Dr Slaa - Rais Wa Moyo wangu

Giddy Mangi

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
831
184
Hakika hakuna utakalonieleza kuhusu Dr Slaa na urais ambao alipewa na Watanzania tarehe 31st Oct 2010.Kumbuka hakika nilizunguka Tanzania yetu hii kipindi chote cha Kampeni nikaona maajabu watanzania wanamwona Dr Slaa wanatoa machozi kwa furaha.Hakuna jinsi utanieleza eti tarehe 31October 2010 hawakumpatia Dr Slaa kura.Nilipata fursa pia ya kufuatilia matokeo kwenye vituo ukweli ni kwamba kila mahali hata Kituo cha majumuisho Masaki na Osterbay Dr Slaa alikuwa anaongoza.Kwa miaka mitano sasa hadi 2015 Dr Slaa ndie rais wa moyo wangu.
 
Hahahaaha, hongera Mangi kwa kutokubali kushindwa. Walisema asiyekubali kushindwa si mshindani.
 
hakika hakuna utakalonieleza kuhusu dr slaa na urais ambao alipewa na watanzania tarehe 31st oct 2010.kumbuka hakika nilizunguka tanzania yetu hii kipindi chote cha kampeni nikaona maajabu watanzania wanamwona dr slaa wanatoa machozi kwa furaha.hakuna jinsi utanieleza eti tarehe 31october 2010 hawakumpatia dr slaa kura.nilipata fursa pia ya kufuatilia matokeo kwenye vituo ukweli ni kwamba kila mahali hata kituo cha majumuisho masaki na osterbay dr slaa alikuwa anaongoza.kwa miaka mitano sasa hadi 2015 dr slaa ndie rais wa moyo wangu.

dk. Slaa rais wangu
 
Hahahaaha, hongera Mangi kwa kutokubali kushindwa. Walisema asiyekubali kushindwa si mshindani.

Kushindwa kihalali sawa ila kuibiwa hakukubaliki. Iko siku siyo mbali utakuja kujua nguvu ya umma ni nini na wizi ni kitu gani. Po tu vuta subira
 
hakika hakuna utakalonieleza kuhusu dr slaa na urais ambao alipewa na watanzania tarehe 31st oct 2010.kumbuka hakika nilizunguka tanzania yetu hii kipindi chote cha kampeni nikaona maajabu watanzania wanamwona dr slaa wanatoa machozi kwa furaha.hakuna jinsi utanieleza eti tarehe 31october 2010 hawakumpatia dr slaa kura.nilipata fursa pia ya kufuatilia matokeo kwenye vituo ukweli ni kwamba kila mahali hata kituo cha majumuisho masaki na osterbay dr slaa alikuwa anaongoza.kwa miaka mitano sasa hadi 2015 dr slaa ndie rais wa moyo wangu.

hakuna kama yeye KIBOKO CHA MAFISAD WAKIAMKA TU WANAANGALIA MAGAZET YOTE KUMUOGOPA BABA SLAA HAKIKA WEWE NI RAIS WA MOYO WANGU
 
We love you Dr Slaa .........You will be always in our hearts and in our minds! Keep on fighting for out Belovend and unique country Tanzania !
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom