Dr. Slaa: tunaye Rais asiyependa kusemea matatizo ya wananchi

Aya angeandika "vituo vya mafuta vifunguliwe haraka iwezekanavyo" ungekuja kusema dr. Katema cheche... We badalaka hizo nguvu kutumia kwa EWURA unamlaam mtu asiye na dola. Watu walishatoa mapendekezo juu ya nini kifanyika kuhusiana na bei ya mafuta nchini kupitia bajeti ya kambi ya upinzani, jana bungen watu wamesema wana mpaka ushahid wa watu wa serikalin wamepokea rushwa kuhusu sakata hili, hakuna lolote lililofanyiwa kazi. Wadanganyika bwana...!
Kwa hiyo kwa mtizamo wako unataka nani afanyie kazi kero za watanzania, kama si wapinzani? Hivi kwa mtizamo wako kazi ya wapinzani ni nini? Tunawahitaji zaidi wapinzani wakati wa crisis kama huu. Wao wanatakiwa watujie na majibu mbadala na waiagize serikali kutekeleza. Hivi unajua kwamba wapinzani wakitaka wanaweza kumwondoa Kikwete magogoni? Unafikiri yeye Kikwete haogopi? Kwanini wasitumie nguvu yao hii kuiagiza serikali kutelekeleza mambo yenye maslahi kwa wananchi as fast as possible?

ebu nijibu wale wawakilishi wa kambi ya upinzani jana pale bungeni katika mjadala wa dharula, Zito na Mnyika walikuwa wametoa nn pale? Ni pongezi ama n nn?

Kwani hata JK aliposema yeye siyo wingu alidanganya? Haya ndo ninayoyakataa hapa, kwanini mtu atoe hoja ambazo hazina suluhisho ilihali kwa nafasi yake anaweza kufanya zaidi ya hapo?
Changes begin with you,...... shut down your computer ingia mtaani na sio upo nyuma pc yako na glass ya wisky halafu unategemea nani afanye movement huku wewe ubanduki JF?

Dr Slaa kwenye wall yake ya facebook anaandika hivi:
"Tunaye Rais asiyependa kusemea matatizo ya wananchi wake. Matatizo wanayoyapata Wananchi kwa sasa ni matunda ya uongozi mbovu usiojali maslahi ya wananchi wake".
Kwangu mimi hii si kauli ya msingi ya kutolewa na Dr Slaa. Sisi wananchi tunalijua hilo, na haisaidii kutueleza hayo hivi leo, tunataka atupe suluhu ya hayo matatizo na si blabla hizi ambazo hazina mshiko kwetu. Watu tunaumia halafu upinzani wanaleta story kama hizi? Ni nani atakayesimama, kuwasemea wananchi, kama chama kikuu cha upinzani ndo kinapiga porojo badala ya kutenda.
Ulitaka chama kikuu cha upinzani kifanye kazi za rais akizishindwa?
Wapinzani kamwe hawana jukumu la kukisaidia chama tawala kufanya kazi zake.
Kazi ya upinzani ni kukiondoa chama tawala madarakani ili waweze kuongoza nchi.
Ili kufikia lengo hilo upinzani utaikosoa serikali na kuifanya isikubalike tena.
Ni jukumu la serikali kujitetea kwa vitendo kwa wananchi;SI KUJIBISHANA NA UPINZANI.

Kwani hata JK aliposema yeye siyo wingu alidanganya? Haya ndo ninayoyakataa hapa, kwanini mtu atoe hoja ambazo hazina suluhisho ilihali kwa nafasi yake anaweza kufanya zaidi ya hapo?

hata bbc walishangaa, kwa mtu mwenye akili mgao ulitambuliwa mwaka 2001 na ukatokea kweli mwaka 2006 mpaka leo hii, unafikiri jibu lake litamfanya mwananchi anayeteseka akubaliane na hali hiyo? Kama rais amesema hivyo hata watendaji watamchukulia vp? Endapo njaa ikitokea akasema yy c shamba utaona kweli ehh? Maaamuz mengine yapo mikononi mwako!

Changes begin with you,...... shut down your computer ingia mtaani na sio upo nyuma pc yako na glass ya wisky halafu unategemea nani afanye movement huku wewe ubanduki JF?

hapo umemwambia ukweli. Thanx. :)

Ulitaka chama kikuu cha upinzani kifanye kazi za rais akizishindwa?
Wapinzani kamwe hawana jukumu la kukisaidia chama tawala kufanya kazi zake.
Kazi ya upinzani ni kukiondoa chama tawala madarakani ili waweze kuongoza nchi.
Ili kufikia lengo hilo upinzani utaikosoa serikali na kuifanya isikubalike tena.
Ni jukumu la serikali kujitetea kwa vitendo kwa wananchi;SI KUJIBISHANA NA UPINZANI.
Kama upinzani utakuwa na mtizamo huo ni dhahiri kwamba hakuna atakaye uchagua huo upinzani kushika dola, kwa kuwa hakuna atakayeona faida yake. Upinzani utakaokubalika na wananchi ni ule ambao unasymphasize matatizo ya wananchi. Action kama za akina Tundu Lisu wakati wa mauaji ya Nyamongo ndizo zinazowapa credit wapinzani. Lakini hizi story za nani hawezi nani mbaya haziwapi credit wapinzani hata kidogo.

Changes begin with you,...... shut down your computer ingia mtaani na sio upo nyuma pc yako na glass ya wisky halafu unategemea nani afanye movement huku wewe ubanduki JF?
Mkuu Saigon, with due respect, naomba niwe mpole katika hii kauli yako. ALthough ningependa sana niwe ndiyo chanzo cha mabadiliko, lakini sina uwezo wa kufanya hivyo kwa kuwa I am no body katika nchi hii. Mimi ni kama sisimizi tu. Lakini mheshimiwa slaa akipiga mbiuu kuita watanzania wote tukusanyike makao makuu ya miji yote ya nchi hii tayari kwa kupinga serikali hii ya kidhalimu, everybody will be there. Mimi lukolo hata nikawaambia tu rafiki zangu tutengeneze mabango tuandamane wataishia kunicheka. Ndiyo maana nilitamani Slaa atoe kauli zaidi ya hiyo aliyoitoa. Angefanya hivyo nisingesita kuacha kila kitu ninachofanya, niende kuungana naye huko. Maana sina kazi sasa hivi nyumbani kwangu. Nimejiajiri kwenye kazi ya welding na kwa sasa imesimama kutokana na kukosa umeme. Nina nini kilichobaki sasa kama si kwenda kuimba mapambio barabarani ya kumtaka kikwete aachie ngazi?

Kwa hiyo kauli aliyosema inatusaidiaje watanzania? Kwanini asingenyamaza kimya kama ndiyo hivyo? Tatizo watanzania tuna ushabikii wa kijinga. Mkipenda kitu basi mnakisifia tu hata kama ni kibovu. Na hilo ndo lililompa kura nyingi Kikwete mwaka 2005. Hata pale ambapo wanaomfahamu walisimama kusema the guy is Silly, watu hamkusikia wala kuelewa. Sasa ukijiuliza hapa unapinga nini, unaweza kujibu kitu gani? Kutuambia sisi kwamba Kikwete hana uwezo wa kusemea matatizo ya wananchi, kumemaliza vipi tatizo la mafuta, umeme, maji na mengineyo Lukuki? Think aloud guy. Usikurupuke tu.

Wewe ndio unakurupa tu na ushamba wako,JE SLAA NDIO ANAKUSANYA KODI? kwa hiyo slaa hatakiwi kuongea lolote kuhusu kikwete kwa sababu zipi?au kwa uelewa wako mdogo unafikiri kodi zinaenda kwa slaa?useless kabisa wewe tena usirudie kutoa pumba kama hizo.NYAMBAFU.

ebu nijibu wale wawakilishi wa kambi ya upinzani jana pale bungeni katika mjadala wa dharula, Zito na Mnyika walikuwa wametoa nn pale? Ni pongezi ama n nn?
Wala sijui kilikuwa ni nini, maana sijaona matunda ya hayo waliyosema whether ni pongezi au laana.

Wewe ndio unakurupa tu na ushamba wako,JE SLAA NDIO ANAKUSANYA KODI? kwa hiyo slaa hatakiwi kuongea lolote kuhusu kikwete kwa sababu zipi?au kwa uelewa wako mdogo unafikiri kodi zinaenda kwa slaa?useless kabisa wewe tena usirudie kutoa pumba kama hizo.NYAMBAFU.
Hahahaaaa, safi sana mkuu. Nimeipenda hiyo narrow thinking yako. Kwa hiyo kama serikali itakusanya kodi na kwenda kufanyia starehe upinzani watabaki tu wanakodoa macho? Nilikuulizeni mwanzoni, kazi ya upinzani ni nini kama si kuikosoa serikali na kuhakikisha inatumia vizuri rasilimali za nchi? Kwa hiyo wewe kwa mtizamo wako unaona kazi ya slaa ni kutueleza sisi sifa za kikwete? Ni lipi usillolijua wewe kuhusu Kikwete?

Kwa hiyo kauli aliyosema inatusaidiaje watanzania? Kwanini asingenyamaza kimya kama ndiyo hivyo? Tatizo watanzania tuna ushabikii wa kijinga. Mkipenda kitu basi mnakisifia tu hata kama ni kibovu. Na hilo ndo lililompa kura nyingi Kikwete mwaka 2005. Hata pale ambapo wanaomfahamu walisimama kusema the guy is Silly, watu hamkusikia wala kuelewa. Sasa ukijiuliza hapa unapinga nini, unaweza kujibu kitu gani? Kutuambia sisi kwamba Kikwete hana uwezo wa kusemea matatizo ya wananchi, kumemaliza vipi tatizo la mafuta, umeme, maji na mengineyo Lukuki? Think aloud guy. Usikurupuke tu.
Unasahau kuwa Dr Slaa nae ni mtanzania kama wewe na wengine hapa JF....akisema sana wanamwita mropokaji nanyie mkokimya akiitwa majina ya ajabu ajabu kama unatambua mchango wake ukiona wanamzihaki unachukua hatua gani, Dr Slaa anachokifanya kwa sasa ni kuwaamsha watanzania, watanzania ndiyo wana jibu nini kifanyike siyo yeye mfano unaambiwa hayo ni mavi usile wewe unafakamia au anatokea mtu mwingine anakwabia haya siyo mavi ni kababu hapo unataka Dr. Slaa afanye nini....hata hivyo subiri kesho kwenye mkutano hapa Arusha nadhani atayasemea maswala haya ya umeme nk hawezi kuyaacha nitamshangaa...

Hahahaaaa, safi sana mkuu. Nimeipenda hiyo narrow thinking yako. Kwa hiyo kama serikali itakusanya kodi na kwenda kufanyia starehe upinzani watabaki tu wanakodoa macho? Nilikuulizeni mwanzoni, kazi ya upinzani ni nini kama si kuikosoa serikali na kuhakikisha inatumia vizuri rasilimali za nchi? Kwa hiyo wewe kwa mtizamo wako unaona kazi ya slaa ni kutueleza sisi sifa za kikwete? Ni lipi usillolijua wewe kuhusu Kikwete?
Lipi ambalo Dr Slaa hajalisemea tatizo la umeme amelisema sana tu, kama kazi ya chama cha upinzani ni kuikosoa serikali na wewe mwananchi kazi yako ni ipi mfano wameongelea swala la posho, mashangingi wewe umewasapoti kwa lipi...lazima na sisi wananchi tuwasaidi wanasiasa hawa wanatuamsha...

Unasahau kuwa Dr Slaa nae ni mtanzania kama wewe na wengine hapa JF....akisema sana wanamwita mropokaji nanyie mkokimya akiitwa majina ya ajabu ajabu kama unatambua mchango wake ukiona wanamzihaki unachukua hatua gani, Dr Slaa anachokifanya kwa sasa ni kuwaamsha watanzania, watanzania ndiyo wana jibu nini kifanyike siyo yeye mfano unaambiwa hayo ni mavi usile wewe unafakamia au anatokea mtu mwingine anakwabia haya siyo mavi ni kababu hapo unataka Dr. Slaa afanye nini....hata hivyo subiri kesho kwenye mkutano hapa Arusha nadhani atayasemea maswala haya ya umeme nk hawezi kuyaacha nitamshangaa...
Well, sasa unajua kwamba Kikwete hana uwezo wa kuyasemea matatizo ya wananchi. Kama mwananchi wa kawaida uamuzi gani unachukua hivi sasa wakati nchi ikiwa bado ipo kwenye crisis ya umeme na mafuta? Haiwezekani katika nchi ya watu milioni 40 kila mwananchi akawa anafanya maamuzi!! Yeye kama kiongozi wetu anao uwezo wa kuiagiza serikali kwa niaba yetu imalize tatizo lililopo nchini kabla hatua tata hazijachukuliwa na wananchi.
Hata hivyo nitafurahi kama kesho atatoka na kauli ya msingi regarding hali iliyopo nchini

Wapi Lipumba?wapi Hashim lungwe? Wapi Mzirayi? Wapi mbatia?wapi cheyo?wapi Mrema? Hao vp kutoa tamko hadi dr.slaa aamue ye ndo mwenye dola?mwenye dola mwenye dola mwenyewe kashindwa kutoa tamko alafu unamlaumu dr.slaa

Back
Top Bottom