Dr Slaa: Nionyesheni hati ya muungano ili nami niutambue muungano!

Maadui huwa wanafurahia sana hii kitu; DIVIDE AND RULE!! Badala ya kufikiri jinsi gani AFRICA yote iungane, tunaanza kushabikia kutengana!

karibu to our world, having a sense belonging everywhere, we denounce sense sense of belonging somewhere(be it religious,geographical,racial,tribal space) as a cause of major problems of the world.
 
Unaona sikujua hilo jamani mi kwa kweli Dr Slaa huwa anatusaidia sana Watanzania kutujuza mara kwa mara tusichokijua na hasa yale makubwa kwa msitakabali wa Taifa letu.
 
Sometimes watu wasipende kujipatia umaarufu kwa vitu vidogo. Siku zote alikuwa wapi asiyaseme haya? Mbona miaka yote ameshiriki sherehe za muungano? Huyu mzee naona anazeeka vibaya. Ni kiherehere gani kilimpeleka Uzini kama hautambui Muungano.

Dr Slaa kwa hili inabidi awaombe radhi viongozi wote wa CDM wanaotokea Visiwani.
Wewe rafiki yangu, siku utakayokuja kujua kwamba unatumika watakuwa wamekutumia mpaka masaburi! Mbona huulizi kwanini Ripoti za CAG daima zinaonyesha madudu lakini ni Bunge la juzi tu ndio limezikomalia? Kila kitu kinakwenda kwa mpangilio. Na ili kuhoji baadhi ya mambo ambayo CCM wanataka kutuaminisha kwamba hayohojiki ni lazima kwanza ujue watu kwa wakati huu wanauelewa kiasi gani, otherwise wanaweza kutumia ubabe wao kukutia kizuizini kama Mhaini na kwasababu watu walikuwa bado hawajaamka ingekuwa ni vigumu kwa huko nyuma kupata sapoti kama ilivyo sasa.
 
Sometimes watu wasipende kujipatia umaarufu kwa vitu vidogo. Siku zote alikuwa wapi asiyaseme haya? Mbona miaka yote ameshiriki sherehe za muungano? Huyu mzee naona anazeeka vibaya. Ni kiherehere gani kilimpeleka Uzini kama hautambui Muungano.

Dr Slaa kwa hili inabidi awaombe radhi viongozi wote wa CDM wanaotokea Visiwani.

Kwani shida iko wapi ukionesha hiyo hati kwani muungano ni siri!?
 
Dr Willibrod slaa ameiomba serikali imuonyeshe hati ya muungano ili autambue muungano.Akiongea na waandishi wa habari leo amesema watanzania tuache unafiki na badala yake hati ya muungano inatakiwa ionyeshwe hadhali ili watanzania wa ione na kama inaitaji kufanyiwa marekebisho basi ifanyiwe.
Akimalizia mahojiano amewauliza waandishi kama kuna miongoni mwao aliyewahi kuiona hati hiyo ya muungano.

Chanzo:star tv.

Inamaana imefishwa?then why?kunani hapa???

Baraza la wawakilishi wameiomba zaidi ya mara sita ili ijadadiliwe barazani lakin bila mafanikio.

Sijui kama Slaa watamwonyesha japo nakala. Lakin kumbukeni WaZnz hawajaiona na wala kuijadili.

Hapo tu ndipo unapoweza kuona tofauti ya Dr. Slaa na viongozi wengine! Akiongea kitu anakufanya ufikiri, hongera sana Dr.
 
Propaganda za viongozi wa sisiem ni za kishetani na za kuleta umaskini kwa wabara. Wako kama wachawi na kama watanzania hatutaamuka tutaendelea kuzama kwenye dimbwi la umaskini. Mungu atusaidie kuwatambua kwani in real sence they are witches and wizads.
 
Hii hoja ni pevu sana! Kama tuliwahi kuonyeshwa miiko ya uongozi wakati wa Azimio la Arusha; tunauziwa/sambaziwa Katiba ya nchi ili wananchi wapate kuielewa na kuijadili, inakuwaje hiyo Hati ya Muungano isiwekwe wazi?
 
Discussions on the union were conducted very secretively. From the archival materials and the statements of those who were in the ‘corridors of power’ at the time, it would appear that not many people in the Tanganyika government or the Zanzibar Revolutionary Council knew what was happening. Apart from Nyerere and Karume, the only other people who might have been privy to those discussions were Rashidi Kawawa, Oscar Kambona, Job Lusinde, Abdallah Kassim Hanga, Abdul-Aziz Ali Twala and Salim Rashidi.

When these discussions were at an advanced stage, Nyerere is said to have called in his attorney-general at the time, British expert Roland Brown, and asked him to draft a union agreement without anybody knowing. In the case of Zanzibar, the attorney-general, Wolf Dourado, is said to have been sent on a one-week ‘leave’ and instead a Ugandan lawyer, Dan Nabudere (according to his own account which was corroborated by Babu), was brought in to advise Karume on the draft submitted by Tanganyika. Both Brown and Nabudere were present in the Karume-Nyerere discussions. One can speculate that one reason why Dourado was not involved was because he was ‘inherited’ from the previous ZNP/ZPPP (Zanzibar Nationalist Party-Zanzibar and Pemba People's Party) regime and the revolutionary government was hesitant to involve him in such a sensitive matter.

Hata hapa Prof H Othman anaonyesha kitu. Jamani si mjiweke wazi tu. Muungano ni mzuri na hakuna haja ya kuwa na sirisiri.
 
Huyu mzee ni janga la kitaifa aisee,juzi eti alitoa siku saba kwa rais,sijui zimebaki ngapi sasa,tunasubiri kuona atakachofanya.....!

You guys are so funny.Hivi kati ya JK na Dr Slaa nani Janga la kitaifa? Ukitaka kuitetea CCM lazima uwe na akili ya Maiti
 
Dr Willibrod slaa ameiomba serikali imuonyeshe hati ya muungano ili autambue muungano.Akiongea na waandishi wa habari leo amesema watanzania tuache unafiki na badala yake hati ya muungano inatakiwa ionyeshwe hadhali ili watanzania wa ione na kama inaitaji kufanyiwa marekebisho basi ifanyiwe.
Akimalizia mahojiano amewauliza waandishi kama kuna miongoni mwao aliyewahi kuiona hati hiyo ya muungano.

Chanzo:star tv.

Inamaana imefishwa?then why?kunani hapa???

CHADEMA kutoutambua Muungano wakati huo huo tunaendesha siasa Zanzibar ikiwa ni pamoja na kupiga Kampeni na kusimamisha wagombea wetu ni u-mbu mbu mbu au ni uvamimzi katika nchi ya kigeni?
 
Muungano kati ya nani na nani? Hepu angalia, mahesabu ya muungano

Tanganyika + Zanzibar = Tanzania + Zanzibar

Sasa hivi hesabu za mwalimu mbona hazieleweki?
Labda alikua na mpango wa kubadilisha jina la Tanganyika kuwa Tanzania. Nasema hivi coz Zanzibar ina bendera yake, na rais wake mwenye mamlaka kamili.
 
wakatafute kwenye document za mwalimu za siri,
labda ndo watakuta huko maandishi ambayo bila
shaka hata sahihi hazitakuwepo.
 
Kilichokosea hunyoshwa kwa nguvu zaidi ya ile iliyokosea, nguvu hiyo haiwezi kuwa serikali bali ni wananchi
 
Dr Willibrod slaa ameiomba serikali imuonyeshe hati ya muungano ili autambue muungano.Akiongea na waandishi wa habari leo amesema watanzania tuache unafiki na badala yake hati ya muungano inatakiwa ionyeshwe hadhali ili watanzania wa ione na kama inaitaji kufanyiwa marekebisho basi ifanyiwe.
Akimalizia mahojiano amewauliza waandishi kama kuna miongoni mwao aliyewahi kuiona hati hiyo ya muungano.

Chanzo:star tv.

Inamaana imefishwa?then why?kunani hapa???

RED - Point to be noted!

sikuhizi CDM wanaongea point!..
 
We unashangaa hlo, hata mawaziri walio wengi naamini hawawahi kuuona huo waraka
Slaa, yaani leo ndio unaomba hati ya muungano umekaa bungeni miaka mingi hata siku moja ujaomba hati.

Halafu nakushangaa utaki muungano wakati unagombea urais mgombea mwenza wako alitoka Zanzibar kupitia huu muungano.

Kwa nini mnakaa na mbunge wa Zanzibar Raya Ibrahimu ambae katokana na huu muungano.

Na wewe si ndio ulituambia mnakubalika Uzini sijui ulikwenda Zanzibar kufanyaje wakati huu muungano hautambui.
 
Dr Willibrod slaa ameiomba serikali imuonyeshe hati ya muungano ili autambue muungano.Akiongea na waandishi wa habari leo amesema watanzania tuache unafiki na badala yake hati ya muungano inatakiwa ionyeshwe hadhali ili watanzania wa ione na kama inaitaji kufanyiwa marekebisho basi ifanyiwe.
Akimalizia mahojiano amewauliza waandishi kama kuna miongoni mwao aliyewahi kuiona hati hiyo ya muungano.

Chanzo:star tv.

Inamaana imefishwa?then why?kunani hapa???

Hapa ndipo napataga wasiwasi na uwezo wa huyu mzee wa kufikiri, huwa anajiona ana akili sana kuzidi wengine, kumbe ni mweupeeeee kuzidi hata karatasi. Jiheshimu mzee, watu wameanza kukuchoka
 
Back
Top Bottom