Dr. Slaa na Mbowe ndio wanaiua CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Slaa a mbowe angalieni sna,
mkiendela kuwapaka matope hawa vijana mlio wajeruhi, mtakiona cha moto.

Slaa hebu rudia ile sentesi yako ya sisimizi

I agree with your signature only...the man with imaginationis never alone,, Heineken baridi.

kilianzishwa kama zengwe la kupata ruzuku ttu na hakikuwa na ndoto za kuwa kilivyo, sasa wananchi wamekiaimni na kukitaka kichukue dola, hapohapo wasomi wengi wanaingia humo, hapohapo wenye upeo zaidi ya mkwemtu wamejaa humo, anafanya kila namna ili awe na mtandao mkubwa sana, hapo mbowe umechemka labda uvunje chama na watz tutakumaliza kama ukituuulia cdm yetu.
jana umewapigia simu akina joshua wa arumeru mashariki ukiwapongeza kwa kazi nzuri waliyoifanya ya kugawa pesa usiku guest na kusomba wajumbe kwenda mkutano.....
angalia sana hawa vijana ni imara na utajimaliza mwnyewe najua wako kimya si kwa uoga wala kuridhika, ila wanalo jambo na jana nilisema kwa kuwa wote hakuna mwenye njaa, wote wanfanya kazi..........soso mbowe labda uwaue kabla ya kukumaliza wewe..
slaa kutumia habari za jf kutoa hukumu kwao na kumtetea heche kwa makosa yanayofanana na wenzake ni udhaifu na usipokaa makini umejimaliza kabisa

This is how the cookie crambles

kwa tabia zinazoonyeshwa na slaa na mbowe naanza kuuona mwisho wa CHADEMA, hawa jamaa wawili wanajifanya wao ni maarufu kuliko chama na zaidi wanataka kuuaminisha umma kuwa bila wao CHADEMA haipo kitu ambacho sio kweli, wanadumaza demokrasia ndani ya chama kwa kutaka watu wao tu ndo wachomoze katika ngazi za uongozi.

CHADEMA itakufa kwa sababu zao, ona walivyomtoa kafara habib mchange, ona wanavyomnyanyasa zitto kabwe , no slaa na mbowe tumewachoka kwa udikteta wenu CHADEMA sio NGO bana.
can u justify mwenyekiti wa BAVICHA ni mtu wa nani...usiongee juu,justify kama si tunavo justfy eg january makamba,riz1 kikwete,nae nnauye,mwinyi...etc

kwa tabia zinazoonyeshwa na slaa na mbowe naanza kuuona mwisho wa chadema, hawa jamaa wawili wanajifanya wao ni maarufu kuliko chama na zaidi wanataka kuuaminisha umma kuwa bila wao chadema haipo kitu ambacho sio kweli, wanadumaza demokrasia ndani ya chama kwa kutaka watu wao tu ndo wachomoze katika ngazi za uongozi.

Chadema itakufa kwa sababu zao, ona walivyomtoa kafara habib mchange, ona wanavyomnyanyasa zitto kabwe , no slaa na mbowe tumewachoka kwa udikteta wenu chadema sio ngo bana.

umelewa ulabu!!! Kalale kwanza

Poleni mashabiki wa Dikteta Saanane.Mlitaka kuangusha ngome,huyo dogo taaluma zake ni za mapinduzi tu.nilitoa wito kwa watu kama hao kupigwa shaba tu maanake ni hatari kwa mustakabali wa nchi yetu.Najua hila zake,siku zote hakubali kushindwa ingawa anatabasamu lakini kwa visasai ni balaa,mtakuja kuniambia.Yeye ni muumini wa upanga kwa Upanga wa moto.hiyo ndiyo nadharia yake aliyokuwa nayo India kwenye madaraka.Aliwatesa sana wakenya na Waethiopia kwa kulipiza visasi hadi kuingilia chaguzi zao za ndani na kuvuruga.
Mnyang'anyeni kadi ili misimamo yake ya ki-Jihad akaisimamie katika kulea mimba ya yule Rebecca Tusizwe afisa ubalozi wa A.Kusini Tanzania.

