Dr. Slaa & Mbowe, Right timing but wrong Strategy!!!!

Nyantella yuko sahihi Kuhoji na kuwasilisha Mawazo yake, ila tatizo Nilionalo inaelekea wana CDM wengi Hawataki kuhojiwa na Kukosolewa, utaitwa Msaliti. Huo ni Udikteta. Nilimsikia Freeman akiwahamasisha Watu kule Mwanza wauondoe Utawala uliopo na wafanye Kama Tunisia na Misri! Lakini kama alivyofafanua Nyantella, kule Hakukuwa na Chama cha Siasa kilichohamasisha kuondolewa Viongozi wao, Hebu angalieni Maandamano ya Tunisia na Misri, hakukua na Bendera ya Chama chochote Bali walipeperusha Bendera za Taifa! Lakini hapa Kwetu tuliona Bendera za Chadema na Viongozi ambao Nia yao Dhahiri ni Kuingia Ikulu kwa njia Yoyote ile. CDM pamoja na Wale wote walioandamana Sio Majority ya WaTz na wala Hawawakilishi dhamira ya Kweli ya Watanzania wote Bali wana Capitalize kwenye Matatizo ya Kweli ya WaTz ili kutimiza Malengo Yao, Siamini kwamba Kweli CDM ukishika Madaraka Nchi yetu haitakuwa na Matatzo kabisa, itakuwa ni Asali na Maziwa tu. Si Slaa wala Freeman wanaojua Shida za Kweli za Mwananchi wa Hali ya Chini, wao wana Hali nzuri Kimaisha na wala Hawaijui njaa, Wahenga walisema "Ashibae hamjui Mwenye njaa" na Hata ilani ya CDM haina Tangible Strategies za kumuEngage Maskini katika Emancipation process yake! Slaa na Chadema tunaweza kuwalinganisha Vizuri zaidi na Savimbi na UNITA, wote Waligombea Urais wakashindwa, Wote walikataa Matokeo, Wote walianzisha Harakati za kutaka Kuuondoa Utawala ulioshinda kwenye Kura kwa madai Uchaguzi umechakachuliwa, Damu ya Angola ilimwagika sana kwa Miaka mingi, Mwishowe Savimbi alichinjwa na Amani ikapatikana kwa Kiwango kikubwa, lakini watawala ni Walewale na wala UNITA haikushinda. Sasa CDM nayo inalilia lazima Damu imwagike, basi na Waanze kujiua Slaa na Mbowe Kama alivyolianzisha Yule Kijana wa Tunisia alievunjiwa Mkokoteni wake na Polisi kwa Kujichoma moto Mbele ya Ofisi ya DC, kinyume chake itakuwa ni Sawa na ya Savimbi. Chadema msitupeleke huko! "... anyone who Abandons WHAT IS for WHAT SHOULD BE pursues his Downfall rather than his Preservation!" Nicollo Machiavelli, 1513.

Mi bwana ckuelewi hata kidogo, hata sina la kusema maana sijui pa kuanzia, kwa kifupi mimi nio mmoja wa wanaotaka mabadiliko, hao wasio na uchu wa madaraka wametawala nchi kwa miaka kibao na hali ndio hii, hakuna aliyesema kwamba cdm watamaliza matatizo, tuache na wengine wajaribu, hata chakula huwezi kila hichohicho kila asiku we need change, jibu zuri utalipata ukiangalia idadi ya wanaohudhuria mikutano ya cdm,
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom