Dr Slaa na Chadema sasa basi, inatosha!

Slaa amefanya nini zaidi ya kuimba wimbo wa UFISADI? Imebaki atoe wimbo wa Taarab aupe jina FISADI. Alete mambo mapya sio kukalia tatizo moja kila siku. Kila kipanda kwenye jukwaa anatoa list ya watu. Tunataka kusikia chama chake kina fanya nini bungeni? Uchaguzi umepita sasa wabunge wake wafanye kazi yao bungeni, na hii tabia ya kidemu ya kususa waache.

Umenisikisha sana,yaani mpaka leo hujatambua kwamba sababu ya watanzania wengi kuishi maisha duni ni kutokana na matumizi mabaya ya rasilimali.!!
 
Mwacheni JK na watu wake wapate dozi, kwani nchi imewashinda.

Mfano; JK anasema kwenye sherehe za meimosi kuwa hawezi kukubali mtanzania kuwa mtumwa kwa mwajiri wake ndani ya nchi yake (yaani TZ), hivi kweli anajua anachokisema huyu mkuu wetu? Kuna viwanda vingapi vya wageni/wanyonyaji (wao wanawaita wawekezaji) mfanyakazi kibarua miaka nenda rudi, hakuna mkataba, hana medical insurance, mafao ya uzeeni na mwajiri anakufukuza siku yeyote akijisikia. Kuna kiwanda kimoja maeneo ya Vingunguti kibarua wa miaka rukuki alikufa kwa ajali akiwa kazini ikabidi mwajiri wake amwajiri siku ile baada ya kufa ili kukwepa taabu ya kisheria iliyokuwa mbele yake!

Mwacheni Dr. Slaa na Chadema wafanye kazi yao. CCM nchi imewashinda na hawana jipya leo, kesho wala keshokutwa.

Aisee hali ni mbaya tena ni kama serikali imeingia nuksi, kila kitu kitu kinakwenda mrama siku hizi!
Kila kukicha ni ufisadi umefichuliwa hapa umefichuliwa pale!
Hizo ajira millioni za Kikwete zimebaki stori tu!

Swala la ufisadi nadhani ni hoja kubwa maana watu hawawezi kuish bila kukwiba aisee! Sasa najiuliza kibarua kikiota nyasi hiyo 2015mkini hapatakalika, nadhani makamba atakua ameshawatayarishia mashamba. Kuanza kilimo kwanza chao!
 
CCM walijisahau kabisaaaaaaa. Nadhani walifika mahali wakadhani kwamba wao ni wao tu. Ndipo wajue kuwa cheo ni dhamana. Hongera CDM kwa kasi yenu. Ila nawashauri muongeze kasi kidoooogooo!!!!!!!!!
 
Hata mimi namuonea huruma sana huyu mbaba(JK) naona kila saa anajichekesha tu! Sijui tumsaidie vp!!
 
Hali ya nchi imekua tete sana siku hizi. Dr Slaa na Chadema wameifumuafumua CCM na serikali yake, wamebaki wanahaha kutwa kuchwa kumtafuta mchawi ni nani wakati wamejoroga wenyewe! CCM nako wanajikanyaga kanyaga tu kujivua gamba hakuwezekani kwani gamba linang'oka na ngozi! Ukiachilia unyoka wa CCM kubaki palepale, sijaona gamba hata moja lililovuliwa, wembe wa CCM ni ule ule UFISADI!

Baada ya DR Slaa kuanza kufumua fumu fumu hadharani ufisadi wa CCM tangu alipokua bungeni na Chadema kuendeleza makali hayo kwa kasi na ari zaidi sasa uchafu wote wa serikali hadharani. Kila mwananchi anajua kila uchafu unaoendelea serikalini.

Kwa miaka kadhaa wananchi tulikua tunafichwa UFISADI wa serikali ya CCM, vigogo walijimegea nchi kwa ari ya ajabu kabisa!

Sasa wananchi tunaona na kuelewa Serikali yetu kwa namna inavyonuka hadi nasikia aibu! Rais baada ya kutajwa fisadi na ufisadi wake wa wazi nae anajikanyaga tu hana meno, hana guts za kumwadhibu yoyote kwa uchafu wake binafsi pia,magamba hayavuki basi tu! Kwa kujikomba komba kwa raia na watu anaishia kuwa msanii sanii na kutoa ahadi za kuclick, za uongo uongo hadi namuonea huruma huyu baba aliyewatoa wakwere kimasomaso, nchi inamshinda kwa kasi na ari ya Chadema ambayo imewashika na watanzania sasa inaivuruga vuruga serikali ya CCM hadi nahisi nchi inakwenda mrama sasa!

Nawaomba Dr Slaa na Chadema kuwa jamani eeh waungwana inatosha tosha sasa, have mercy on our president, kasi yenu inafanya taifa halitawaliki kweli, chama cha magamba kushnei!
Chadema naomba punguzeni spidi!
Mkuu umesahau ile kaulimbiu ya .............. mpaka kieleweke??
 
Slaa amefanya nini zaidi ya kuimba wimbo wa UFISADI? Imebaki atoe wimbo wa Taarab aupe jina FISADI. Alete mambo mapya sio kukalia tatizo moja kila siku. Kila kipanda kwenye jukwaa anatoa list ya watu. Tunataka kusikia chama chake kina fanya nini bungeni? Uchaguzi umepita sasa wabunge wake wafanye kazi yao bungeni, na hii tabia ya kidemu ya kususa waache.

Wewe huna hata aibu? Kwani alete wimbo mwingine? Ina maana ufisadi umepatiwa jibu? As long as ufisadi bado uko, wacha waimbe hadi kieleweke na pole wewe unayekwazika maana naona wewe ni mmojawao....mwaka huu mtajua kuna watu wajasiri na wapenda NCHI YAO
 
N.Mandela aliwai kusema na mimi pia nasema hivi When the water start boiling its foolish to turn off the heat. Go Dr.Slaa, Go Chadema. kwa kasi mpya zaidi na hali mpya zaidi.
 
Hii thread umeianza vizuri sana mkuu lakini kwenye kupunguza speed hapo sikukubalii... CDM ongeza speed hadi kieleweke................. Priiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii mpaka Ikulu.​
 
Slaa amefanya nini zaidi ya kuimba wimbo wa UFISADI? Imebaki atoe wimbo wa Taarab aupe jina FISADI. Alete mambo mapya sio kukalia tatizo moja kila siku. Kila kipanda kwenye jukwaa anatoa list ya watu. Tunataka kusikia chama chake kina fanya nini bungeni? Uchaguzi umepita sasa wabunge wake wafanye kazi yao bungeni, na hii tabia ya kidemu ya kususa waache.
Pole, kawaambie waliokutuma kwamba nimekuta bado wako macho, watanifanya kitu mbaya. Halafu unyamaze usirudie tena kuharibia watu wakubwa mazungumzo yao.
 
Hali ya nchi imekua tete sana siku hizi. Dr Slaa na Chadema wameifumuafumua CCM na serikali yake, wamebaki wanahaha kutwa kuchwa kumtafuta mchawi ni nani wakati wamejoroga wenyewe! CCM nako wanajikanyaga kanyaga tu kujivua gamba hakuwezekani kwani gamba linang'oka na ngozi! Ukiachilia unyoka wa CCM kubaki palepale, sijaona gamba hata moja lililovuliwa, wembe wa CCM ni ule ule UFISADI!

Baada ya DR Slaa kuanza kufumua fumu fumu hadharani ufisadi wa CCM tangu alipokua bungeni na Chadema kuendeleza makali hayo kwa kasi na ari zaidi sasa uchafu wote wa serikali hadharani. Kila mwananchi anajua kila uchafu unaoendelea serikalini.

Kwa miaka kadhaa wananchi tulikua tunafichwa UFISADI wa serikali ya CCM, vigogo walijimegea nchi kwa ari ya ajabu kabisa!

Sasa wananchi tunaona na kuelewa Serikali yetu kwa namna inavyonuka hadi nasikia aibu! Rais baada ya kutajwa fisadi na ufisadi wake wa wazi nae anajikanyaga tu hana meno, hana guts za kumwadhibu yoyote kwa uchafu wake binafsi pia,magamba hayavuki basi tu! Kwa kujikomba komba kwa raia na watu anaishia kuwa msanii sanii na kutoa ahadi za kuclick, za uongo uongo hadi namuonea huruma huyu baba aliyewatoa wakwere kimasomaso, nchi inamshinda kwa kasi na ari ya Chadema ambayo imewashika na watanzania sasa inaivuruga vuruga serikali ya CCM hadi nahisi nchi inakwenda mrama sasa!

Nawaomba Dr Slaa na Chadema kuwa jamani eeh waungwana inatosha tosha sasa, have mercy on our president, kasi yenu inafanya taifa halitawaliki kweli, chama cha magamba kushnei!
Chadema naomba punguzeni spidi![/QU

na sidahani kama kuna ****** atakuja kutawala tena maana jamaa kavurunda mbaka aibu ha ha ha nimecheka eti kawatoa kimaso maso wakwere ha ha
 
Ni kweli dr Slaa kafichua ufisadi lakini nadhani siyo peke yake. Tofauti tu ni kwamba yeye alizua moto bungeni na kwenye mikutano ya hadhara. Ukisoma magazeti, ukinukuu thread nyingi hapa JF hasa za MM utakubali kwamba siyo dr Slaa peke yake. Wote wapewe sifa

dr slaa anaongoza na kuwakilisha kundi lililo ndani ya system (dola) na nje ya system (umma mzima) kueleza yale yasiyobeba tunu za taifa....

haifurahishi hata kidogo ukiambiwa mtaa mzima watoto wamefeli eti wako ndiyo amefaulu...

inauma pia unapona majirani kutwa washinda kwako kuomba hela za matibabu....

na huwezi kuwanyima, maana ndio hao tunaokula nao, tunaosherehekea nao, tunaozikana nao...watoto wao ndiyo wanacheza na watoto wetu muda mwingi ambapo hatupo nyumbani, ndio wanaotuazima dada zao watulelee watoto wetu.....ndio watakuwa wakwe zetu...ndio wanaoamulia kesi zetu za ndoa wake zetu wanapotutuhumu kuwa tumezidisha lager (kupiga masiwa)

kibaya sie tunafanya kazi kwa bidii, tumejiendeleza kwa bidii.....tuna nafuu lkidogo lakini ni nukweli kwamba the majority huishi wakitegemea how do we arrange for them...

tunawajibika vyema, tunalipa kodi ipasavyo, na TRA wanakusanya kodi, na wao wenyewe wanashangaa zinakwenda wapi...siku hizi hata wakitumwa wakamfilisi mtu wa chadema hawana hamu kwani hata wao hawakumtuma kikwete apeleke makusanyo kwa ROSTAM...bali walimtuma ajenge shule, aajiri walimu, atoe dawa hospitali, ajenge barabara, atetee wanyonge na si vinginevyo....

inafikia kipindi mtanzania ambaye ana nafasi katika jamii anakuwa termed as fisadi japo hajahusika...hii itatufanya tuchomewe kwenye nyumba zetu.....

its time to side with wananchi!!!!!but we always need to use one microphone....that is dr slaa....

we need to use political platform..that is chadema...

God bless!!
 
Back
Top Bottom