DR. Slaa, Rais Jakaya Kikwete- Dam Dam!.

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,467
113,571
Wanabodi,
Kwa mlioangalia local TV zetu za bongo leo, Rais Jakaya Kikwete na Dr. Wilbrod Slaa wameonekana waki walk, hand in hand, bega kwa bega na kuwa karibu kwa wakati wote with genuine smiles kwenye nyuso zao, hali iliyowafanya kuonekana kama marafiki wa siku nyingi, na ni watu wanaopata na kuelewana sana, kwa kifupi walikuwa dam dam.

Hali hiyo imeshamiri leo katika matembezi ya vodacom kuchangisha fedha za kutibu fistula kwa kinamama katika hospitali ya CCBRT ambapo rais JK alikuwa mgeni rasmi, na mwenyeji wake ni Dr.Slaa ambaye ni Mwenyekiti wa bodi ya hospitali hiyo!.

My Take.
"Mahali ni pazuri, ndugu wanapokaa....
Wananifanya nakuwa na amani sana moyoni mwangu.
Amani, utulivu, ustawi na mustakabali wa taifa hili, unawategemea sana, wawili hawa!.

Pasco.
cc40.jpg
 
siasa za upinzani zinapanuka hapa Tanzania lakini bado watu wengi hawana moyo wa uvumilivu na uungwana katika siasa,upinzani sio uadui,kukinzana sio kugombana,tofauti za kisiasa sio chuki na ugomvi!"siasa kwa maendeleo yetu" Napongeza taswira iliyonyeshwa leo na viongozi wenye ushawishi mkubwa katika taifa letu!taifa mbele,taifa kwanza!
 
Unajua nimecheka niliposoma hii thread....i smell haka ni ka thread ka uchokozi.Ngoja waje sasa hivi watu wapo kwenye party..weekend hii
 
Wakati mzuri kwa watu mhm ktk taifa kuwa pamoja,kazi anayoifanya dr.slaa ktk ccbrt mh.rais ameitambua na kuunga mkono juhudi zake,wamefanya kazi nzuri ya uhamasishaji lakini pia ndiyo maandalizi ya kukabidhiana ikulu yanavyoanza.watakuwa ktk furaha ya aina yake pale jk kwa moyo mweupe atakapo mkabidhi dr.slaa nchi,huu ndiyo mwanzo mzuri wa demokrasia ya kweli.wanajamvi tujifunze pia uvumilivu ktk siasa!
 

Ndo tushatoka huko kene hizo party na tumelewa unasemaje sasa???

Huyu JK sasa hivi amejifanya mpole kwa kuwa hazina haina hela, mweupe kama demu akihitaji kitu kutoka kwa mumewe ni lazima awe mpole, sasa ngoja mwezi ujao pesa za BAE zije utaona kama atakuwa na muda wa kuwa close na wapinzani!? ni safari kwa kwenda mbele.
 
kwn hata ka wakwe hawaelewan ukitokea msiba hawawezi kushirikiana unazan?

C umeona hapo baba mwana akicheka kinafiki anajua kabisa huyu mtu kanizidi akili sema m mbinu tu ndo zinanipa backup imekuaje amekuwa ndo mkurugenzi wa bodi hapa ccbrt.
 
Kama shida yako ilikuwa ni picha hii, sasa ni kiherehere gani kilichokupeleka Kilombero kwenda kupalamia makaburi ya watu!! hapa ndio unapaswa ujifunze kwamba vitu vingine vinakuja automatically na sio utakavyo wewe.
 
Back
Top Bottom