Saharavoice
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 3,879
- 2,369
Sasa kazi ni moja tu nayo ni kumnadi mgombea huyu makini. Kampeni mbele kwa mbele: mtaa kwa mtaa, nyumba kwa nyumba, chumba kwa chumba, kitanda kwa kitanda - mpaka kieleweke mwaka huu. Hongera Dr. Slaa! Tuko nawe.
Babuyao, kampeni peke yake haitoshi, kazi kubwa ni kuzilinda kura kama karatu na Tarime wafanyavyo, vinginevyo bado ushindi wa kishindo kwa CCM uko palepale. tunahitaji mawakala wazalendo na ikiwizekana watoke Tarime, Karatu, Pemba na Kigoma maana huko inaonekana kweli wana uchungu na Mageuzi.
Tukiendelea kuwatumia hawa wa aina ya 2005 wachumia Tumbo bado tutagalagazwa hii ni angalizo tu.