Dr Slaa tunakusubiri UHURU

halafu eti unajiita mwanafalsafa..nyambafu!!mwanafalsafa huwa hana pumba kama unazotoa..
 
hawezi kumoa mke wa mtu, sihitaji kuwa pa wake ili nilijue hili. Hii naifanya bila kuajilriwa ila kwa mapenzi yangu kwa nchi yangu ili watu wawajue watu wanataka kuwaongoza. Kama unataarifa nyingine za chupi za mbowe, mnyika,zitto na wengine nipe nitazisambaza kwa juhudi na nguvu zoote.

mbona unazihitaji chupi za wana cdm pekee? Nakushauri ukitaka kufanya udaku anzia kwa kakayo jk kwani umaarufu wake kwa madenti unajulikana na bila kumsahau makamba anayo historia alipokuwa mwalimu mkuu. Slaa yeye kapata mwenza mtu mzima ( of legal age!) na hatujamwona akihangaika na wabinti wa kiarabu!(bintiye rostamu?)
 
As much as I respect Dr. Slaa I don't think he will be the leader of changes in Tanzania. Sisemi kwamba hana nafasi yake. La hasha. Ila kwangu mimi naona ni mtu mwingine kabisa ambae ata kuja kuongoza ukombozi wa kweli. Si vibaya lakini kwa sababu hata kupigania uhuru hakuanza Nyerere japo historia inaonyesha yeye ndiyo kiongozi wa mkakati wa kudai uhuru.

Mwanafalsafa mageuzi ni kazi ya kupokezana vijiti kama marekani ubaguzi ulianza kupigwa vita long time kuanzia Martin Luther king, Malcom X na wengine hadi leo kuna Rais wa kwanza mweusi. Kazi ya ukombozi aliyoianza Dr wa ukweli si lazima amaliza yeye lakini hadi alipofikia ni hatua kubwa sana. Tunamheshimu na kumshukuru Prezidaa wa ukweli
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom