Elections 2010 Dr Slaa ndani ya Bukoba

Bunazi pamoja na Bukoba mjini nilikuwepo na umati uliokuwepo haijawai tokea tangu bukoba iwepo maana na helkopta ilikosa nafasi ya kutua mpaka ikatua nje kidogo na mji wa bukoba.Lwakatare bado yupo juu ndugu yangu na kwa sasa Kagasheki jasho linamtoka.Mpaka hapo bukoba tumeisha muhapisha Dr.Slaa. Mbarikiwe wakuu.
 
Kwaheri Mpendwa wetu Kikwete. Tulikupenda lakini mafisadi wamekupenda zaidi na kusababisha kushindwa kwako.
 
Back
Top Bottom