hii mada nadhani haitatusaidia.....mmoja ni raisi na mwingine ni katibu mkuu wa chama.....sasa sijui tuwalinganishe kwa lipi? kama ni kugombea nafasi ya urais 2015 Jk hatogombea.....kama ni uchaguzi uliopita majibu tunayajua wote....labda utujuze zaidi anakubalika kwa lipi.....ucheshi wake?...urefu?....ukarimu.....nk
Erred reasoning with incomplete investigation.