cabhatica
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 1,081
- 480
Wanajanvi,
Jumamosi ya tarehe 25, June 2011 Dr. Slaa (PhD) atakuwa moshi kwenye kongamano la CHADEMA kwa wanafunzi wa vyuo vikuu vya moshi. Ataambatana na makamanda wengine wa CHADEMA. tafadhali tuwajulishe wanafunzi na wakazi wa moshi kujitokeza kwa wingi. *I cant wait kumsikia tena Rais wangu.
Vyuo vishiriki, MUCCoBS, KCMC, Mtakatifu STEPHANO, MWIKA, MARANGU etc..*
Mkuu kongamano hilo linafanyika ukumbi gani? Tujuze tafadhali