Elections 2010 Dr. Slaa tufahamishe shughuli za kutuongoza Watanzania kila siku

Watanzania

JF-Expert Member
Jul 7, 2009
727
42
Ni jambo la wazi kuwa Watanzania wengi waliokupigia kura mwaka huu 2010 wanahamu kubwa kusikia kutoka kwako juu ya shughuli zako za kila siku za kutuongoza watanzania katika kuiendeleza nchi yetu. Dr. Slaa umebeba morali ya watanzania kiasi kwamba uongozi wako kwa watanzania unahitajika kila siku. Hivyo hata kama utakuwa umebanwa sana na shughuli tunaomba uandae utaratibu wa kiofisi ili kila siku tufahamu shughuli za kisiasa unazofanya katika kusaidiana na watanzania kuleta mabadiliko ya uongozi katika nchi yetu kwa ajili ya maendeleo ya wananchi wa taifa letu. Mungu ibariki Tanzania.
 
Mwenye kufahau Dr. Slaa yupo wapi na anafanya nini atufahamishe, ni muhimu kujua hili.
 
dr slaa yuko dar,na anaratibu shughuli za chama pale makao makuu ikiwa pamoja na kukusanya evidence zenye uhakika ili aweze kutoa tamko kwa watanzania.dr slaa ni katibu mkuu wa chadema na ndiye mtendaji mkuu wa chama.kwa hiyo ana mambo meng ya kufanya kwa watanzania.na bado ataendelea kuwakaba ccm kwa kuwa yeye ni kiongozi mkuu wa chama.
 
Asante kwa taarifa, mwambie yeye ni zaidi ya Katibu wa Chadema, Watanzania wanahitaji kujua shughuli zake za kisiasa angalau moja anayofanya kwa siku, na pia kujua yupo wapi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom