Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
akikaza buti atafunilkka blog la michuzi lile lishaoza
mungu tusaidie tubadilishe hii nchi, na watanzania wengi wampigie kura Dr SlaaIngia kwa francis godwin upate kujua kinachoendelea kwenye ziara ya dr slaa,njombe
Francis Godwin ni mzee wa matukio daima
Na mazishi yatafanyika trh 31/10/2010 kwenye makaburi ya NEC.taarifa zimfike,jakaya kikwete akiwa singida,slma kikwete akiwa manyoni,ridhiwan kikwete akiwa iringa,kinana akiwa maakao makuu ccm lumumba dar,miraji kikwete mweka hazina wa kampeni za babake,makamba wa bumbuli,ndg,jamaa na marafiki wa rais anayemaliza muda wake
Habari za kuaminika ni kuwa Dr Slaa atakuwa akifanya mikutato ya kampeni katika mji wa kyela kesho tar 3-10-2010. Kabla ya mikutano ya Dr slaa itakayofanyika vijijini, atafanya mkutano mkubwa Kyela mjini. Wote wenye mapenzi mema na Tanzania mnapaswa kuja kumsikiliza.
.......Ahahahahahahaaaaaah!!!!!!!!Na mazishi yatafanyika trh 31/10/2010 kwenye makaburi ya NEC.
OMG!!!!:tonguez:Na mazishi yatafanyika trh 31/10/2010 kwenye makaburi ya NEC.
Na mazishi yatafanyika trh 31/10/2010 kwenye makaburi ya NEC.
Mrema kwa ujuha wake alishindwa kuifanyia kazi imani hii kubwa ya wananchi juu yake akawa anaharibu kila aendake ndo maana IKALA KWAKE
Sijapata kuona mwanasiasa mwerevu na mwenye hekima kama Dr. Slaa. Ni mtu anayeipenda Tanzania kwa moyo ndo maana hakupanga kugombea lakini alipoombwa alijitolea. Huyu ndiye Nyerere aliyemsema kwamba Ikulu haikimbiliwi ni mzigo. Lakini leo tunaona who is dying for IKULU. nakuambia Dr. Slaa asingeombwa kugombea wala asingejitokeza kamwe ila kwa kuwa tumemtaka achukue hatamu za kutuvusha hapa tulipo kwenda kwenye tanzania bora basi amekubali na anaifanya vyema kazi yake.
Sijapata kuona kwa mara ya kwanza kuona vyombo vya dola vikifanya kazi kwa maslahi ya watawala kama sasa. Siamini kwamba TISS wametumwa mikoani kwa ajili ya maslahi ya CCM. inaonesha nani ananufaika na watawala wabovu. sio viongozi peke yake bali kuna kundi kubwa nyuma yake ambalo ndo wanufaika wakubwa wa uongozi mbovu nchi hii. kumbukeni Kagoda, Deep Green, Meremeta, Mwanancho Gold et all.
kikwete akishinda naingia msituni... nani yuko nami!