unatumia makalio kufikiri.

hv ninyi wahafidhina mbona mnasikitisha sana!? Hawa Mbowe na Padri Slaa kwan wao n miungu? Kila atakayejitokeza kuhoji utendaji wao anatukanwa kias hiki.kumbe ndo sbb Taifa haliwez kuendelea km watu sampuli yenu mpo weng kiasi hiki.kumbuken kukosa kuwa na kupingana kwa hoja kumelifikisha Taifa hapa lilipo,alokuwa akifikir kwa niaba ya Watanganyika alikuwa Nyerere,wengine sote tulikuwa tukidumisha fikra sahihi za mtu huyu,hatukuruhusiwa kufikir tofauti na fikra zake.naona utaratibu huo ulisha hamia CHADEMA,ni wawil tu wakufikir wengine tudemishe fikra zao sahihi.pole ndugu yangu anataka watanganyika na wanzanzibar tukasimishe bongo zetu kwa Padri Slaa na Mbowe.kwel elimu Tanzania ilikuwa miaka ya 80,hv sasa hata vyuo vikuu vinazalisha waajiriwa na si wanaoweza kutengeneza ajira kwa wasokuwa na elimu ili kuwawezesha na wewe ni mtegemea ajira.

HABIB MCHANGE NI MTOA RUSHWA. ALIKAMATWA KWA USHAHIDI MKALI, SI MNAJUA KUWA DR. WA UKWELI HABAHATISHI, KAWAULIZENI WENZENU WA "LIST OF SHAME" HABIB MCHANGE HAKUWEZA KUPATA UWEZO WA KUBISHA NI SAWA NA MTU ALIYEFUMANIWA NA MKE WA MTU AKIWA UCHI KABISA KITANDANI. ALITOA MIMACHO MITHILI YA CHURA ALIYEBANWA. dawa ni kutafuta namna ya kujisafisha ili tumuone kama muungwana

kilianzishwa kama zengwe la kupata ruzuku ttu na hakikuwa na ndoto za kuwa kilivyo, sasa wananchi wamekiaimni na kukitaka kichukue dola, hapohapo wasomi wengi wanaingia humo, hapohapo wenye upeo zaidi ya mkwemtu wamejaa humo, anafanya kila namna ili awe na mtandao mkubwa sana, hapo mbowe umechemka labda uvunje chama na watz tutakumaliza kama ukituuulia cdm yetu.
jana umewapigia simu akina joshua wa arumeru mashariki ukiwapongeza kwa kazi nzuri waliyoifanya ya kugawa pesa usiku guest na kusomba wajumbe kwenda mkutano.....
angalia sana hawa vijana ni imara na utajimaliza mwnyewe najua wako kimya si kwa uoga wala kuridhika, ila wanalo jambo na jana nilisema kwa kuwa wote hakuna mwenye njaa, wote wanfanya kazi..........soso mbowe labda uwaue kabla ya kukumaliza wewe..
slaa kutumia habari za jf kutoa hukumu kwao na kumtetea heche kwa makosa yanayofanana na wenzake ni udhaifu na usipokaa makini umejimaliza kabisa

Sijaelewa unachotaka kusema, kwamba na wewe ulikuwa unanyemelea ruzuku ukaja ona cdm dili baadaye. Halafu Jenga hoja wacha kujimaliza kwa kutishia maisha ya watu. Mambo ya kuuana kuana waachie polisi wetu.

Watu wengine inabidi kuwasamehe tu maana hawajui kuandika utumbo hapa ni sawa na kutembea bila nguo, akajipange kwanza ndiyo arudi kuandika vitu vyenye mashiko kwa jamii.

PHD,

Ungelikuwa na nia njema ubngelitaka kujua kilichojiri kwenye Kamati Kuu, ungeliuliza hoja zilizowasilishwa mbele ya Kamati Kuu na ushahidi wake, ungelituuliza alichofanya Mchange baada ya kuenguliwa.

Kama unadhani unamtetea unaweza kujikuta ummemaliza zaidi. Yaliyostahili kuwekwa hadharani mbele ya Mkutano Mkuu wa BAVICHA, usitulazimishe hatimaye kujitokeza hadharani?

Hatuko tayari kugawa CHADEMA kwa hoja zisizo na ukweli kama hizi zako, zenye nia na lengo la uchochezi tu wa wazi. Uungwana ni kufanya utafiti wa kina kabla ya kutunga hadithi za "kufikirika" kwa mambo mazito yenye kugusa nafsi za binadamu.

kwa tabia zinazoonyeshwa na slaa na mbowe naanza kuuona mwisho wa CHADEMA, hawa jamaa wawili wanajifanya wao ni maarufu kuliko chama na zaidi wanataka kuuaminisha umma kuwa bila wao CHADEMA haipo kitu ambacho sio kweli, wanadumaza demokrasia ndani ya chama kwa kutaka watu wao tu ndo wachomoze katika ngazi za uongozi.

CHADEMA itakufa kwa sababu zao, ona walivyomtoa kafara habib mchange, ona wanavyomnyanyasa zitto kabwe , no slaa na mbowe tumewachoka kwa udikteta wenu CHADEMA sio NGO bana.

Utakufa wewe na CCM yako CDM ndiyo inazidi kushamiri, na CCM inazidi kuchokwa, kama unabisha muulize JK picha aliyoiona Ng'wanza. MGONJWA AKIKARIBIA KUKATA ROHO HUWA ANATAPATAPA SANA NA NDIVYO ILIVYO CCM.

PHD,

Ungelikuwa na nia njema ubngelitaka kujua kilichojiri kwenye Kamati Kuu, ungeliuliza hoja zilizowasilishwa mbele ya Kamati Kuu na ushahidi wake, ungelituuliza alichofanya Mchange baada ya kuenguliwa.

Kama unadhani unamtetea unaweza kujikuta ummemaliza zaidi. Yaliyostahili kuwekwa hadharani mbele ya Mkutano Mkuu wa BAVICHA, usitulazimishe hatimaye kujitokeza hadharani?

Hatuko tayari kugawa CHADEMA kwa hoja zisizo na ukweli kama hizi zako, zenye nia na lengo la uchochezi tu wa wazi. Uungwana ni kufanya utafiti wa kina kabla ya kutunga hadithi za "kufikirika" kwa mambo mazito yenye kugusa nafsi za binadamu.

Mzee una busara saana. Lakini kwa nini huwasaidii wabunge wako. Wengine walikuja hapa jamvini na kutaja wagombea wao na hatimaye kusutana. Kuna haja ya kuwazuia kushiriki forums km hizi kwa sura ya kichama. Labda nikupe mfani, sir alex furgason alisema anafikira kuwazuia wachezaji wake kutumia tweeter kutokana na maslahi ya timu. Kwanini nyie hamfikirii hili?

Tabia ya watu wanaotumwa ni kuweka utumbo hapa kisha wanatokomea mitni. PhD jibu hoja sasa mbona umetoweka?

Mzimu wa Meli ya MV BUKOBA unawasumbua
fikirini kwa kutumia bongo sio choo ndogo kama huyu firauni wa uvccm

we bishoo em 2achie chama che2!kama kufa utaanza kufa ww na ccm yako inayorithishana vyeo!kwanza ucjeshangaa mtoto wa january/nape/ridh 1 ndo wakajakiongoza chama chenu cha mafisadi

Ukweli unauma ndio mana hawataki hata kuusikia, Padre amesoma saikolojia vizuri na kilichopo ni ndio mzee.

CHADEMA sio NGO[/B] bana.

CDM si NGO bali ni kampuni ya familia iliyofanikiwa kurubuni kwa uongo baadhi ya vijana waliokosa mwelekeo na machalii ili kuwashabikia.
Wenye hisa wanafahamika, hao ndio wenye kauli ya mwisho. Ukicheza kwenye anga zao utaumia. Ona jinsi Zito anavyonyanyaswa.

Wenye kuendesha kampuni ni:....

Mtei
Ndesamburo baba
Ndesamburo binti
Mbowe.
Sakaya
Lema
Salasini
Mdee
Mrema
Mushi
Maro

Slaa anakubalika kama mtumishi mwaaminifu.

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom