Dr. Slaa, Mbowe na Godbless Lema wakamatwa

Mikael Aweda

JF-Expert Member
Dec 17, 2010
2,973
3,901
Wakuu,
Nimearifiwa kuwa Mh Mbowe, Slaa na Lema wako Central Muda huu. Hajanieleza kwanini wamekamatwa. Nikipata details nitaziweka hapa.

Updates 1

Ninaomba kuthibitisha kuwa habari hizo ni za kweli, nimewasiliana na katibu wa Chadema kanda maalum ya Dsm.

UPDATES 2
Waliokuwa polisi ni Dr Slaa na Lema tu. wameambiwa warudi Jumatatu. Nimeambiwa na Mmoja wa waliokuwepo eneo la tukio kuwa Dr alisisitiza kuwa wafanyie kazi taarifa za nyuma kwanza ndipo wawahoji.

UPDATE 3
Mosi walitakiwa kituoni ni Slaa na Lema tu.
Pili, wameshaachiwa wote, wametakiwa kurudi jumatatu.
Tatu, baada ya pale waliongea na waandishi wa habari na Dr Slaa aliwasisitizia kuwa lazima wafanyie taarifa za awali (Wenje na Mbunge mwenzake) ndipo wawe na sababu ya kuwahoji kuhusu sakata hili jipya
.
 
wanataka kuwafanya nini sasa!au ndio kulazimisha waeleze juu ya zile shutuma,serikali ya ccm inatapatapa kama mfa maji
 
Makamanda wa cdm Katibu wa chama, mwenyekiti wa chama, na mbunge aliye likizo wamekamatwa alfajir ya leo na kufikishwa central dsm, km kawaida nguvu ya umma tuungane kupigania haki..
 
nina wasiwasi wa kuchomwa sindano za sumu au za kutia uzezeta..confirm habari hizi tukalichome pori la mabwepande kabla hawajawapeleka kule
 
Zilikuwa tetesi muda mfupi uliopita lakini punde zimekuwa taarifa kamili kwa hisani ya poli-ccm.
 
lazima watoe ushahidi wa tuhuma walizozitoa, wasituharibe amani yetu kwa uroho wa madaraka
 
hata mimi nimepigiwa cm wapo central fahamisheni vijana wote matawini...
 
Back
Top Bottom