Dr.Slaa na Dr. kikwete.....

nziriye

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
1,051
360
Wanajf jamaani natumaini kuwa mu wazima wa afya na mwaendelea poa na kazi za kutafuta na kuleta maendeleo ya hapa tz,sasa nimekuwa nawaza muda mwingi kuna gani na utofauti gani kati ya madokta wawili hawa wa hapa tz,ni kati ya doctor.slaa na dokta kikwete,pliz jamani nisaidieni ,lakini ngoja nianze mie kwanza...slaa mkristo,kikwete muislamu,slaa ni mmburu kikwete ni mkwere,slaa ni chadema kikwete ccm ....haya jamani nisaidieni pliz
 
okey ni mmburu au muiraqw basi ,hapo nadhani nimeweka sawa
 
Mmoja ni dakta wa ukweli na mwingine ni dakta wa uchakachuaji. Tofauti kubwa.
 
Aliyeanzisha thread hii ni mkabila, mdini na mpenda shari. Tunaongelea mambo yatakayoleta mabadiliko kwenye nchi yetu, Ukwere na Umburu, uislaam na Ukristu, Udakta wa ukweli na wa Uchakachuaji, vinafaida gani hapa?.....
 
Mwengine amepewa udr. kwa ajili ya kuombaomba huko ughaibuni na kuchakachua, ufisadi, kuchekacheka kama #$@#$ na mwengine ni Dr. wa ukweli:roll:
 
Hiz thread nyingine bana, zimekaa kama zipo shule ya Vidudu..........

Ukisoma heading unaona mzinga wa habari na ndani unakuta PUMBA.

Mbona hata vidole vyako wewe mwenye vinapishana, sasa itakuwa watu wawili?

Hata Laptop zangu zinapishana, itakuwa Kikwete na Slaa?

Ningelikuwa Mod basi habari kama hizi nazifungia palepale hadi zitakapoandikwa na kuwa na Kichwa, kifua, tumbo na miguu.

Tukijua TOFAUTI zao kama TAIFA zitatusaidia nini? Kumbuka hapa tunajadili zaidi UTAIFA. Hizo za ana dini gani au ni Dr gani sisi hatujali sana. Tumeona akina Chenge na Degree zao za Havard, ndiyo wanafisadi taifa hili. Akina Prof. Mahalu wamekomba hela za nchi hii. Hivyo basi sasa tunaweka UTAIFA mbele na kuangalia kwanza mtu kalisaidia vipi taifa hili na si Dini yake, jina lake, elimu yake.......
 
Back
Top Bottom