vipi jembe letu Tundu Antipas Lissu lipo kwenye msafara??
tobo leso atakuwa anamwandalia slaa maelezo ya kisheria atakayomjibu rose kamili.
vipi jembe letu Tundu Antipas Lissu lipo kwenye msafara??
Dr.Kitila Mkumbo yumo Singida....huko moto utawaka!
Mkuu hapo Tumaini sekondari unanikumbusha miaka ya 90's nilikuwa hapo, mambo ya Chepo na n.kpamoja makamanda,piteni hapo kinampanda madukani mwambieni rajabu dukani hapo awape timu nzima ya m4c soda nitalipa,kama vipi mpite na pale mbele kwa alex au kwa mzee makalla mpate ugali.
mmenifurahisha sana.
kamanda vipi chuo cha ualimu na tumaini secondary hapo wanapokea vipi m4c,salimieni hapo jirani kwa mh mbunge wa zamani.
pamoja makamanda,piteni hapo kinampanda madukani mwambieni rajabu dukani hapo awape timu nzima ya m4c soda nitalipa,kama vipi mpite na pale mbele kwa alex au kwa mzee makalla mpate ugali.
mmenifurahisha sana.
kamanda vipi chuo cha ualimu na tumaini secondary hapo wanapokea vipi m4c,salimieni hapo jirani kwa mh mbunge wa zamani.
Jonh Mnyika apiga nondo Ndago na Kinampanda wakiwa pamoja na mbunge mtarajiwa Kitila Mkumbo kikubwa ni kwamba hii ni rasharasha mvua itanyesha katikati ya mwezi ujao watakaporudi awamu ya pili
tobo leso atakuwa anamwandalia slaa maelezo ya kisheria atakayomjibu rose kamili.
Leo saa saba kamili timu chadema itatua kinampanda hivi sasa shamramra zaendelea kuusubiri ugeni mzito bendera zapepea juu ya mzambarau tutakuwa tunawaletea habari kwani tuko ndani ya kinampanda
Mkuu hivi yale maandishi ya zege yameandikwa TANU pale ofisi ya CCM bado yapo?,,,,na chepo je?Umenikumbusha sana headmaster wangu DINGI mungu amrehemu. Maandishi ya zege neno TANU bado yapo ila chepo sikuhizi hakuna siunajua wanafunzi wakuwa watoto zaidi kuliko miaka ile unamkumbuka Ezra Mkumbo alikuwa mkubwa ukiambiwa ndiye mkuu wa shule unampa karo pia Tumaini siku hizi ni ya wasichana kuanzia kidado cha kwanza mpaka cha sita Mwenge niya wavulana

Dah!Ezra Mkumbo namkumbuka sana,alikuwa rafiki wa karibu wa Philemon Kitandu<comandoo>.Sijui yako wapi yale majamaa!