Duh, kweli kizazi hiki kimepotoka, mada hasa ni suala la Dr. kwenda mahakamani ambalo limeshatolewa maelezo na wakili wake na kamwe Dr. Slaa hayuko juu ya sheria, sasa mawazo yote humu ndani yamehamia kwenye mapenzi ya Dr. Slaa na Josephine. Tukianza kutafutana kwenye haya mam,bo ya mapenzi nafikiri hata JK tutamuondoa Ikulu haraka sana kwani naonekana naye ana pepo la ngono