Elections 2010 Dr. Slaa TV & Radio Ad - First Take

Ila sasa CCM nao wakija na posho ya kazi ngumu na kutaka tuwatengenezee clip bora zaidi inakuwaje....? Au ndio itakuwa kupokea fedha za "kifisadi" hata kama ni za halali?
Mkuu umekuwaje tena? Utakuwa huna tofauti na kama wale wenzetu wa Habari Corp ambao uzalendo unawashinda kwa vile wanapewa keki ambayo inatokana na damu ya watoto,shangazi zao,wajomba hata wazazi wao na marafiki wanaona ni bora kuliko mkate halali. Najua umepima joto tuu sivyo ulivyo.
Hivi mkuu, EL akija na posho ya kazi ngumu umtengenezee clip kuwa ni kiongozi bora na muadilifu na anastahili kuwa Rais sio 2015 tu, hata kesho wewe kama Mwanakijiji itakuwaje?
 
Hivi mkuu, EL akija na posho ya kazi ngumu umtengenezee clip kuwa ni kiongozi bora na muadilifu na anastahili kuwa Rais sio 2015 tu, hata kesho wewe kama Mwanakijiji itakuwaje?

wakati huo akija nikiwa na bills zangu, mtoto mgonjwa, gari halifanyi kazi na mjukuu mgonjwa anahitaji kufanyiwa upasuaji.. unafikiri nitafanya nini?
 
Si haba ila kwa media za TZ kuilusha iyo sidhani kama inawezekana ata kama kwa mamilion ya tshs
 
wakati huo akija nikiwa na bills zangu, mtoto mgonjwa, gari halifanyi kazi na mjukuu mgonjwa anahitaji kufanyiwa upasuaji.. unafikiri nitafanya nini?
Utaenda kwa Chakaza kuomba mkopo usio na masharti yanayoidhalilisha nafsi yako
 
Embu tuulize kuliza tangazo la dakika mbili ni shilingi ngapi halafu tuchange kulirusha tuone litakuwaje?
 
wakati huo akija nikiwa na bills zangu, mtoto mgonjwa, gari halifanyi kazi na mjukuu mgonjwa anahitaji kufanyiwa upasuaji.. unafikiri nitafanya nini?

dnt tell us utachukua, mbona unaanza kututisha, unajaribu kukamulia kidonda kibichi limao, do you think kitakauka au kitazidi kuongeza maumivu?
hongera kwa kazi nzuri mkuu.
 
chadema wangekuwa wanalipa kama CCM we could make some real stuff for them.. lakini ndiyo hivyo tena ukata...

Ila sasa CCM nao wakija na posho ya kazi ngumu na kutaka tuwatengenezee clip bora zaidi inakuwaje....? Au ndio itakuwa kupokea fedha za "kifisadi" hata kama ni za halali?

We mzee sijui tukuelewe vipi??

Hivi uko upande gani, au ndo wale wale??
 
Back
Top Bottom