk aonekane ndiye mshindi, wengi wamejitokeza kupiga kura wakimaanisha ki-ukweli kabisa. Hakuna aliyekuwa anafuata Hekopita wala kuona kitu chochote. Ila tu pale tunapoangalia kura za ubunge sana wao wanaendelea kuchakachua kura za Urais na hii ndiyo inayofanyika sana.

Kaka nimepa tick hapo,
haiingii akilini Lema Arusha kachukua 38000 na madiwani kibao leo hii rais apate kura 10,000! Dar hawataki hata kutangaza chadema wameshinda kwa kura ngapi zaidi utasikia Mnyika amekua mshindi akifuatiwa na Hawa. kwa idadi gani hakuna!!!

na huu ucheleweshaji wa matokeo ya ubunge ndo unapelekea hata mawakala kujisahau kwenye kura za urais na kuwaachia wataalam wa urafiki jazz band!!
kitu ingine ambayo ni very important:Elimu kwa mawakala wa vyama hasa upinzani kuhusu nini wakifanye siku ya uchaguzi hawakuipata walipewa wenzao wa chem chem. wao walikuwepo pale kama bendera fata upepo tu.
Mmoja wa waangalizi wa kimataifa katika jimbo la Kawe alipowataka kuhakikisha alichokiandika katika karatasi/form anyo baki nayo ndicho kilichoandikwa katika form inayotumwa tume kabla ya kusign form hiyo walionekana kushangaa na kulalama kwamba hayo maelezo hawakupewa,hivyo wao walikua wakisign tu pasipo kuhakiki.

kwa mtizamo huo ilikuwa rahisi chem chem kufanza mambo zao kiulainiii.
 
Kuwa na umati mkubwa sio kuwa wote watakupigia,wengine hawajawahi kuona helicopta jamani,
Hata chizi akivua nguo watu huwa wengi.
Slaa bado sana hamuwezi Kikwete
Kikwete mtu wa watu
Hongera sana Kikwete
 
mbaazi ukikosa mauwa husingizia jua, matokeo yalipochelewa mkasema yanachakachuliwa, yametoka bila kuchakachuliwa bado mnatafuta jambo lingine,hivi nyinyi kweli mliamini huyo muasi wa kanisa katoliki anakwenda pale kivukoni for 5yrs. jamani hata babati ambapo ni kwao manyara wamemgalagaza, hebu ona mkwele alivyofunika mkaoani kwao, tuache majungu, tumeonyesha kuwa CCm inaweza kutoka madarakani, lakini si uchaguzi huu, lets try next time. huko tulikopata ndipo tulipanda kiukweli hata nguvu zote ziliishia huko kila mtu anajua, kwingine slaa alitua kwa vijidakika. ili kuingoa ccm inabidi tuchimbe mizizi yote
 
Kuwa na umati mkubwa sio kuwa wote watakupigia,wengine hawajawahi kuona helicopta jamani,
Hata chizi akivua nguo watu huwa wengi.
Slaa bado sana hamuwezi Kikwete
Kikwete mtu wa watu
Hongera sana Kikwete

Sio kweli,, mimi ninachojua kikwete mtu wa mafisadi
 
First lady wa kuazima bomba!!! Mimi simpendi huyu aliyekaa ikulu miaka mitano na first lady wa kuchangiwa:nono::nono::nono::nono::nono::nono:....Fikiria kabla ya kuongea maana ukiropoka wakati ya kwako ni ushuzi itakucost!!!!! Ok????:A S-baby::A S-baby:
 
Mpaka sasa wanatangaza matokeo ya Zanzibar na kule ambako CCM ina nguvu. Nina uhakika matokeo yatabalika Zanzibar ikikamilika. Subirini mwone!
 
Jk anaongoza kiukwelii, uchaguzi ni kushinda na kushindwa sintashangaa idadi ikifika ambayo Dr Slaa anaona hawezi kumfikia kumpigia simu bwana mkubwa na kumpongea hizo ndo Siasa.
 
Magessa78 bado hujakomaa kisiasa, Habari ndo hii...
Kaskazini Chadema imenyang'anyana na CCM afu kusini CCM ikanyang'anyana na CUF afu Central Kidume CCM akatawala, hata kwa mtoto wa darasa la kwanza anaweza kukupa taswira hii, Prezidaa Kikwete oyeeee!!! Wale walofifanya matusi kibao sijui wataweka wapi sura yao@!!!! Upepo umepita wajanja tunaendelea na maisha teheeee

Unajiita mjanja eeh, ngoja vurugu itokee Tz uone kama huko uliko watakutaka uendelee kuishi! JK kuendelea KUTAWALA IS A WORST NIGH MARE!
TZ SASA INAHITAJI MAGER reshuffling ili irudi kwenye msitari, and JK has prooved failure!:A S angry::A S angry::A S angry:
ccm has everything in its favor, to make it right but he chose to do wrong, one day will be hold responsible, including u!
waache wachakachue, wapige kura tisatisa per head, but one day, and I repeat, ONE DAY SOMEONE 'LL BE PUT INTO TASK!!!!
 
"Mama Salma kafanya kazi kubwa, naskia Mabere marando anataka amfungulie kesi, kwa kipi? Ikulu kazi. Wengine hawana wake wanataka kwenda Ikulu (Lipumba), wengine wana wake wa kuazima (Dr. Slaa)"- Kikwete
 
brazil kubwa lakini matokeo baada siku moja. nec miaka mitano walikuwa wanajifunza namna ya kuiba kula. aibu sana nadhani wamezeeka mno
 
Nipo Na wewe Mkuu Nakubaliana na wewe kwa 100% nimefanya utafiti wa kutosha kwa takribani mikoa saba nilianzia tanga,moro,iringa,mbeya na ruvuma nimejaribu kutembelea takribani majimbo 17ya uchanguzi kwa sasa hivi nipo mbeya mjini.
inasikitisha saaana bado hakuna mwamko sawa sawa wa elimu ya uraia especially mkoani iringa na ruvuma nadhani ni kweli wanashangaa chopper za wagombea na pia kuna watoto wadogo wadogo walio chini ya miaka 18 wasio na sifa ya mpiga kura wanakuwa wengi saaana katika mikutano ya kampeni inapotosha niliona nilipokuwa moro,iringa (japo ilichelewa kidogo)na mbeya katika mikutano yote ya Dr.Slaa Watoto msishangae iringa nilikuwa nikipita nyumba hadi nyumba lakini ni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom