Dr. Slaa, Mbowe na Godbless Lema wakamatwa

godlisten nikufundishe kitu
kwanza hongera kwa taarifa
vita vyetu si juu ya damu na nyama
--watapiganaaaaaaaaaaaa lakini awatashindaaaaaaaa
--Mungu awasimamie so wewe kama wewe hata uitaji kwenda huko simama na NENO LA MUNGU ATAWATOA

nimeona mimi hili live....tena hapo central wakati nikiwa natafuta leseni nikazungushwa na wengi sana wengine wanataka hela ndefu kama wananunua ikulu nikamwomba mungu nikasima na kumuitisha kuanzia rto na wengine wote wawe chini yangu nitakapofika nakuhakikishia nimefika kwa inspector mmoja aliposhindwana na mimi kwenye mahesabu akaniambia nenda kwa rto..kumbe ananipa green light nilipofika nikawakuta kama watu 4 alipokuja kutoka nje akamuuliza kamama kamoja secretary wake hawa wanashida gani mnawajaza hapa ovyo wakasema leseni akatuita wote akatuambia ni nii ni zaidi tukamwambia nakwambia yule baba alichukua karatasi akaomba majina yetu na kuttuliza wewe unataka leseni gani .d.e. kila mtu akataja anayoitaji...akaandika notice twende kwa inspector fulan akatupe leseni tulipofika karatasi nampa inspector alienitolea nje kunipa leseni tena kwa pesa akakuta memo wapeni haraka sana leseni na mwisho akaandika marufuku kuleta watu ofisini mwangu hii siyo sehemu ya kutolea leseni mungu ambariki sana ...

Nikatoa docs zangu nikaja baada ya siku 4 ...yule inspector akuamini kilichotokea labda nikupe ushuhuda zaidi leo ni mzee wa kanisa ninalosali huyo inspector na aliletwa na rafiki wa mkewe akaleta ffamilia nzima..so swala sio kuwatoa swala ni kujua mamlaka tulionayo hapa dunian wish ningewaambukiza kila mmoja mamlaka nilionayo hata huyo mbowe na silaa wanachoongea sio wao ni mungu anawatumia so wala msihangaike ni mapito na ninavyoongea...nenda kama unaenda fika pale sema nakutiisha ewe sheria/inspector na kila mamlaka iliochini ya ardhi ya central ukawaaachie watu hawa taja majina kwa jina la yesu wawe huru.. ukiishia watu hawa mungu anasikia atawaachia hata majambazi yaliokamatwa usiku wa kuamkia leo so uwe makini unachoongea

MUNGU AKUBARIKI
 
Hawawezi kuwafanya kitu. coz wanajua kuwakamata hao ni sawa na kukamata Nyoyo za watanzania.
Msimamo upo pale pale hatuna iman na polisi.
 
nani asiyejua kama hiki ni chama cha wachaga na siku hizi wakatoliki nao wamejiunga.Hata wewe waonekana ni mchaga pia.Pole sana ukweli unauma
wachagga wapo moshi na arusha kuna wamasai kwa wingi, pamoja na makabila mengine mchanganyiko,,, usilete ukabila hapa.
 
Mkuu, kwanza jana nimekuona Malumbano ya hoja ITV, umetoka shavu sana siku hizi...ok we ni mjumbe wa kamati kuu, unadhani inaweza kuwa kweli wote3 wakakamatwa kwa wakati moja? lekebisha title yako, watakuwa wamekwenda wenyewe? or wametii wito wa wa POLIC? kwa namna yoyote kukamatwa pamoja ngum anyway tutaona part2

Mkuu tuweke pembeni ushiriki wake ITV, tujadili hoja hii inayohusu mustakabali wa Taifa letu. ametaka abadilishe kuwa iko confirmed kuwa wako central. Wamekamatwa, ama wamejipeleka si hoja. Hoja ni kuwa wako central na polisi wanawahoji.
 
Na bila shaka hii haitakuwa hbr nzuri kwetu Wanamapinduzi!

Ila hakika nawaambia wadau ya kwamba hii serikali ya mafisadi wanajichimbia kaburi ingali mapema na watajizika wenyewe!

Ngoja habari hii ije na taarifa kamili na tujue kilichopelekea haya kuwa hivi!
 
godlisten nikufundishe kitu
kwanza hongera kwa taarifa
vita vyetu si juu ya damu na nyama
--watapiganaaaaaaaaaaaa lakini awatashindaaaaaaaa
--Mungu awasimamie so wewe kama wewe hata uitaji kwenda huko simama na NENO LA MUNGU ATAWATOA
NIMEONA MIMI HILI LIVE....--Mungu awasimamie so wewe kama wewe hata uitaji kwenda huko simama na NENO LA MUNGU ATAWATOA
nimeona mimi hili live....tena hapo central wakati nikiwa natafuta leseni nikazungushwa na wengi sana
wengine wanataka hela ndefu kama wananunua ikulu nikamwomba mungu nikasima na kumuitisha kuanzia rto na wengine wote wawe chini yangu nitakapofika nakuhakikishia nimefika kwa inspector mmoja aliposhindwana na mimi kwenye mahesabu akaniambia nenda kwa rto..kumbe ananipa green light nilipofika nikawakuta kama watu 4 alipokuja kutoka nje akamuuliza kamama kamoja secretary wake hawa wanashida gani mnawajaza hapa ovyo wakasema leseni akatuita wote akatuambia ni nii ni zaidi tukamwambia nakwambia yule baba alichukua karatasi akaomba majina yetu na kuttuliza wewe unataka leseni gani .d.e. kila mtu akataja anayoitaji...akaandika notice twende kwa inspector fulan akatupe leseni tulipofika karatasi nampa inspector alienitolea nje kunipa leseni tena kwa pesa akakuta memo wapeni haraka sana leseni na mwisho akaandika marufuku kuleta watu ofisini mwangu hii siyo sehemu ya kutolea leseni mungu ambariki sana ...nikatoa docs zangu nikaja baada ya siku 4 ...yule inspector akuamini kilichotokea labda nikupe ushuhuda zaidi leo ni mzee wa kanisa ninalosali huyo inspector
na aliletwa na rafiki wa mkewe akaleta ffamilia nzima..so swala sio kuwatoa swala ni kujua mamlaka tulionayo hapa dunian wish ningewaambukiza kila mmoja mamlaka nilionayo hata huyo mbowe na silaa wanachoongea sio wao ni mungu anawatumia so wala msihangaike ni mapito na ninavyoongea...nenda kama unaenda fika pale sema nakutiisha ewe sheria/inspector na kila mamlaka iliochini ya ardhi ya central ukawaaachie watu hawa taja majina kwa jina la yesu wawe huru..ukiishia watu hawa mungu anasikia atawaachia hata majambazi yaliokamatwa usiku wa kuamkia leo so uwe makini unachoongea

MUNGU AKUBARIKI
Story ndefu ya nini? Hebu watishe sasa hao PoliCCM wawaachie ndio uje na stori zako hizo. Usisubirie hadi watakapotoka wenyewe ndio uje ukijidai eti uliwakemea kwa kupitia mamlaka uliyonayo. Labda hiyo mamlaka unaipata kutoka kwa Chama cha Mabwepande!
 
Kamanda Mbowe, Dr Slaa na Lema wako central, tuungane kwenda pale ili tutumie nguvu ya umma asubuhi hii. Saa ya ukombozi ni sasa.

kwani wamefungwa? wamepelekwa segerea? mbona mnataka kutumia nguvu mahali pasipo pa kutumia nguvu? wameenda kituoni kutoa maelezo ya kina kuhusiana na taarifa za kutafutwa kuuwawa ili walisaide jeshi liangalie namna ya kuwalinda. Sasa ni kuwapa maelezo, halafu tuone kama wana ubavu wa kuwalinda dhidi ya njama na hila za wanaopanga kuwa ulimboka.
 
Back
Top Bottom