Deodat
JF-Expert Member
- Sep 18, 2008
- 1,274
- 272
If you think you are big tree we are small to cut you down.
DR.SLAA ni makini kuliko hoa mafisadi unaowanadi
Thank you for this useful post!
If you think you are big tree we are small to cut you down.
DR.SLAA ni makini kuliko hoa mafisadi unaowanadi
1) Hakuna ushahidi wa kura kuibiwa (ndio maana nasema huu ni ubabaishaji na uzushi). Tatizo ni kwamba watanzania tunapenda sana majungu, uzushi, umbeya baseless. Just because he was met by big crowds in campagn meeting haimaanishi kuwa zile ni kura - Unajuaje watu walikuja kusikiliza anachosema alafu wameamua vinginevyo
2) Nani kasema ukisoma sana ndio unakuwa kiongozi mzuri - Going to school is necessary but not a sufficient condition/qualification kuwa kiongozi bora. Hata mimi nataka CCM waondoke lakini Dr. Slaa is using a wrong strategy - He is being overzealous about kuwa Raisi. Nimekuwa disappointed sana na huyu jamaa ana mambo ya kuiga. That is why I am taking this position.
wapumbavu wakikutana kwenye upumbavu wao kitakachotokea ni taabu
huyu jamaa aliyeleta hiyo thread ni wa jinsia gani?kama ni wakike anamtaka slaa na kama ni wa kiume basi hapo sijui kwa sababu hiyo ki2 anayotaka kumpadr sina uhakika kama anatumia maana ni m2 wa mungu yule.labda nimshauri huko ccm ndipo kuna wateja wengi wa hiyo kitu.
Polekama inawasha sana.
Hapa ndipo washabiki hawa wa wakoloni weusi mnaponiacha hoi. Hivi inaingia kwenye akili ya nani kwamba kwa wapinzani watu wanaenda kusikiliza tu, wanasukuma gari na kushangilia halafu hawaendi kupiga kura? Hebu fanya utafiti kati ya watu waliompigia Dr na waliompigia hilo jambazi la uchakachuaji ni wepi kuna kundi la watu waliosoma na wenye uelewa?
Hizi ni propaganda zinazotumiwa kuhalalisha wizi wa kura. Ikumbukwe ukweli mwishoni mwa kampeni watu walokuwa wanaudhuri mikutano ya dokta walikuwa mara mbili au tatu au sawa na Kikwete kulingana na eneo.
Sisi wanamageuzi mwaka huu tumepiga kura hamuwezi kusema hatujapiga. Tumemchagua Dr NEC wakatuletea hicho KILAZA JK.
Hivi inaingia akili ya nani mtu aibe kura kwa makusudi halafu tuwashangilie? Hii inadhihirisha kuwa hawakutegemea itakuwa hivi walitegemea watachakachua kama siku zote na tukawashangilia tu. Kama dokta Slaa angeenda kumshika huyo mwizi mkono sisi wanamageuzi angetudisapoint make ingeonekana wanatuchezea makida.
Naheshimu mawazo yako lakini siyakubali. Dr Slaa yuko, hana papara na hamlambi mtu mguu kama hilo ndo ulitegemea halipo. Ndio maana watanzania wazalendo na wasomi tunamwamini.
If you think you are big tree we are small to cut you down.
DR.SLAA ni makini kuliko hoa mafisadi unaowanadi
KURA ZIPI zilizoibwa, u ppo, mbona mnashadadia mambo yasiyo na msingi, haitowezekana upinzani kuingia ikulu endapo haitajikita vijijini, na kuitaka Tume itoe elimu ya kutosha kwa wapiga kura, waTz tupo mil 40, rais anachaguliwa na watu mil 5, dis aint democracy, na PIA wingi wa wahudhuriaji kwenye kampeni sio ishara ya idadi ya watakaopiga kura, msifanye ule usemi wa "ARTIFICIAL EDUCATION IS NO MATCH FOR NATURAL STUPIDITY" utimie kwenu wanaJF, use ur head ppo, wake up, wengi wanaosapot upinzani si wapiga kura, cant u c dat!!
kam on ppo,
Ninaadika kwa masikitiko kwasababu mwanzoni nilikuwa nadhani Dr. Slaa ni kiongozi imara, nimegundua kuwa kumbe ni mbabaishaji na anajiharibia kazi yote aliyo ifanya katika kampeni yake. Nilikuwa sikubaliani na sera zake lakini niliona kuwa anakitiia changamoto CCM.
Lakini kwa haya anayo yafanya na kuongea sasa baada ya matokeo inanibidi nibadili muono nilio kuwa nao kwake. Dr. Slaa ana mawazo mufilisi na uchu wa uongozi ndio maana ana lalama kuonewa. Waswahili walisema kuwa asiyekubali kushindwa si mshindani. Katika uwanja wa siasa, au mahali popote huwezi kutoa malalamiko ya uzushi uzushi tu.
Kura zote zimehesabiwa palepale jimboni na mbele ya wakala wake. Kuna wakala aliye dhihirisha kuwa kura zake zimeibiwa ?
Kwa fikira zake inadhihirisha kuwa Dr. Slaa ni mtu hatari sana na anaonyesha haja wiva kimawazo na anaeta siasa na kuigaiga (toka nchi zajirani) na kuropoka kama vile Lyatonga Mrema alivyo jipotezea umaarufu wake nchini (sikuhizi Lyatonga ni kama "The Comedy " Nobody takes him serious. Dr. Slaa anajiharibia hata sisi wengine tulio mpigia kura tunasikitika. Ninajuta kumpa kura yangu na itabidi hawa wagombea wanao jichomoza chomoza kuwa angalia sana.
Hivi Dr. Slaa alikuwa amechanjia kwamba mwaka huu lazima awe raisi wa jamuhuri ya Tanzania ? Hata kama kura alizopigiwa hazitoshi ? Ni kiumbe gani huyu, alafu eti alikuwa awe raisi ? Sasa hebu imagine mtu kama huyu alivyo na uchu awe raisi... it will be worse than what we complain of what CCM is doing
Mungu ashukuriwe na sala za kuiombea nchi yetu ziendelee kila siku. Tumeepukana na janga la watu kama Dr. Slaa.
Hii inadhihirisha kuwa upinzani unayo kazi kubwa ya kufanya ili kuaminika na wananchi. Jimbo la Mbulu kwenyewe anakotoka Slaa hakupata kura zote, wamegawana na JK. Inaonyesha hata watu jimboni kwake wasivyo muamini.
Mungu ibariki Tanzania