Dr. Slaa na Kasulumbai Waunguruma Igunga

kibogo

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
9,739
4,732
Leo Kumefanyika mkutano wa hadhara ambao umekwisha muda mfupi uliohutubiwa na viongozi mbali mbali wa CDM, lengo la mkutano lilikuwa ni kupongezana wana CDM kwa ushindi wa kesi, katika mkutano huu Dr. slaa amewapongeza wananchi wa Igunga katika kufanikisha ushindi wa kesi hii kwani walijitolea kwa hali na mali, pia amewaambia Polisi waepuke kutumika kisiasa kwani mwisho wa siku uhaibika kwa kukamata wananchi wasio na hatia na kuwaachia huru kama wakiona hawawezi kuacha basi wavue uniform na waingie kwenye ulingo wa siasa. Pia amegusia tamko la CCM kutaka kukata rufaa juu ya hukumu iliyotolewa na amesema kila kipengele kilichotolewa hukumu kina ushahidi madhubuti hivyo CCM watajisumbua bure kukata rufaa. pia amezungumzia suala la Magufuli kuuganganya umma wakati wa kesi kuwa ni mgonjwa mahututi na kushindwa kuja kutoa ushahidi wakati huohuo adubuhi akionekana kujibu maswali bungeni na hii Dr. Slaa amesema kama serikali inakuwa na waziri anayedanganya adharani na makusudi basi hapo hakuna serikali kwa hiyo kama Kikwete angekuwa kiongozi madhubuti angekuwa amekwisha mfukuza kazi magufuli kwa uongo ulioidhalilisha serikali yake. mwisho amewataka wanachi wa Igunga kushiriki Sensa kikamilifu kwani ni muhimu kwa maendeleo ya Taifa letu.
P1020159.JPG P1020165.JPG P1020168.JPG P1020172.JPG P1020171.JPG
 
Shukrani kuu kwa kutupa habari hiyo.

CCM KAMA MBWA DOKO SASAHIVI WAMEWEKA MKIA MATAKONI

PIPOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOZ???????????
 
Leo ndio amewakumbuka wanaigunga? Alikuwa wapi siku zote hizi? Igunga hawapati kitu. Ngoja kina Bashe watue hapo ndio kitaeleweka.
 
Leo Kumefanyika mkutano wa hadhara ambao umekwisha muda mfupi uliohutubiwa na viongozi mbali mbali wa CDM, lengo la mkutano lilikuwa ni kupongezana wana CDM kwa ushindi wa kesi, katika mkutano huu Dr. slaa amewapongeza wananchi wa Igunga katika kufanikisha ushindi wa kesi hii kwani walijitolea kwa hali na mali, pia amewaambia Polisi waepuke kutumika kisiasa kwani mwisho wa siku uhaibika kwa kukamata wananchi wasio na hatia na kuwaachia huru kama wakiona hawawezi kuacha basi wavue uniform na waingie kwenye ulingo wa siasa. Pia amegusia tamko la CCM kutaka kukata rufaa juu ya hukumu iliyotolewa na amesema kila kipengele kilichotolewa hukumu kina ushahidi madhubuti hivyo CCM watajisumbua bure kukata rufaa. pia amezungumzia suala la Magufuli kuuganganya umma wakati wa kesi kuwa ni mgonjwa mahututi na kushindwa kuja kutoa ushahidi wakati huohuo adubuhi akionekana kujibu maswali bungeni na hii Dr. Slaa amesema kama serikali inakuwa na waziri anayedanganya adharani na makusudi basi hapo hakuna serikali kwa hiyo kama Kikwete angekuwa kiongozi madhubuti angekuwa amekwisha mfukuza kazi magufuli kwa uongo ulioidhalilisha serikali yake. mwisho amewataka wanachi wa Igunga kushiriki Sensa kikamilifu kwani ni muhimu kwa maendeleo ya Taifa letu.
View attachment 62825 View attachment 62827 View attachment 62828 View attachment 62829 View attachment 62830

