Dr Slaa na Godbless Lema kuhutubia mkutano wa hadhara Kahama mjini leo

hiyo mvua mliyokuwa mnasema imekatika au?? vipi attendance yya watu lakini?? ratiba ikoje kwenye jimbo hilo?
 
Mkutano umemalizika kwakweli mwitikio wa watu ni mkubw mno pamoja na mvua kubwa ilionyesha. Hakika saa ya ukombozi ni sasa. Peopleeeeeez!!!!
 
Chadema mwendo mdundo, kina Rejao washmba tu hawana la kusema, wakati umefika sasa wananchi tunashika hatamu kwa kuwaondoa mafisadi, zama za kunyanyasana zimeisha sasa wamebaki wanatapatapa, subirini 2015 ndo mwisho wenu kina Rejao
Mwenzao mwita25 alishajivua gamba....
 
Kweli mkutano ulikuwa mkubwa sana na watu wengi ila kamanda lema sijamwona. Sasa tunaendelea na mkutano wa ndani
 
Jamani wote mliomgongea like huyu jamaa naomba m dislike haraka sana kwani huyu jamaa kapost umbea . jioni hii niko na Lema hapa Arusha Njiro complex. huu aliopost hapa ni uongo wa hali ya juu . asanteni
 
Mikoa ya Kanda ya ziwa at least kuna Mwamko wa watu. Tungependa kusikia watu wakiamka kutoka kanda ya kati, Tabora, Mikoa ya Pwani na kusini mashariki ya nchi wote kwa M4C
 
Sanga umekuwaje? what do you mean "You we also a Looser"? Ukisema also unamaanisha it is true DR ni looser. Can you prove this? Since when He left CCM about 15 Years ago amekuwa akikivua nguo hiki chama moja baada ya ingine sasa kiko uchi kabisa soon kitakuwa uchi wa Mnyama. Na anakivika CHADEMA mavazi ya thamani, Kama Mwanamke mrembo sana CHADEMA inakimbiliwa na kila mtanzania mwenye kiu ya Mabadiriko, how do you associate such kind of a person wirh Rejao or His Boss Kikwete, How?

Nimekusoma, Rejao is a looser in Arumeru and he got sick. Dr. Slaa gained a lot in the last election, he injected a number of members of mjengo not only this but also since then he planted the spirit of change among Tanzanian, If you can make a graph the trend is if he is going to stand in 2015, he is going to win with a very big margin. So Rejao should join Milya now before he gets sick. Basicall I have understood my technical mistakes.
 
Jamani wote mliomgongea like huyu jamaa naomba m dislike haraka sana kwani huyu jamaa kapost umbea . jioni hii niko na Lema hapa Arusha Njiro complex. huu aliopost hapa ni uongo wa hali ya juu . asanteni

soma coment zake zote, ashakiri kuwa lema hayupo hapo kahama na akasema huenda viongoz waliopo pale wataeleza kwa nn hajatokea, next time usifanye maamuz ya kukurupuka bana!
 
Jamani wote mliomgongea like huyu jamaa naomba m dislike haraka sana kwani huyu jamaa kapost umbea . jioni hii niko na Lema hapa Arusha Njiro complex. huu aliopost hapa ni uongo wa hali ya juu . asanteni

Kama ww ni mfuatiliaji wa thread hii tayari nimeelezea kutokuwepo kwa lema kwenye mkutano huu pia kwenye ziara ya Dr slaa. Tatizo siyo mimi ni uongozi na gari la matangazo walivyo tangaza asubuhi.
 
Jamani wote mliomgongea like huyu jamaa naomba m dislike haraka sana kwani huyu jamaa kapost umbea . jioni hii niko na Lema hapa Arusha Njiro complex. huu aliopost hapa ni uongo wa hali ya juu . asanteni

mkuu acha jazba. Hebu malizia PIIIPOOOOZZZIII . . . . . . . !
 
Tupo pamoja kamanda MNYISANZU. Pamoja tutashinda M4C. Pipoooooooooz!
 
Jamani wote mliomgongea like huyu jamaa naomba m dislike haraka sana kwani huyu jamaa kapost umbea . jioni hii niko na Lema hapa Arusha Njiro complex. huu aliopost hapa ni uongo wa hali ya juu . asanteni

Kwa umri wako ndani ya JF, natoa asilimia kubwa ya kukuamini wewe na wala siyo mtoa mada
 
Watu wasipotoshe, Ni kweli Dr Slaa alikuwa Kahama.
Kesho au kutwa anaingia Mwanza
 
Watu wasipotoshe, Ni kweli Dr Slaa alikuwa Kahama.
Kesho au kutwa anaingia Mwanza

alivyosema yeye, kesho Ushirombo na wilaya mpya Mbogwe, keshokutwa Geita, mtondo Sengerema, mtondogoo Magu. Mwisho kabisa Mwanza
 
Back
Top Bottom