Dr.Slaa sasa amtaka Kikwete ajiuzulu kuhusiana na sakata la DOWANS

Sitaki kubishana na Dar es Salaaam kwa sababu watu watashindwa kutofautisha nani kichaa kati yangu na yeye.
 
Hawawezi kuunga Mkono hawa Wabunge wa SI SISI AIM wanafiki !
Hata wakiambia Wabunge wote wa s isi em mtanyweshwa sumu leo ......utasikiaa....NDIOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOH!
Wabunge wa sisisi aim leo mtachapwa vinboko sita sita utasikia................NDIOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOH!
Wabunge wa sisi em leo kwa siku nzima ya kikao hakutakuwa na chai wala lunch...utasikia..NDIOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOH
Wabunge wasisi aim wakiambia serikali imeamua iwanyime umeme wananchi kwa mwezi mzima mfululizo utasikia...NDIOOOOOOOOOOOOOOOOOH!
HAWA NDIO WABUNGE WA CHAMA CHETU '' chama cha kipindupindu daima'''
 
DAR ES SALAAM ni kichaa ameingia JF ! Akamatwe jamani arudishwe MIREMBE Hospital....Ametoroka WODI ya vichaaa....Baaada ya Muuguzi kufikiria amepona kumbe Kichaa bado kabisa!
 
Aliechanganyikiwa si unamuona? Mara leo hili, kesho lile! Au hujamjuwa bado?
 
Mrema sasa tumetambuwa kuwa kusema kwake hovyo alikuwa na matatizo ya kisukari bila mwenyewe kujijuwa, baada ya kugundulika na kuanza kupata tiba, akili yake imetulia na sasa anachapa kazi ya Ubunge vizuri kabisa.

Silaa, inaonyesha ana matatizo ki-afya, wasiwasi wangu yasije kuwa ni makubwa kuliko yale ya Mrema.

Sasa hizi ni hang-over za kushindwa kwenye uchaguzi au?

Nawaomba wana Chadema mumpeleke Hospitali, isije kuwa alipoanguka kule Mwanza tatizo si mkono tu, pengine alijigonga na kichwani? Na kuna kauvimbe ka damu kanafanya mawasiliano ya kichwani yawe si sahihi.

Haya anayosema anayajuwa, mbona wakati wa kampeni hakuyatumia? Au ule mgongo wa kichwani ulimfanya ayasahau?

Namshangaa, kwanza alisema Kikwete mmiliki haijapita hata wiki anatuambia Kikwete anahusika? Mara Kikwete anajuwa, sasa ni nani aliyekuwa hajui kuwa baaday ya kushindwa Richmond mkataba wakaukwaa Dowans?

Au alikuwa na ka-pasenti kwenye kampuni fulani hivi iliokosa hiyo tenda na au tenda zingine? Au ni kuwa tu Ranchi imekufa? Na ndio inamfanya achanganyikiwe?

Nashindwa pa kumuweka! Mtu mzima hovyo!

Eti kwa maneno ya mitaani! Au kiswahili kinampiga chenda? Hajui maana ya Kizabizabina, kama hajui, ngoja tumpe somo kidogo hapa.

Kizabizabina linatokana na lugha ya kiarabu, kama ilivyo asilimia kubwa ya maneno ya kiswahili. Na ina tokana na neno "Kidhab" yaani "muongo" na neno "Kadhabin" (wa) "waongo". Kwa hiyo maana yake kamili ni "Muongo wa Waongo".

Leo haya maneno alivyoyabadili within a very short time, kutoka "mmiliki" kwenda "anahusika" inaonyesha ni kivipi huyu mtu ni kizabizabina! Anachakachuwa hata matamshi, kama si muongo ana matatizo baada ya kuanguka chooni Mwanza.
Hata baada ya Mwembeyanga mulisema maneno kama haya ila sasa hamrudii tena maana kila jambo hadharani na mkaishia kushtakiana kwa baadhi yenu. Hili nalo mmeanza kukejeli kwa kuanzia na Salva na nyie wengine lakini kama kawaida yake Dr penye ukweli harudi nyuma na ndilo mtakalo liona 2011, Na umma wa waTZ unamuunga mkono katika jambo hili.

Kuna mambo makuu mawili katika suala hili la Dowans, eitha, Rais ni mtu anayekula deal za kitapeli dhidi ya nchi yake anayoiongoza na inayomtunza yeye na familia yake na/au Rais ni mtu asiye mfatiliaji/asiye jali/mzembe au anayeona sio vema kuwaudhi maswahiba wake na kuwaacha wafanye watakalo.

Sababu hizo zote hapo juu zinamnyima sifa mtu kukalia kiti kikuu cha utumishi wa Umma nchini. Na kwa sababu kuwepo katika ofisi ile sio maandiko matakatifu ambayo hayabadiliki, anatakiwa aondoke kwa hiari yake au kwa tamko la wananchi kupitia wabunge wao kwa mujibu wa sheria.
 
Hakyamungu mpaka mtachanganyikiwa safari hiii...... sisi tutabana hapohapo... najua hakukaliki huko.... yaani wewe mama, nikuambie ukweli HII NCHI MKWERE HAITAWALI TENA KWA AMANI... sisi tunae tu ..na mtatumwa sana

Yaani ww ndio J**ha kweli kweli, haitawali wakati anaendelea kuitawala, nani Rais wako ? nani amiri jeshi wako mkuu ? kodi unayolipa kwenye biashara na mshahara wako nani anaichukua ? hayo yote yanakujulisha nani mtawala wako kiongozi wako. Aliyechanganyikiwa ni Slaa, kwenye uchaguzi ulio huru na wa haki ameshindwa, anataka nn sasa ? akae kimya tu watanzania hatukumchagua, tulio wachagua ndio wako madarakani hivi sasa.
 
Hata baada ya Mwembeyanga mulisema maneno kama haya ila sasa hamrudii tena maana kila jambo hadharani na mkaishia kushtakiana kwa baadhi yenu. Hili nalo mmeanza kukejeli kwa kuanzia na Salva na nyie wengine lakini kama kawaida yake Dr penye ukweli harudi nyuma na ndilo mtakalo liona 2011, Na umma wa waTZ unamuunga mkono katika jambo hili.

Kuna mambo makuu mawili katika suala hili la Dowans, eitha, Rais ni mtu anayekula deal za kitapeli dhidi ya nchi yake anayoiongoza na inayomtunza yeye na familia yake na/au Rais ni mtu asiye mfatiliaji/asiye jali/mzembe au anayeona sio vema kuwaudhi maswahiba wake na kuwaacha wafanye watakalo.

Sababu hizo zote hapo juu zinamnyima sifa mtu kukalia kiti kikuu cha utumishi wa Umma nchini. Na kwa sababu kuwepo katika ofisi ile sio maandiko matakatifu ambayo hayabadiliki, anatakiwa aondoke kwa hiari yake au kwa tamko la wananchi kupitia wabunge wao kwa mujibu wa sheria.

Huo umma wa wa Tanzania mbona haukumpa kura za kutosha kuwa Rais?
 
Yaani ww ndio J**ha kweli kweli, haitawali wakati anaendelea kuitawala, nani Rais wako ? nani amiri jeshi wako mkuu ? kodi unayolipa kwenye biashara na mshahara wako nani anaichukua ? hayo yote yanakujulisha nani mtawala wako kiongozi wako. Aliyechanganyikiwa ni Slaa, kwenye uchaguzi ulio huru na wa haki ameshindwa, anataka nn sasa ? akae kimya tu watanzania hatukumchagua, tulio wachagua ndio wako madarakani hivi sasa.

Waambie kweli hao, hawaelewi!
 
Sitaki kubishana na Dar es Salaaam kwa sababu watu watashindwa kutofautisha nani kichaa kati yangu na yeye.

Ukibishana na kichaa wewe ni kichaa

Mimi huwa sibishani naye upupu wake sisomi Yeye(Dar es salaam) MS, MAggid na wengine
 
Nani kupeleka HOja bungeni ya Rais KUJIUZULU?

Tundu Lissu??

Mnyika??

Mbowe?

Godbles lema??

Halima Mdee?
 
Mrema sasa tumetambuwa kuwa kusema kwake hovyo alikuwa na matatizo ya kisukari bila mwenyewe kujijuwa, baada ya kugundulika na kuanza kupata tiba, akili yake imetulia na sasa anachapa kazi ya Ubunge vizuri kabisa.

Silaa, inaonyesha ana matatizo ki-afya, wasiwasi wangu yasije kuwa ni makubwa kuliko yale ya Mrema.

Sasa hizi ni hang-over za kushindwa kwenye uchaguzi au?

Nawaomba wana Chadema mumpeleke Hospitali, isije kuwa alipoanguka kule Mwanza tatizo si mkono tu, pengine alijigonga na kichwani? Na kuna kauvimbe ka damu kanafanya mawasiliano ya kichwani yawe si sahihi.

Haya anayosema anayajuwa, mbona wakati wa kampeni hakuyatumia? Au ule mgongo wa kichwani ulimfanya ayasahau?

Namshangaa, kwanza alisema Kikwete mmiliki haijapita hata wiki anatuambia Kikwete anahusika? Mara Kikwete anajuwa, sasa ni nani aliyekuwa hajui kuwa baaday ya kushindwa Richmond mkataba wakaukwaa Dowans?

Au alikuwa na ka-pasenti kwenye kampuni fulani hivi iliokosa hiyo tenda na au tenda zingine? Au ni kuwa tu Ranchi imekufa? Na ndio inamfanya achanganyikiwe?

Nashindwa pa kumuweka! Mtu mzima hovyo!

Eti kwa maneno ya mitaani! Au kiswahili kinampiga chenda? Hajui maana ya Kizabizabina, kama hajui, ngoja tumpe somo kidogo hapa.

Kizabizabina linatokana na lugha ya kiarabu, kama ilivyo asilimia kubwa ya maneno ya kiswahili. Na ina tokana na neno "Kidhab" yaani "muongo" na neno "Kadhabin" (wa) "waongo". Kwa hiyo maana yake kamili ni "Muongo wa Waongo".

Leo haya maneno alivyoyabadili within a very short time, kutoka "mmiliki" kwenda "anahusika" inaonyesha ni kivipi huyu mtu ni kizabizabina! Anachakachuwa hata matamshi, kama si muongo ana matatizo baada ya kuanguka chooni Mwanza.

Una akili kweli wewe, unastahili PHD ya Mipasho
 
mkwere hawezi jibu hoja ya dowans kwani ni mnafiki na ni mmoja ya wana genge hilo la wezi, pia ngeleja kutetea malipo hayo hasa hiyo ndio kazi yake alioutumwa na rostam azizi na mamvi kwani tunajua wao ndio walimtoa vodacom alipokua mwanasheria tena fara tu kama wengine na kumtuma akagombee sengerema then akapewa wizara hiyo nyeti ili alinde migodi na maslahi ya watu hao. Mkwere moto wake ni ule atakaoungua friaun, hudu na samud. Jahanam ya chini kabisa.

Duu, kweli umefilisika kihoja aisee, wewe na Slaa hamna tofauti, mmechanganyikiwa vibaya sana kwa kushindwa uchaguzi ulio huru na wa haki. Sasa kila kukicha sababu haziishi, pole sana ugonjwa mliopata yabidi muende hospitali mkapate tiba, hamko sawa sawa kabisa
 
Hawa watu watu wanatufanya sisi wajinga siku tutakapoanza kushika mapanga na kuwafuata walipo ndo watajua kuwa tunataka uhuru wetu

:frusty::frusty::frusty::smash::smash::smash::smash::director::director::laser::laser::doh::cheer2::cheer2::cheer2::fencing::fencing:
 
Ukibishana na kichaa wewe ni kichaa

Mimi huwa sibishani naye upupu wake sisomi Yeye(Dar es salaam) MS, MAggid na wengine

Hao ambao huwasomi ndio Great Thinkers sasa humu jamvini, huwezi kuwafikia kamwe kwa hoja zilizo na hekima na busara
 
Back
Top Bottom