DR.SLAA na KIKWETE

nkisumuno

JF-Expert Member
May 22, 2012
208
72
Wadau wa hapa jamvini naomba tupige kura ya maoni ili kujua hawa watu wawili nani anakubalika sana mpaka leo hii?
 
hii mada nadhani haitatusaidia.....mmoja ni raisi na mwingine ni katibu mkuu wa chama.....sasa sijui tuwalinganishe kwa lipi? kama ni kugombea nafasi ya urais 2015 Jk hatogombea.....kama ni uchaguzi uliopita majibu tunayajua wote....labda utujuze zaidi anakubalika kwa lipi.....ucheshi wake?...urefu?....ukarimu.....nk
 
kuna anayekubalika na anayejikubalisha sasa usipotazama kwa makini unaweza kudhani wote wanakubalika.
 
Kwanini MODS wasitusaidie kurekebisha hili jukwaa,mada zingine hazina vichwa wala mkia.kuna nyingine ya rizt ipo hapa yaani utumbo mtupu eti madiwani wa cdm wamegawana viwanja hana ushahidi wala mwanza haijui,mods tusadieni
 
Hawa ndio GT wetu wa JF , JF tumekwisha kila siku tunazidi kudharauliwa kwa mada zetu humu ndani zisizo msaidia mtanzania wa kawaida
na ukipost mada zenye ukweli zinafungwa wacha wapost upumbavu hujanote tu siku hizi habari zenye uchambuzi watu hawaleti tena maana mamods wanazifunga haraka ????????
 
Kwanini MODS wasitusaidie kurekebisha hili jukwaa,mada zingine hazina vichwa wala mkia.kuna nyingine ya rizt ipo hapa yaani tumbo eti madiwani wa cdm wamegawana viwanja hana ushahidi wala mwanza haijui,mods tusadieni
hujui wameajiriwa rasmi na sehemu yao ya kazi ni huku jf???????
 
hii mada nadhani haitatusaidia.....mmoja ni raisi na mwingine ni katibu mkuu wa chama.....sasa sijui tuwalinganishe kwa lipi? kama ni kugombea nafasi ya urais 2015 Jk hatogombea.....kama ni uchaguzi uliopita majibu tunayajua wote....labda utujuze zaidi anakubalika kwa lipi.....ucheshi wake?...urefu?....ukarimu.....nk

Katibu wa chama na Kikwete kama mwenyekiti wa chama tunawalinganisha ili kujua kama leo zingepigwa kura kwa upya nanai angeibuka kidedea mara kadhaa umesikia umaarufu wa fulani wapungua au umeongezeka. Lengo ni kupima utendaji wa rais na Rais mtarajiwa.
 
Kule Nyololo Iringa Dr. Slaa aliingia mitini akawaacha washabiki wake washambuliane na polisi!
 
Back
Top Bottom