Dr. Slaa "Tutashinda kwa asilimia...! wakichezea kura patachimbika!"- Masaa 48 kabla ya kura...

Hivi hatuna Independent Observers wakutupa
projections sahihi za uchaguzi?

Dr Slaa ndie wa kutuambia Chedema watashinda kwa asilimia ngapi?
really?

na Mwanakijiji unaona hili sawa kabisa?????
 
Hivi hatuna Independent Observers wakutupa
projections sahihi za uchaguzi?

Dr Slaa ndie wa kutuambia Chedema watashinda kwa asilimia ngapi?
really?

na Mwanakijiji unaona hili sawa kabisa?????
Hujalazimishwa kuamini projection ya Slaa.
 
CDM, lazima tulinde 12% ya kura zetu ili tusijetoka na aibu! Waache CCM wabaki na 88% yao! Uchaguzi ujao tutajipanga tena vizuri...

masikini wanakuja mmoja mmoja wapi kenge wenzako tusubiri mavituz kwa MM....
nakuonea huruma kweli
 
CDM, lazima tulinde 12% ya kura zetu ili tusijetoka na aibu! Waache CCM wabaki na 88% yao! Uchaguzi ujao tutajipanga tena vizuri...

If wishes were horses even beggars would ride . .
 
Nasari atashinda, ila haijulikani asilimia ngapi atapata. Siyoi atashindwa ila CCM watajaribu njia ya kuiba kura. Mbinu hiyo ikishindwa kutatokea moshi mnene na watu watajeruhiwa ...
 
aliekwambia naamini projection ya Slaa nani?

au wewe unafikiri nchi zenye utamaduni wa kuwa na independent polls na projections ni wajinga?
Mapovu ya nini, ni hivi acha waamini wanaoamini projection ya Slaa na wewe amini projection unayoiamini kuna nyingine ya Rejao unaweza kuifuata.
 
Mmmmmmmh kwa style ya CDM nasikia harufu ya !!!!!!!!!!!! mambo sivyo ndivyo!!! na chenga iliyopigwa leo ya kukabidhiwa kwa Ardhi na CDM kutojipanga kimkakati wa dhamira ya kufa na ushindi mchawi atatafutwa!...
 
Wengine hufaidika, Wengine wanap[otezaa, Wengine huwadangaaaanya wenzao, kutaka ...............
Mkui naona umenipata sawia! Wakati tunaambiwa tu tune kwa mwanakijiji nilikuwa nime tune RFA nikawa napata za kale na Ngolimba wa Ngolimba akawa anaasa juu ya Magenge!
 
Hivi hatuna Independent Observers wakutupa
projections sahihi za uchaguzi?

Dr Slaa ndie wa kutuambia Chedema watashinda kwa asilimia ngapi?
really?

na Mwanakijiji unaona hili sawa kabisa?????
Swali la msingi sana mkuu umeuliza!kama mwanakijiji analiona hili la slaa kutoa projections za uchaguzi ni sawa basi ni wazi mahaba yatakuwa yamezidi elimu!
 
Mmmmmmmh kwa style ya CDM nasikia harufu ya !!!!!!!!!!!! mambo sivyo ndivyo!!! na chenga iliyopigwa leo ya kukabidhiwa kwa Ardhi na CDM kutojipanga kimkakati wa dhamira ya kufa na ushindi mchawi atatafutwa!...
Mkuu hilo linaweza lisiwe tatizo kubwa kwa CDM; tatizo la CDM ni watu gani wanahudhuria na kukusanyika kwenye mikutano yao wengi wao wanatoka Arusha mjini na tarehe 1 hawataweza kupiga kura. Hivyo CDM wanaweza kushangaa kwamba mikutano yetu ilikuwa ikihudhuriwa na watu wengi lakini imekuwaje kura hazikutosha.
 
Mapovu ya nini, ni hivi acha waamini wanaoamini projection ya Slaa na wewe amini projection unayoiamini kuna nyingine ya Rejao unaweza kuifuata.

Unawachoresha wenzako!hutakiwi kuwa profesa kujua umuhimu wa independent observers katika kutoa projections za uchaguzi!kuna wakati mapenzi weka pembeni acha akili ifanye kazi!huyo mleta mada mwanakijiji mwambie arudi hapa na ajibu kama slaa kutoa projection ya uchaguzi anaona sahihi ama la na kwanini?
 
Swali la msingi sana mkuu umeuliza!kama mwanakijiji analiona hili la slaa kutoa projections za uchaguzi ni sawa basi ni wazi mahaba yatakuwa yamezidi elimu!
Hivi lile jukwaa lenu la wauza sura wenzako na mashauharo wenzako hamna topic za kuchangia?.......hapa is too old for you young Man.
 
Jambo la ajabu kabisa yaani sisi tupo Tanzania ndipo kwenye uchaguzi wa mdogo wa Arumeru tunasubiri Breaking News kutoka Marekani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom