Bigirita
Platinum Member
- Feb 12, 2007
- 15,986
- 7,366
Tuanze na Jakaya Kikwete ni Dr wa nini?
akishajibu hilo, aseme pia Kikwete amesomea wapi na lini hiyo phd yake.
Tuanze na Jakaya Kikwete ni Dr wa nini?
hivi wale wahadhiri wanaoitisha maandamano ya kudai mou na kanisa uvunjwe na kutaka mahakama ya kadhi, ni wahadhiri wa kitu gani na wamesomea nini na wapi? Education qualification zao ni zipi?
Just curious???!!!
Jibu ni madrasa, kwao falsafa ni elimu dunia haiendani na elimu ya Mungu.
Dr.Slaa anasumbua vichwa vya mafisadi na vilaza wanaoishi kwa mazoea. Ndugu yangu Topical, Dr.Slaa sio level ya wahadhiri wa madrasa wanaotaka kuandamana kesho. Falsafa imelala pale na kamwe usifikiri ni ule udokta wa kupewa na shemeji zako wakifurahi. Yule kasoma.
Napendekeza Mufti ajaye awe Mh.Zitto Kabwe ili na sisi tusio na hospitali na vyuo vikuu angalau kwa mara ya kwanza tuongozwe na mtu aliyevuka form 4, au wadau wa mahakama ya ndoa mnasemaje?
Tafuteni mtu mwingine wa kumuuza lakini huyu jamaa yenu hafai hata kidogo, hivi hakuna watu waliosoma huko chadema kuliko kutuletea degree za kanisani wanandugu???
Tafuteni msomi wa elimu dunia bana
Elimu ya dini inaweza kukupa upeo wa kufahamu Memorundum of Understanding?kuhusu mufti mmeenda mbali hapo, hatuhitaji digree Ni Elimu ya dini pia busara na hekima.
...ambayo inatumika mbingunikwani sio doktari wa canon law
...labda mabinti!Tuanze na Jakaya Kikwete ni Dr wa nini?
kuhusu mufti mmeenda mbali hapo, hatuhitaji digree Ni Elimu ya dini pia busara na hekima.
Tafuteni mtu mwingine wa kumuuza lakini huyu jamaa yenu hafai hata kidogo, hivi hakuna watu waliosoma huko chadema kuliko kutuletea degree za kanisani wanandugu???
Tafuteni msomi wa elimu dunia bana
the free encyclopedia
Doctor of Canon Law (Latin: Juris Canonici Doctor; J.C.D.) is the doctoral-level terminal degree in the studies of canon law of the Roman Catholic Church.
It may also be abbreviated I.C.D. or dr.iur.can. (Iuris Canonici Doctor), ICDr., D.C.L., D.Cnl., D.D.C., or D.Can.L. (Doctor of Canon Law). Doctor of both laws (i.e. canon and civil) are J.U.D. (Juris Utriusque Doctor), or U.J.D. (Utriusque Juris Doctor).
A doctorate in canon law normally requires at least two years of additional study and the development and defense of an original dissertation that contributes to the development of canon law after having earned the degree Licentiate of Canon Law. Only pontifical universities and ecclesiastical faculties of canon law may grant the doctorate or licentiate in canon law.
The Licentiate of Canon Law is a three-year degree, the prerequisite for the study of which is normally the graduate level bachelor of sacred theology (S.T.B.), a master of divinity (M.Div.), a master of arts in Roman Catholic theology (M.A.), or a civil law degree (J.D. or LL.B.) and a bachelor degree in canon law (J.C.B.) or its relative equivalent.
While not a civil law degree, the doctor of canon law is comparable to the Doctor of Juridical Science (J.S.D.) or doctor of laws (LL.D.) in terms of academic level of study as they are terminal academic degrees.
Members of the Supreme Tribunal of the Apostolic Signatura, Auditors of the Tribunal of the Roman Rota, judicial vicars, ecclesiastical judges, defenders of the bond, and promoters of justice, must possess either a doctorate or license in canon law. Either of the degrees is recommended for those who serve as vicar general or episcopal vicar in a diocese. Candidates for bishop must either possess the doctorate in canon law or the doctorate in sacred theology or be truly expert in one of those fields. Canonical advocates must possess the doctorate or be truly expert.
The Roman Church has the oldest continuously used homogenous legal system in the world. Following the Gregorian Reform's emphasis on canon law, bishops formed cathedral schools to train the clergy in canon law. Consequently, many of the medieval universities of Europe founded faculties of canon law (e.g., Cambridge and Oxford). Since the Protestant Reformation, however, they became limited to those universities which retained Catholic faculties (e.g., Pontifical University of St. Thomas Aquinas (Angelicum), Gregorian University, Catholic University of Louvain,
Soma hapo kwenye red; ndio maana wakristu wanawapiga bao, nyie mmekazana na mdrasa wenzenu kwenye vyuo vyao wanafundisha kila kitu, elimu dunia na ile ya dini. Kwa taarifa yako ukichukua course content ya law (UDSM) ni kama ka-subset ka course content ya Canon law ya UrbanianaUniversity aliposoma Dr. wa ukweli Slaa, ndio maana mzee wa msoga na PhD zake feki hawezi kutia mjadala na Slaa, anamjua!