Dr. Slaa na Mbowe ndio wanaiua CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Hebu tueleze kwa udhibitisho na hoja za msingi na sio kulalamika, kama huna vielelezo au taarifa za kutosha usilete mada jamvini
 
Halafu na wewe na huyo Saanane una nini naye? Unajua kama hii scenario,ingetokea mtaani, waungwana wangekufunga kamba na kukukimbiza straight kwenye wodi ya vichaa bila diagnosis. We huoni haya unapiga mikelele weee tokea juzi, mwenyewe yupo kimya tuu!
Poleni mashabiki wa Dikteta Saanane.Mlitaka kuangusha ngome,huyo dogo taaluma zake ni za mapinduzi tu.nilitoa wito kwa watu kama hao kupigwa shaba tu maanake ni hatari kwa mustakabali wa nchi yetu.Najua hila zake,siku zote hakubali kushindwa ingawa anatabasamu lakini kwa visasai ni balaa,mtakuja kuniambia.Yeye ni muumini wa upanga kwa Upanga wa moto.hiyo ndiyo nadharia yake aliyokuwa nayo India kwenye madaraka.Aliwatesa sana wakenya na Waethiopia kwa kulipiza visasi hadi kuingilia chaguzi zao za ndani na kuvuruga.
Mnyang'anyeni kadi ili misimamo yake ya ki-Jihad akaisimamie katika kulea mimba ya yule Rebecca Tusizwe afisa ubalozi wa A.Kusini Tanzania.
 
Memba wa JF anatoa proposition kutokana na observations zake ambazo ni maono yake na mwazo yake halali kabisa,

kwa tabia zinazoonyeshwa na slaa na mbowe naanza kuuona mwisho wa CHADEMA, hawa jamaa wawili wanajifanya wao ni maarufu kuliko chama na zaidi wanataka kuuaminisha umma kuwa bila wao CHADEMA haipo kitu ambacho sio kweli, wanadumaza demokrasia ndani ya chama kwa kutaka watu wao tu ndo wachomoze katika ngazi za uongozi.

CHADEMA itakufa kwa sababu zao, ona walivyomtoa kafara habib mchange, ona wanavyomnyanyasa zitto kabwe , no slaa na mbowe tumewachoka kwa udikteta wenu CHADEMA sio NGO bana.

Majibu anayopata kutoka memba wengine ambao inaelekea ni"Chadema vichwa" hapa jamvini,
...........
Pole sana. Inaelekea umetumwa(mamluki)
..........
Aliyekutuma mwambie mbinu hii imeshtukiwa akutafutie mbinu nyingine !!! Si ajabu wewe ni mtu mzima tena unafamilia unaandika upuuzi kama huu!!!
..........
unatumia makalio kufikiri.
..........
Una PhD ya magamba kama ya Kikwete!

..........
ulitumwa wapi ukakosea njia?
..........

In short wanaoitetea CDM kwa PUMBA inaelekea ni wengi na wanajisahau kuwa huu ni uwanda wa GREAT THINKERS!
Pamoja na hizo quotes chache hapo juu it does not appear that in this forum some CDM members put thinking into their party leanings.
CDM imejijengea heshima na nguvu, na pengine kupitia hii forum. But with this level of contribution from CDM JF members basi kunamatatizo makubwa.Wengi wanajisahau kuwa CDM ndio serikali kivuli na hivyo lazima iwekwe kwenye microscope.
The critique raised by PhD is quite valid, and requires learned answers for the polulace.
 
memba wa jf anatoa proposition kutokana na observations zake ambazo ni maono yake na mwazo yake halali kabisa,



majibu anayopata kutoka memba wengine ambao inaelekea ni"chadema vichwa" hapa jamvini,
...........

..........

..........

..........

..........

..........

In short wanaoitetea cdm kwa pumba inaelekea ni wengi na wanajisahau kuwa huu ni uwanda wa great thinkers!
Pamoja na hizo quotes chache hapo juu it does not appear that in this forum some cdm members put thinking into their party leanings.
Cdm imejijengea heshima na nguvu, na pengine kupitia hii forum. But with this level of contribution from cdm jf members basi kunamatatizo makubwa.wengi wanajisahau kuwa cdm ndio serikali kivuli na hivyo lazima iwekwe kwenye microscope.
The critique raised by phd is quite valid, and requires learned answers for the polulace.


umenena mkuu, waambie ukweli.
 
The critique raised by PhD is quite valid, and requires learned answers for the polulace.


Mkuu Lole! How can this critique be valid if PhD himself shows no attempt to validate it? These cheap blahblah only serve to condemn and undermine the credibility of JF. Ninaweza kuja hapa nikatapika tuu chochote bila hata kukijengea hoja, hivi nastahili kweli kujibiwa kwa hoja? Wastage of time! Hii ni open forum, hata gabbage zinaruhusiwa tuu, lakini zitegemee gabbages of response pia.
 
Limbukeni mkubwa wewe naona umetumwa na magamba,kama umekosa cha kuandika nakushauri nenda ofisi za CCM ukachukue posho.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom