Dr.Slaa Mgonjwa?

Majibu ya Dr Slaa kutoka kwenye thread nyingine

WanaJF,
Kwanza napemda kuwasalimu kwa heshima na taadhima.
1. Siku zote nimewaasa mdugu zangu kupanda juu ya ushabiki usio na maana. Tusipoteze muda kwenye ushabiki bali tutumie muda wetu kujadili mustakabali wa Taifa letu ambalo kila siku linaporomoka.
2. Kujadili umaarufu wa Slaa au Lipumba hakutaokoa Taifa. Tutumie muda zaidi kujadili hoja na vision ya mtu ndio mambo pekee yatakayookoa Taifa؛ kupunguza makali ya maisha, kuokoa uchumi wetu, kuwapatia vijana ajira, kujadili msingi ya matatizo yetu .
3. Dr Slaa nilikuwa Lago di Como Milan(siyo Vatican) kwenye mkutano wa kimataifa uliohusu hali ya uchumi. Mkutano huo umepangwa zaidi ya miezi 8 iliyopita na ratiba ya Dr slaa haina uhusiano na ratiba ya Prof. Lipumba. Isitoshe siasa si uadui.
 
Hata mie nilimsikia Nchemba ITV jana alikwenda mbali zaidi na kumponda mgombea wa Chadema Nassari akimfananisha na Ngassa wa Azam.
 
Siku Prof.Lipumba anarudi toka marekani,Dr.Slaa alikuwa anarudi pia toka anakojua mwenyewe.
Kuna uhusiano wowote kati ya maneno ya Nchemba na Safari ya Dr.Slaa?
Kwamba kafulia kiasi kwamba anaomba kutibiwa na serikali?
Mara nyingi safari zake za nje huwa anatoa taarifa,kwanini hii ilikuwa kimya kimya?

Dr.Slaa,toa ufafanuzi.
Hizi ndio sera ambazo CCM huwa wanasema wapinzani hawana?
 
Kwa nini sasa Slaa anakwenda kuingukia serikali wampeleke kutibiwa kwa siri pamoja kuwa ni haki yake kwa nini anafanya siri.
 
Siku Prof.Lipumba anarudi toka marekani,Dr.Slaa alikuwa anarudi pia toka anakojua mwenyewe.
Kuna uhusiano wowote kati ya maneno ya Nchemba na Safari ya Dr.Slaa?
Kwamba kafulia kiasi kwamba anaomba kutibiwa na serikali?
Mara nyingi safari zake za nje huwa anatoa taarifa,kwanini hii ilikuwa kimya kimya?

Dr.Slaa,toa ufafanuzi.

Huyo Nchemba ni bure kabisa, sasa hapo alikuwa anajaribu kuongea nini?
Kitendo cha kuomba peke yake ni ishara ya unyenyekevu.
Au kwasababu yeye haombi kura bali anahitaji ndiyo maana hanyenyekei.?
 
Majibu ya Dr Slaa kutoka kwenye thread nyingine

Thanks to that, kumbe Dr naye ameona tatizo kwa hawa mashabiki, amezidi kujidhihirisha kuwa yeye ni mtu makini, ila inanisikitisha kuona kuona kiongozi makini anaburuza behewa lililojaa wajinga na wapumbavu, naye anaanza kuuhisi uzito wa huo mzigo.
 
Kwa nini sasa Slaa anakwenda kuingukia serikali wampeleke kutibiwa kwa siri pamoja kuwa ni haki yake kwa nini anafanya siri.

Sidhni kama aliiangukia serikali, hayo ni maneno ya Nchmba The Lodi Lofa (Lodi Lofa Nchemba)
 
Siku Prof.Lipumba anarudi toka marekani,Dr.Slaa alikuwa anarudi pia toka anakojua mwenyewe.
Kuna uhusiano wowote kati ya maneno ya Nchemba na Safari ya Dr.Slaa?
Kwamba kafulia kiasi kwamba anaomba kutibiwa na serikali?
Mara nyingi safari zake za nje huwa anatoa taarifa,kwanini hii ilikuwa kimya kimya?

Dr.Slaa,toa ufafanuzi.

kwa hiyo kama aliomba kwa unyenyekevu? Sijaelewa bado mnachotaka kusema.
 
Tatizo sio kuugua,tatizo ni kwanini aombe msaada serikalini kwenda kutibiwa?
Ni kwamba kafulia au?
Kwanini msimchangie wana JF maana ni "mungu" hapa,hatakiwi kuongelewa.

By so doing, amevunja sheria ipi apo?
Hujui kuwa Sla ni kiongozi wa kitaifa?
 
Tatizo sio kuugua,tatizo ni kwanini aombe msaada serikalini kwenda kutibiwa?
Ni kwamba kafulia au?
Kwanini msimchangie wana JF maana ni "mungu" hapa,hatakiwi kuongelewa.

Dr. PWS ni Mtanzania, anyohaki ya kugharamiwa matibabu na serikali kama mtu mwingine yeyote, sasa ajabu hapo ni kitu gani??? Hata hivyo habari yenyewe imekaakaa kijungujikojungujiko!!! Maana hata kama msomaji ni mwehu angekuuliza swali hivi majuzi tuu mlileta thread humu mkishutumu eti Hospitali ya CCBRT ambayo mlidai kuwa inamilikiwa naye eti inatoza gharama kubwa sana...iweje leo mmekuja na stori kuwa ameomba msaada wa matibabu serikalini...hospitali yake ya bei ghali imeshindwa??? Ukiwa mwongo usiwe msahaulifu...
 
Ninavyofahamu anaumwa mkono kwa muda mrefu tangu adondoke chooni wakati wa kampeni. Sasa kaugua nini cha kumpeleka ughaibuni?
 
Kwa nini sasa Slaa anakwenda kuingukia serikali wampeleke kutibiwa kwa siri pamoja kuwa ni haki yake kwa nini anafanya siri.
naona una hamu ya kujua mambo yake binafsi sana kama vipi ongea na josephine akuachie....
 
Back
Top Bottom