Dr. Slaa: Mchakato wa katiba mpya kuanza ndani ya miezi minne nikipewa madaraka

..too much money and time is wasted ktk mchakato.

..Issa Shivji na Mark Bomani wangeweza kuandika katiba mpya in 100 days.

..sasa hivi wanakwenda kuongea na wananchi ambao hawana uelewa wowote ule na masuala ya katiba.

..mapesa wanayofuja yangeweza kujenga vyuo kadhaa vya VETA wenetu wakasoma humo.

Kweli wewe ni joka kuu tena lenye ndimi mbili. Hivi katiba si lazima itokane na wananchi, sasa issa shivji ndo angekuwa amebeba mawazo ya watz wote. Kweli masaburi at profitless work.
 
Kweli maamuma wamevamia Jf,hivi wewe unajitambua kweli? KAJIPANGE upya tena
 
Na ndio maana watanzania walimshitukia kwa uongo wake na kumpiga chini.
 
Yale yale ya "Tuko kwenye mchakato". Nadhani angekuwa firm kwa kusema angetupatia Katiba Mpya ndani ya kipindi fulani; uwe mwaka ama miaka miwili lakini eti Mchakato ungeanza baada ya siku 100 bila kutaja ungeisha lini ilikuwa kama danganya toto vile.

sijakupata mkuu wangu!
 
Naona unatafuta umaarufu wa lazima hapa Jf,na sipo tayari kubishana na wewe zao la shule za kata
 
MJENGA,

..we need katiba mpya lakini siyo kwa gharama za tume hii ya Warioba.

..ndiyo maana nikapendekeza tufupishe mchakato wa katiba kwa kuepukana na tume inayozunguka nchi nzima kukusanya maoni ya wananchi wasiokuwa na uelewa wowote ule na masuala ya katiba.

..tungeweza kuwa na kamati ndogo ya watalaamu, ambayo ingekaa na kuandaa major constitutional amendments na baadaye serikali kupeleka mswada bungeni. asasi za kiraia zingeweza kupeleka maoni yao kwa kamati hiyo.
 
Last edited by a moderator:
hv ulikuwepo kipindi cha uchaguzi na ukasikia alicho kuwa anakizungumza dk slaa? Au unakurupuka tu na aujui unacho andika hapa jf na ukizingatia hili jukwaa linatembelewa na watu makini, kajipange upya alafu ulete topic yako hapa kwenye jukwaa

No. The question holds water and it deserves our attention. unajaribu kuficha nini? kwamba the ongoing process is taking unnecessarily overly too much long time and burning lots of time and our taxes or what?
 
angalia na huyu sijui kakurupuka toka wapi!

Mimi nimekurupuka au wewe?. Kwani kuna uongo kusema Slaa alinyimwa kura za kutosha kwa kuwa alikuwa anaongopea wapiga kura na walipomshitukia, wajanja wakapiga kwa mwenye sera za uhakika.
WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI
 
Yale yale ya "Tuko kwenye mchakato". Nadhani angekuwa firm kwa kusema angetupatia Katiba Mpya ndani ya kipindi fulani; uwe mwaka ama miaka miwili lakini eti Mchakato ungeanza baada ya siku 100 bila kutaja ungeisha lini ilikuwa kama danganya toto vile.

CCM na CDM vyote ni vyama vya siasa vinavyoongozwa na wanasiasa; tofauti yao kubwa ni moja kwamba kimoja kina dola kingine kinataka kushika dola.
 
Hebu wana J.F tuijadili kauli ya Dr Slaa kuwa angechaguliwa kuwa Rais wa TZ angetupatia katiba mpya ndani ya siku 100 za kuwepo kwake Ikulu. Je, kauli hii ina ukweli wowote kwa kuzingatia mchakato mzima wa upatikanaji wa katiba mpya.

Kauli hiyo ilitolewa wapi? Dr. Slaa hajawahi kusema kuwa angewapatpia Katiba ndani ya siku 100
 
Mimi nimekurupuka au wewe?. Kwani kuna uongo kusema Slaa alinyimwa kura za kutosha kwa kuwa alikuwa anaongopea wapiga kura na walipomshitukia, wajanja wakapiga kwa mwenye sera za uhakika.
WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI

Ha ha ha haaaa Barnabas nimeipenda hiyo quote kwamba wasiosoma ni chakula cha wasomi. Kwa hiyo Wanachadema ni chakula cha Slaa coz ndani ya cdm Slaa wanamwamini hata ding'a lake watu wanaona ni ugali tena wa udaga.
 
sijakupata mkuu wangu!

Sikulipenda neno "mchakato ungeanza ndani ya siku 100" Haya mambo ya mchakato yanatuumiza kwa kuwa mtu anaishia kusema tuko kwenye mchakato. Mara nyingi neno mchakato linatumika kama kichaka cha kujificha ukiwa hujatekeleza mambo fulani. Utaishia kusema tuko kwenye mchakato!
 
Hebu wana J.F tuijadili kauli ya Dr Slaa kuwa angechaguliwa kuwa Rais wa TZ angetupatia katiba mpya ndani ya siku 100 za kuwepo kwake Ikulu. Je, kauli hii ina ukweli wowote kwa kuzingatia mchakato mzima wa upatikanaji wa katiba mpya.

hakusema atatupatia katiba ndani ya siku 100 bali angeanzisha mchakato wa kutunga katiba mpya ndani ya siku 100
 
Ha ha ha haaaa Barnabas nimeipenda hiyo quote kwamba wasiosoma ni chakula cha wasomi. Kwa hiyo Wanachadema ni chakula cha Slaa coz ndani ya cdm Slaa wanamwamini hata ding'a lake watu wanaona ni ugali tena wa udaga.
Hapo pa kijani panahusika zaidi, wanamuamini sana yule babu sijui kawalisha kitu gani. Chadema wote wameshakuwa chakula cha Slaa. Kila wanachowaza wanamuwaza tu yule babu.
WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI
 
Mimi nimekurupuka au wewe?. Kwani kuna uongo kusema Slaa alinyimwa kura za kutosha kwa kuwa alikuwa anaongopea wapiga kura na walipomshitukia, wajanja wakapiga kwa mwenye sera za uhakika.
WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI

kwa hiyo unakubaliana na kauli ya mleta thread?
 
Back
Top Bottom