Elections 2010 Dr Slaa ni Kiboko; Serikali yaamuru Bei za saruji, nondo zishushwe, sera za Chadema!

i think its too late,walikuwa wapi?
mbona kila siku wansema sera za chadema eti hazitekelezeki?
zao 40 ndio mwisho tena
kwa heri kikwete
kwa heri ccm
SERIKALI YATEKELEZA KAULI ZA DR SLAA NA SERA ZA CHADEMA TAYARI!!

Serikali ya CCM wanakimbiana kutokana na Nguvu na ukweli wa Uwezo wa Dr Slaa, yaogopa kila kitu kinachosemwa katika Sera za CHADEMA. Sasa imefikia kujikanyaga hadi kuamuru waziri wake afanye jinsi ashushe bei za Saruji, nondo na bidhaa nyingine...Aibuu!

WanaJF, taarifa ya nipashe ipo chini hapa....

----------------------------------
NA GAZETI LA NIPASHE
20th October 10

Serikali: Bei za saruji, nondo zishushwe

Richard Makore

Serikali imeviagiza viwanda vya saruji na nondo nchini kuhakikisha vinapunguza bei ya bidhaa hizo kwa kuwa hakuna sababu yoyote ya msingi inayochangia zipande mara kwa mara.
Agizo hilo lilitolewa jana jijini Dar es Salaam na Katibu Mkuu wa Wizara Viwanda, Biashara na Masoko, Joyce Mapunjo, alipozungumza na NIPASHE kuhusu upandaji holela wa bidhaa hizo.
Alisema uzalishaji wa saruji na nondo ni mkubwa lakini hajui kwanini wazalishaji hao wanazipandisha na kuwafanya wananchi wa kawaida kushindwa kuzinunua.
Aliahidi kufuatilia kwenye viwanda hivyo ili aelezwe sababu zinazowafanya wazidi kupandisha bidhaa zao kwa mauzo ya jumla na hivyo kuwafanya wauzaji wa rejareja nao kupandisha bei.
Bei ya nondo yenye milimita 10 yenye urefu wa futi 40 kwa sasa ni Sh.10,000 kutoka Sh. 8,000 milimita 12 Sh. 13,000 badala ya Sh. 12,000 na bei ya mfuko mmoja wa saruji hivi sasa ni Sh. 13,000 badala ya Sh. 12,000.
Na katika hatua nyingine, Mkurugenzi wa Wakala wa Serikali Biashara na Leseni nchini (Brela), Esteriamo Mahingila, aliwataka wazalishaji na wakulma kujiwekea malengo ili kuhakikisha wanaziwekea nembo bidhaa zao zote wanazozalisha.
Mahingila alikuwa akizungumza na wadau mbalimbali wakiwemo wataalamu wa masuala ya hakimiliki duniani ambao wanahakikisha bidhaa zinakuwa na nembo na alama kabla ya kuuzwa.

------------------------------------
CCM TUNAWAARIFU UKWELI HUU! Subirini KIDOGO muone nchi inavyoongozwa kuanzia hapo baada ya kura hapo 31 Oct. Wananchi watafumbuka macho na gharama zitakuwa chini wafurahie maziwa na asali katika nchi yao. Mtasahaulika mara moja katika historia!!
 
mwananchi anachukua mkopo anajenga nyumba - cement bei juu, bati bei juu - na mengineyo - halafu SERIKALI YA KIKWETE inakuja ...............haya lipia kodi ya ardhi - sawa unalipa - HALAFU LIPIA KODI YA JENGO - yaani wanashangaza - KODI YA JENGO - WALISAIDIA KULIPIA DENI LA MKOPO??? AU HILO JENGO WALIKUSAIDIA KUJENGA HADI WADAI KODI???? MWISHO WATASEMA LIPIA KODI YA KUZAA WATOTO MRADI TU WAPATE MAHELA YA KUJINUFAISHA I .................halafu bora wafanye basi la maana - HELA ZOTE WANAKULA - NA KIONGOZI WA NCHI ANAZITUMIA KWENDA KUNYWA CHAI NA RAIS WA MAREKANI - OBAMA - HUKUAMEWEKA MGUU X... hivi ni SAWA KWELI???

HAKUNA KUWAPA KURA ZETU .................SISI SIO KIGEUGEU ..................WATOKE WATUPISHE NA WAACHE KUTUFANYIA UKATILI UTADHANIA WAO NDIO WALIOTUUMBA - SIKU MOJA WATASIMAMA MBELE ZA MUNGU NA KABLA YA HAPO .................WAPISHE CHADEMA WATUFANYIE MAMBO YA KUTUFARIJI MIOYO YETU ULIYOUMIZWA NA MAMBO MENGI ........ MUNGU ANGALIA SHIDA ZETU NA SIKIA KILIO CHETU - AMEN!!!
 
SERIKALI YATEKELEZA KAULI ZA DR SLAA NA SERA ZA CHADEMA TAYARI!!

Serikali ya CCM wanakimbiana kutokana na Nguvu na ukweli wa Uwezo wa Dr Slaa, yaogopa kila kitu kinachosemwa katika Sera za CHADEMA. Sasa imefikia kujikanyaga hadi kuamuru waziri wake afanye jinsi ashushe bei za Saruji, nondo na bidhaa nyingine...Aibuu!

WanaJF, taarifa ya nipashe ipo chini hapa....

----------------------------------
NA GAZETI LA NIPASHE
20th October 10

Serikali: Bei za saruji, nondo zishushwe

Richard Makore

Serikali imeviagiza viwanda vya saruji na nondo nchini kuhakikisha vinapunguza bei ya bidhaa hizo kwa kuwa hakuna sababu yoyote ya msingi inayochangia zipande mara kwa mara.
Agizo hilo lilitolewa jana jijini Dar es Salaam na Katibu Mkuu wa Wizara Viwanda, Biashara na Masoko, Joyce Mapunjo, alipozungumza na NIPASHE kuhusu upandaji holela wa bidhaa hizo.
Alisema uzalishaji wa saruji na nondo ni mkubwa lakini hajui kwanini wazalishaji hao wanazipandisha na kuwafanya wananchi wa kawaida kushindwa kuzinunua.
Aliahidi kufuatilia kwenye viwanda hivyo ili aelezwe sababu zinazowafanya wazidi kupandisha bidhaa zao kwa mauzo ya jumla na hivyo kuwafanya wauzaji wa rejareja nao kupandisha bei.
Bei ya nondo yenye milimita 10 yenye urefu wa futi 40 kwa sasa ni Sh.10,000 kutoka Sh. 8,000 milimita 12 Sh. 13,000 badala ya Sh. 12,000 na bei ya mfuko mmoja wa saruji hivi sasa ni Sh. 13,000 badala ya Sh. 12,000.
Na katika hatua nyingine, Mkurugenzi wa Wakala wa Serikali Biashara na Leseni nchini (Brela), Esteriamo Mahingila, aliwataka wazalishaji na wakulma kujiwekea malengo ili kuhakikisha wanaziwekea nembo bidhaa zao zote wanazozalisha.
Mahingila alikuwa akizungumza na wadau mbalimbali wakiwemo wataalamu wa masuala ya hakimiliki duniani ambao wanahakikisha bidhaa zinakuwa na nembo na alama kabla ya kuuzwa.

------------------------------------
CCM TUNAWAARIFU UKWELI HUU! Subirini KIDOGO muone nchi inavyoongozwa kuanzia hapo baada ya kura hapo 31 Oct. Wananchi watafumbuka macho na gharama zitakuwa chini wafurahie maziwa na asali katika nchi yao. Mtasahaulika mara moja katika historia!!

Well spotted.

Bilal naye amesema kuwa serikali inatoa elimu bure!!!!!!!!!!! KUMBE YANAWEZEKANA BWANA
 
Watanzania tunaanza ujenzi mwezi wa 11. Hatutaona mahekalu yakimilikiwa na wakina Kikwete & co tu.
 
Wanahaha tu. Kuhusu saruji walishatembelea tena kiwanda ili kuhoji uhalali wa bei, mmesahau jamani?

Hili la elimu bure linanishangaza, eti Nyerere (akiwa na hela kidogo na madini hajayagusa) aweze baadae "hakuna mtu anayeweza kusema hakuna maendeleo" kwani HATUWEZI KUSOMESHA WATOTO WETU SASA (japokuwa mamia ya migodi yanawawekezaji). Je haya ni maendeleo ya kwenda mbele au kurudi nyuma? Labda wanamaanisha "kutokuweza" nako ni maendeleo in negative muelekeo.
 
CCM wapuuzi kwelikweli, wanawanyanyasa wananchi kwa kuwafanya watumwa wao kwa kila hali halafu ndiyo wanakurupuka utafikiri wamevamiwa na mzinga wa nyuki. Dk Slaa ni changua letu na ndiye rais wa Tanzania, ndiye anaona tunalala kwenye nyasi na ngozi, wenyewe MAFISADI wa CCM wakilala kwenye maghorofa.
 
Naanza kutafuta kiwanja maana nilishakata tamaa ya kujenga, hivi wapi wanagawi viwanja villivyopima hapa Dar?
 
CCM wameshikwa kooni!!!

It is disgusting, katibu mkuu anaposema "...hajui kwanini bei zinapanda!!!" Hawa makatibu nao ni wanasiasa...!!!
 
SERIKALI YATEKELEZA KAULI ZA DR SLAA NA SERA ZA CHADEMA TAYARI!!

Serikali ya CCM wanakimbiana kutokana na Nguvu na ukweli wa Uwezo wa Dr Slaa, yaogopa kila kitu kinachosemwa katika Sera za CHADEMA. Sasa imefikia kujikanyaga hadi kuamuru waziri wake afanye jinsi ashushe bei za Saruji, nondo na bidhaa nyingine...Aibuu!

WanaJF, taarifa ya nipashe ipo chini hapa....

----------------------------------
NA GAZETI LA NIPASHE
20th October 10

Serikali: Bei za saruji, nondo zishushwe

Richard Makore

Serikali imeviagiza viwanda vya saruji na nondo nchini kuhakikisha vinapunguza bei ya bidhaa hizo kwa kuwa hakuna sababu yoyote ya msingi inayochangia zipande mara kwa mara.
Agizo hilo lilitolewa jana jijini Dar es Salaam na Katibu Mkuu wa Wizara Viwanda, Biashara na Masoko, Joyce Mapunjo, alipozungumza na NIPASHE kuhusu upandaji holela wa bidhaa hizo.
Alisema uzalishaji wa saruji na nondo ni mkubwa lakini hajui kwanini wazalishaji hao wanazipandisha na kuwafanya wananchi wa kawaida kushindwa kuzinunua.
Aliahidi kufuatilia kwenye viwanda hivyo ili aelezwe sababu zinazowafanya wazidi kupandisha bidhaa zao kwa mauzo ya jumla na hivyo kuwafanya wauzaji wa rejareja nao kupandisha bei.
Bei ya nondo yenye milimita 10 yenye urefu wa futi 40 kwa sasa ni Sh.10,000 kutoka Sh. 8,000 milimita 12 Sh. 13,000 badala ya Sh. 12,000 na bei ya mfuko mmoja wa saruji hivi sasa ni Sh. 13,000 badala ya Sh. 12,000.
Na katika hatua nyingine, Mkurugenzi wa Wakala wa Serikali Biashara na Leseni nchini (Brela), Esteriamo Mahingila, aliwataka wazalishaji na wakulma kujiwekea malengo ili kuhakikisha wanaziwekea nembo bidhaa zao zote wanazozalisha.
Mahingila alikuwa akizungumza na wadau mbalimbali wakiwemo wataalamu wa masuala ya hakimiliki duniani ambao wanahakikisha bidhaa zinakuwa na nembo na alama kabla ya kuuzwa.

------------------------------------
CCM TUNAWAARIFU UKWELI HUU! Subirini KIDOGO muone nchi inavyoongozwa kuanzia hapo baada ya kura hapo 31 Oct. Wananchi watafumbuka macho na gharama zitakuwa chini wafurahie maziwa na asali katika nchi yao. Mtasahaulika mara moja katika historia!!
This is what we talking about....pple's powerrrrrr!
 
Kweli ccm, imeshikwa pabaya hoja wanazozipinga wanageuka mlango wa pili na kuanza kuwahadaa wananchi. hii ndo tabia yao hata epa walishageuza kuwa ni hoja walioanzisha wao.

big up slaa, sisi tuwakazie kwenye kusimamia kura huenda wengine tukawapoteza kwa bipii au kuamua kuishi uhamishoni ili kuficha mali walizopora nchi hii.

aluta kontinyuaaaaaaaaaaaaaaaa
 
sasa yako wapi,nani mbumbumbu Dr. slaa au Kamala? sasa ndo nimeamini hiyo shahada yake ya uzamivu ni fake! na anatwanga maji kwenye kinu! Bravo mama Joyce kwa kumpigia kampen Dr. Slaa,hiyo yote ni ishara za mwenyezi mungu kutukwamua ktk lindi la umasikini!
 
Back
Top Bottom