Asante sana Kamanda kibogo kwa maelezo mazuri yaliyoshamirishwa na picha.Ubarikiwe sana kuwa sehemu ya ukombozi na mabadiliko
 
Leo ndio amewakumbuka wanaigunga? Alikuwa wapi siku zote hizi? Igunga hawapati kitu. Ngoja kina Bashe watue hapo ndio kitaeleweka.
Bashe!!!!!! Mhmmmmmmmmmm!!!!!!!! Kwani wasomali siwananchi Yao kweli ccm imechoka mpaka inaajiri wasomali kwenye safu Yao ya uongozi kwi! Kwi! Kwi! Kwi! Teh! Teh! Teh!
 
Leo ndio amewakumbuka wanaigunga? Alikuwa wapi siku zote hizi? Igunga hawapati kitu. Ngoja kina Bashe watue hapo ndio kitaeleweka.
Kuna sehemu nyingi zinazomhitaji tabibu huyu bora hata Igunga walimuona
 
Leo ndio amewakumbuka wanaigunga? Alikuwa wapi siku zote hizi? Igunga hawapati kitu. Ngoja kina Bashe watue hapo ndio kitaeleweka.
Dr. Slaa anawakilisha wananchi wa Tanzania yote anapokuwa maeneo mengine ya nchii hii pia huwa anawakilisha wana Igunga Pia, Kuhusu hao akina Bashe unaowasema nafuu wasije maana mwakilishi wao DC ameitisha mikutano mitatu hakuna mwananchi aliyejitokeza ikabidi awabembeleze CDM waitishe mkutano na yeye aje ahutubie CDM wamegoma kumsaidia kwa hiyo ujue Igunga ya 1994 sio ya sasa
 
Leo ndio amewakumbuka wanaigunga? Alikuwa wapi siku zote hizi? Igunga hawapati kitu. Ngoja kina Bashe watue hapo ndio kitaeleweka.

angekuwa mtu pendwa ccm awekewe pingamizi nzega na kuenguliwa kuwa si mtanzania, sasa akienda igunga atakuwa amepata uraia wa kuomba wa uzalendo (asilia)? kama ni kuomba aliosaidiwa na rostam mpaka akampa uceo pale habari corporation, je atawaambia nn kama si ufisadi ataokuwa abebeshwa na rostam?siasa za kundadia huwa hazina tathmini, unayosema ni pumba, maake huyohuyo bashe alikuwepo arumeru mashariki pamoja na kumwaga mafedha kibao aliambulia patupu.wananchi wa kileo wamegudua ghriba za ccm , hao akina bashe, nepi, chembahawezi kujenga ccm bali ni kuibomoa.punguza harakati za mchumia tumbo kuzunguka maofisini kutafuta posho za kuwasafisha akina bashe na kutoa propaganda mfu.Igunga wanataka maendeleo na si ghiriba ambazo hat mahakama imeziainisha.
 
Leo ndio amewakumbuka wanaigunga? Alikuwa wapi siku zote hizi? Igunga hawapati kitu. Ngoja kina Bashe watue hapo ndio kitaeleweka.
kumbuka lichimu likatulagwanhwezi maana yake mkuki haupigwi ngumi,mwambie ajalibu aone huyo bashe
 
yaani kwa nyomi hiyo sina la kusema zaidi ya kumshukru mwenyezi Mungu kwa watanzania kuendelea kukiunga mkono chama pendwa...asante mleta mada
 
Leo ndio amewakumbuka wanaigunga? Alikuwa wapi siku zote hizi? Igunga hawapati kitu. Ngoja kina Bashe watue hapo ndio kitaeleweka.

naona unatapatapa tu we kijana. haujui unalolitapika, mwezi wa tano alipokua kule kupokea wanachama wpya ulikua wap? itakuuma sana tu, hv a focus bro.
 
Back
Top Bottom