Dr. Slaa na Mbowe ndio wanaiua CHADEMA

Status
Not open for further replies.

PhD

JF-Expert Member
Jul 15, 2009
4,599
3,673
kwa tabia zinazoonyeshwa na slaa na mbowe naanza kuuona mwisho wa CHADEMA, hawa jamaa wawili wanajifanya wao ni maarufu kuliko chama na zaidi wanataka kuuaminisha umma kuwa bila wao CHADEMA haipo kitu ambacho sio kweli, wanadumaza demokrasia ndani ya chama kwa kutaka watu wao tu ndo wachomoze katika ngazi za uongozi.

CHADEMA itakufa kwa sababu zao, ona walivyomtoa kafara habib mchange, ona wanavyomnyanyasa zitto kabwe , no slaa na mbowe tumewachoka kwa udikteta wenu CHADEMA sio NGO bana.
 
Kwa hiyo unataka ukabidhiwe Chadema ili ukiongoze? Au wewe unapendelea wakina nani wawe viongozi? Pole sana ndugu yangu naomba ujivue gamba!
 
kwa tabia zinazoonyeshwa na slaa na mbowe naanza kuuona mwisho wa CHADEMA, hawa jamaa wawili wanajifanya wao ni maarufu kuliko chama na zaidi wanataka kuuaminisha umma kuwa bila wao CHADEMA haipo kitu ambacho sio kweli, wanadumaza demokrasia ndani ya chama kwa kutaka watu wao tu ndo wachomoze katika ngazi za uongozi.

CHADEMA itakufa kwa sababu zao, ona walivyomtoa kafara habib mchange, ona wanavyomnyanyasa zitto kabwe , no slaa na mbowe tumewachoka kwa udikteta wenu CHADEMA sio NGO bana.

Aliyekutuma mwambie mbinu hii imeshtukiwa akutafutie mbinu nyingine !!! Si ajabu wewe ni mtu mzima tena unafamilia unaandika upuuzi kama huu!!!
 
kwa tabia zinazoonyeshwa na slaa na mbowe naanza kuuona mwisho wa CHADEMA, hawa jamaa wawili wanajifanya wao ni maarufu kuliko chama na zaidi wanataka kuuaminisha umma kuwa bila wao CHADEMA haipo kitu ambacho sio kweli, wanadumaza demokrasia ndani ya chama kwa kutaka watu wao tu ndo wachomoze katika ngazi za uongozi.

CHADEMA itakufa kwa sababu zao, ona walivyomtoa kafara habib mchange, ona wanavyomnyanyasa zitto kabwe , no slaa na mbowe tumewachoka kwa udikteta wenu CHADEMA sio NGO bana.
unatumia makalio kufikiri.
 
Utajiumiza kichwa bure kwa kuzusha, cdm inawanyima usingizi mtake msitake ndo maana kila kukicha mnanyanyuka na daa feki!
 
kwa tabia zinazoonyeshwa na slaa na mbowe naanza kuuona mwisho wa CHADEMA, hawa jamaa wawili wanajifanya wao ni maarufu kuliko chama na zaidi wanataka kuuaminisha umma kuwa bila wao CHADEMA haipo kitu ambacho sio kweli, wanadumaza demokrasia ndani ya chama kwa kutaka watu wao tu ndo wachomoze katika ngazi za uongozi.

CHADEMA itakufa kwa sababu zao, ona walivyomtoa kafara habib mchange, ona wanavyomnyanyasa zitto kabwe , no slaa na mbowe tumewachoka kwa udikteta wenu CHADEMA sio NGO bana.

Una PhD ya magamba kama ya Kikwete!

Mafaniko yote ya cdm huyaoni ndugu?utetezi wote unaofanywa na cdm kutetea wananchi huuoni?
 
huyu ni mamluki kutoka chama cha magamba , huo ni uzushi tena mkubwa sana
usdhani na sisi ni vihiyo ambao hatujui hata kuchanganua hoja......
 
Mda mwingine kaa chini kwanza,then tafakar kabla ya kusema,maana for the great thinkers hizi craps na magunia ya pumba tena yaliyojazana stoo.pole sana mzeiya
 
kweli hao mizimu wawili ndio wanatuharibia chama chetu ambacho baba yangu ni mmoja wa waasisi na viongozi wa 1 wa kitaifa
ntaludi baadaye.!
 
kwa tabia zinazoonyeshwa na slaa na mbowe naanza kuuona mwisho wa CHADEMA, hawa jamaa wawili wanajifanya wao ni maarufu kuliko chama na zaidi wanataka kuuaminisha umma kuwa bila wao CHADEMA haipo kitu ambacho sio kweli, wanadumaza demokrasia ndani ya chama kwa kutaka watu wao tu ndo wachomoze katika ngazi za uongozi.

CHADEMA itakufa kwa sababu zao, ona walivyomtoa kafara habib mchange, ona wanavyomnyanyasa zitto kabwe , no slaa na mbowe tumewachoka kwa udikteta wenu CHADEMA sio NGO bana.

Nani kakwambia sababu zilizotolewa kumwengua Habib ni za Uongo, nani kakwambia kwa mujibu wa Katiba ya Chadema katibu mkuu haruhusu kuingilia pale anapoona utaratibu fulani unakiukwa, Je Zito kakwambia ananyanyaswa? Je Habib kakwambia katolewa kafara? Na ni kwanini umemtaja Zito na Habib pekee na umeamua kuwaacha wengine walioenguliwa kwa sababu mbalimbali?

Hakika huko unakotaka kutupeleka siko, wewe akili yako ni ya ki CCm CCm, yaani udini udini tu, watu waliofilisika kisiasa.
 
kilianzishwa kama zengwe la kupata ruzuku ttu na hakikuwa na ndoto za kuwa kilivyo, sasa wananchi wamekiaimni na kukitaka kichukue dola, hapohapo wasomi wengi wanaingia humo, hapohapo wenye upeo zaidi ya mkwemtu wamejaa humo, anafanya kila namna ili awe na mtandao mkubwa sana, hapo mbowe umechemka labda uvunje chama na watz tutakumaliza kama ukituuulia cdm yetu.
jana umewapigia simu akina joshua wa arumeru mashariki ukiwapongeza kwa kazi nzuri waliyoifanya ya kugawa pesa usiku guest na kusomba wajumbe kwenda mkutano.....
angalia sana hawa vijana ni imara na utajimaliza mwnyewe najua wako kimya si kwa uoga wala kuridhika, ila wanalo jambo na jana nilisema kwa kuwa wote hakuna mwenye njaa, wote wanfanya kazi..........soso mbowe labda uwaue kabla ya kukumaliza wewe..
slaa kutumia habari za jf kutoa hukumu kwao na kumtetea heche kwa makosa yanayofanana na wenzake ni udhaifu na usipokaa makini umejimaliza kabisa
 
kwa tabia zinazoonyeshwa na slaa na mbowe naanza kuuona mwisho wa CHADEMA, hawa jamaa wawili wanajifanya wao ni maarufu kuliko chama na zaidi wanataka kuuaminisha umma kuwa bila wao CHADEMA haipo kitu ambacho sio kweli, wanadumaza demokrasia ndani ya chama kwa kutaka watu wao tu ndo wachomoze katika ngazi za uongozi.

CHADEMA itakufa kwa sababu zao, ona walivyomtoa kafara habib mchange, ona wanavyomnyanyasa zitto kabwe , no slaa na mbowe tumewachoka kwa udikteta wenu CHADEMA sio NGO bana.

ulikuwa unagombea nini juzi ukapigwa down? ha ha ha. Pole demokrasia ni pamoja na kukubali maoni ya wengi na safari ya siasa inahitaji uvumilivu ndugu yangu la sivyo hutaiweza - uliza wakongwe wakupe siri ya mafanikio.

Uchaguzi umeshaisha sasa ni muda wa kujipanga, be part of BAVICHA mambo ya kulalamika kwa wanaume hayafai.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom