Dr.Slaa sasa amtaka Kikwete ajiuzulu kuhusiana na sakata la DOWANS

Dogs never leave until chased! Hawezi kuondoka, madaraka anayapenda mno, atayalinda kwa gharama yoyote!

Chonde chonde, tujipange, kwa nguvu ya umma atasalimu amri tu. Rais mwenyewe omba omba tu huku anaacha rasilimali zetu zikiibiwa na hao anaowaombaomba!
 
Back
Top Bottom