Dr. Slaa ndani ya Mzumbe University Jumamosi (21/05/2011)

Gwota

JF-Expert Member
Mar 3, 2011
205
92
Harakati za ukombozi wa kweli wa Tanzania yetu unazidi kushika kasi katika kubomoa ngome mbalimbali za CCM na sasa ni zamu ya chuo kikuu mzumbe.

Dr. Slaa pamoja na wenzake watakuwepo hapa chuoni kufungua tawi la wanachuo wa CHADEMA. Ikumbukwe kuwa kwa miaka mingi Mzumbe imekuwa ni ngome mahiri na ya kutegemewa na Chama cha mapinduzi.

Uzinduzi utaanza saa nne asubuhi katika viwanja vya Changarawe nje kidogo ya chuo.
Tutakuwa tunawahabarisha kitakachokuwa kinajiri siku yenyewe.

Peoples power!!!!!!!!!!!!!
 
Harakati za ukombozi wa kweli wa Tanzania yetu unazidi kushika kasi katika kubomoa ngome mbalimbali za CCM na sasa ni zamu ya chuo kikuu mzumbe. Dr.Slaa pamoja na wenzake watakuwepo hapa chuoni kufungua tawi la wanachuo wa CHADEMA. Ikumbukwe kuwa kwa miaka mingi Mzumbe imekuwa ni ngome mahiri na ya kutegemewa na Chama cha mapinduzi, Uzinduzi utaanza saa nne asubuhi katika viwanja vya changarawe nje kidogo ya chuo.
Tutakuwa tunawahabarisha kitakachokuwa kinajiri siku yenyewe.
Peoples power!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Duh, habari njema sana hizi. Watu wa Mzumbe bwana...... walikuwa wabishi sana hawa jamaa na CCM ilikuwa inajivunia sana hiki Chuo.
 
Habari njema sana kwa wana mzumbe, nao wamepigika sana!
Kila siku tunaomba chadema waje kufungua tawi hapa, sasa kumekucha. peopleeeezzzzzzzzz!!!!!
 
Dk Slaa amekuja wakati mzuri sana, hakuna KIU wala zengwe which means watu watamsikiliza kwa ufasaha. Nakumbuja miaka ile nipo pale alikujaga Makamba wanafunzi wakamwanzishia zengwe eti akadai ni mamluki walevi wametumwa na upinzani.

Mzumbe hii nafasi muitumie vizuri sana kuimarisha CHADEMA hapo chuoni manake CCM walikuwa wamedominate 100%. Ilifikia mahali hadi kwenye kugawa vyumba tunawekeana zengwe na CCM.
 
hapo mzumbe ccm ilikuwa na mizizi sasa kitendo cha kufungua tawi hapo ni kung'oa mizizi..safi sana chadema
 
we also welcome u to muccobs dr,we still value and need chadema 4 real redemption.peoplz...zz
 
A revolution foundation stone is being laid in the politics of Tanzania...Atakayesema MAANDAMANO hayana maana anatakiwa aende mwenyewe kwenye jumba la makumbusho akakae huko watu wamshangaa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom