Dr. Slaa+Mbowe+Zitto Kabwe CCM haiwezi kupona 2015!

Hamna ujanja huo. Kuna kundi kubwa sana na muhimu sana ambalo haliwaungi mkono na mnajuwa kwanini.

siasa za maneno ya kujifariji, subirini 2015 hao wabunge tuliowapa ili tuwape nguvu tuishushe cuf nafasi ya pili hamtawapata tena, ni sisi ndio tunaoamua nani awe nafasi ya pili, 2015 nafasi ya pili NCCR.
 
Zanzibar mna kiti hata kimoja?

Labda kwa kususa, amabyo haijawahi kutokea duniani, kwa kura hamuwezi.
 
Utachukuwa nchi kwa kura au kwa kususa? jiulize!

Safari hatuna haja tena ya kutumia ballot box kama 2010, kama unabisha rejea kauli mbiu na falsafa ya NGUVU YA UMMA huo huwa sio wimbo bali wachache tunajua maana yake so inabidi mjipange kuhama nchi.
 
Hapo ndio mtaijuwa Tanzania, mnaisikia tu.
 
Mimi naamini Hawa watu 3 ni utatu mtakatifu wa CHADEMA; wakifanya kazi kwa ushirikiano CCM hawawezi kutamba 2015. watachakazwa vibaya! Ndo maana kuna juhudi za kuwagombanisha! Nawakilisha!

Teh teh teh. CCM inawagombanisha? kweli wajinga , hawafai kuongoza nchi kama wanaweza kupelekwa pelekwa hivyo wakakubali?
Hivi kumbe ni CCM iliyomwabia ZITTO atangaze nia ya urais 2015?
Nilikuwa sijui, kumbe CCM ndiyo iliyomwabia SLAA, bwana mkeo JOEPHINE akikataliwa kutengeneza mfumo wa fedha wa CDM ukomae hadi kieleweke?
CDM jamani tuambieni sisi makamanda jinsi ambavyo fedha zinazopatikana kwenye harambee, kutoka kwa wahisani wa nje na zile za ruzuku zinavyotumia. Je ni viongozi wote wa CDM wanazifaidi? au huu utatu ni wa kifedha? Samahani kaka yangu ZITTO kwa kukuunganisha humo ni kwa sababu tu umesingiziwa na mleta mada kuwa nawe unatengeneza huu utatu, amefanya hivyo makusudi ili kuonesha kuwa hakuna ubaguzi wa kikabila na udini.

CDM, Makamanda wenzangu acheni hii inami mnayoiamini ya upendeleo wa vyeo ndani ya chama. Niulize kwa mara nyingine tena, hivi urembo ni sifa mojawapo ya mwanamke kupata cheo ndani ya chama chetu? Mbona naona kama hawa akina Kiwelu, Abwao, Lucy, Nyerere wangeweza kufanya shughuli za urembo? Kuna nini hapa na mwenyekiti wenu?
Mara nyingi nasikia sana bungeni maneno haya: "KWANZA KABISA NAPENDA KUMSHUKURU MSEMAJI WA KAMMBI YA UPINZANI KWA KUNIAMINI NA KUNIPA NAFASI HII" ni uaminifu gani huu ambao unakuwa unaongelewa na hawa akina mama?
 
Mimi naamini Hawa watu 3 ni utatu mtakatifu wa CHADEMA; wakifanya kazi kwa ushirikiano CCM hawawezi kutamba 2015. watachakazwa vibaya! Ndo maana kuna juhudi za kuwagombanisha! Nawakilisha!
Sikupingi. Ila timu ya CDM ni kubwa na ya uhakika.Kikubwa watu waone bendera watakusanyika na kusikiliza ujumbe wa ukombozi.
 
Safari hatuna haja tena ya kutumia ballot box kama 2010, kama unabisha rejea kauli mbiu na falsafa ya NGUVU YA UMMA huo huwa sio wimbo bali wachache tunajua maana yake so inabidi mjipange kuhama nchi.

Mtakuja na nguvu ya Umma ,wao watakuja na nguvu ya kura na kuwashinda 2.
 
Sikupingi. Ila timu ya CDM ni kubwa na ya uhakika.Kikubwa watu waone bendera watakusanyika na kusikiliza ujumbe wa ukombozi.
Kama ni issue ya bendera hata mimi ntahudhuria, lakini si kupiga kura kwa chama ambacho tayari matajiri tena wa kabila moja wameshawekeza kwacho kwa kisingizio cha kukichangia, chama ambacho tayari kimeshaweka rehami raslimali za nchi kwa wazungu kwa kizingizio cha misaada na zaidi kuahidi kutekeleza sera ya ushoga.Siwezi kukipigia kura chama ambacho tayari kimetangaza kujitenga na kuwa taifa huru la CHAGGA.
 
Simple jangwani.

SlaaMkono%281%29.jpg
 
Back
Top Bottom