Mzito Kabwela
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 18,857
- 7,615
Nimeiboresha signature yako mkuu.......pamoja sana2005 Sikumpa Kura Yangu JK hakuwafanyia lolote la maana wakazi wa Chalinze alikowatumikia kwa miaka 15 ; 2010 Sikumpa Kura Yangu JK Kwa Sababu JK anakenua kenua meno hovyo bila utendaji. Siwezi Kutoa Kura Yangu kwa anayekenua kenua meno hovyo bila utendaji. Bora Nife Tu, Kuliko Kutoa Kura Yangu Kwa anayekenua kenua meno hovyo bila utendaji. Anayekenua kenua meno hovyo bila utendaji Hastahili Kuwa Rais wa TZ. Ndiyo Maana Tuna Matatizo Mengi Kwa Sababu ya Huyu anayekenua kenua meno hovyo bila utendaji.
.