Dr. Slaa, Mbowe na Godbless Lema wakamatwa

Asira zangu zinazidi kukaribia kichwa! Hii sirikali ya sisi si M hii!!! we iache tu!!!! siku yao ipo! watakapo tamani ardhi ipasuke!
 
Confirmed through party system, Most likely J. Mnyika huko Dodoma naye atadakwa any time. Invisible naona upo naomba unisadie kuedit heading uzi huu.
 
Wakuu,
Nimetumiwa msg na watu zaidi ya 2 kuwa Mh Mbowe, Slaa na Lema wako Central Muda huu. Hajanieleza kwanini wamekamatwa. Nikipata details nitaziweka hapa.

Mkuu, kwanza jana nimekuona Malumbano ya hoja ITV, umetoka shavu sana siku hizi...ok we ni mjumbe wa kamati kuu, unadhani inaweza kuwa kweli wote3 wakakamatwa kwa wakati moja? lekebisha title yako, watakuwa wamekwenda wenyewe? or wametii wito wa wa POLIC? kwa namna yoyote kukamatwa pamoja ngum anyway tutaona part2
 
Asira zangu zinazidi kukaribia kichwa! Hii sirikali ya sisi si M hii!!! we iache tu!!!! siku yao ipo! watakapo tamani ardhi ipasuke!
Siku yao ipi kila siku una-post maneno tu badala ya kufanya vitendo? Ama kweli Dua la Kuku..................
 
ccm wanafanya hivi kuwajengea wananchi hofu,ole wenu magamba,ndiyo mnafika mwisho wa kuwanyanyasa watanzania katika nchi yao.Ndiyo unafika mwisho wenu enyi wakoloni weusi.
 
Back
Top Bottom