Dr. Slaa maliza honeymoon urudi kazini

unatafuta bwana sio!!
siku zote nimekuwa nikilia na MODS kuhusu hizi post za aina hii sio za kisiasa na ni za kushambulia binafsi zinaachwa tu mwisho watu wana conclude vibaya kuhusu jamii forums!!!
 
Wakuu namuomba Dr Slaa arudi kazini na aokoe hili jahazi. gafla nahisi chama kimepoa mno. Mbowe hasikiki, Slaa nadhani mambo ya ndoa yalikuwa yanamaliza mda na sasa yameisha arudi,. Mambo ya hotuba ya Mnyika ya nishati na madini na mchango wa Selasini umetuachia maswali mengi hasa sisi ambao hatuko ndani ya ''system''. Shutuma juu ya Zitto hasa hili la Tanesco na la uraisi. Swala la Singida na mauaji baada ya mkutano. Dr Slaa nadhani ni wakati muafaka uje mbele ya hadhara na useme lolote ili watanzania tujue CHADEMA inamtizamo gani juu ya haya na mengine ambayo hatujayasikia. Ukimya wenu unafanya wengine tuhisi kuwa kuna msuguano ndani ya chama. Nawasilisha

Lumumba propaganda unit @ work mwisho wa mwezi umewadia
 
Msijifanye machizi, ndoa haikufungwa kwa sababu ya zuio la mahakama! Rose anadai kulikuwa na ndoa ya kimila baina yao! Hakuna hata gazeti moja limeripoti ndoa hii hata Tanzania Daima! Josephine thibitisha!
 
inaonekana unajua sana. Wewe ndiye uliyekuwa msimamizi nini!?
 
siku zote nimekuwa nikilia na MODS kuhusu hizi post za aina hii sio za kisiasa na ni za kushambulia binafsi zinaachwa tu mwisho watu wana conclude vibaya kuhusu jamii forums!!!
honeymoon ya DR ni siasa sio.....ulileta ***** unajibiwa *****..kilaza mkubwa wewe
 
Baada ya padri kuzini kwa muda mrefu ameamua kuoa. Ndoa ya babu na bibi.
 
Ina maana Chadema bila Slaa haiwezekani?
Hii ni dhana potofu kumtegemea mtu mmoja. Eti chama kimepoa. Hivi huoni kazi za bavicha wanazozifanya?
Too bad of you...
 
Eti maliza honeymoon kawadanganye watoto wako huko hichi kibabu na kwambia hakitaoa miaka yote 70 ije aoe leo anamzingua yule mama tu halafu ndo atatia aikili kungangania talaka mahakamani ili uolewe na babu.Kampiga chini mwanamke aliyezaa nae watoto ije kuwa huyu ambae hata kivuli bado
 
Mnawa"provoke" watu wakiwajibu mnawakebehi. You are real a great thinker!

Mkuu kusema Rose Kamili anataka fidia ya milioni 550 ndio uchokozi au kukasirisha hayo siyo maneno yangu.
 
Wakuu namuomba Dr Slaa arudi kazini na aokoe hili jahazi. gafla nahisi chama kimepoa mno. Mbowe hasikiki, Slaa nadhani mambo ya ndoa yalikuwa yanamaliza mda na sasa yameisha arudi,. Mambo ya hotuba ya Mnyika ya nishati na madini na mchango wa Selasini umetuachia maswali mengi hasa sisi ambao hatuko ndani ya ''system''. Shutuma juu ya Zitto hasa hili la Tanesco na la uraisi. Swala la Singida na mauaji baada ya mkutano. Dr Slaa nadhani ni wakati muafaka uje mbele ya hadhara na useme lolote ili watanzania tujue CHADEMA inamtizamo gani juu ya haya na mengine ambayo hatujayasikia. Ukimya wenu unafanya wengine tuhisi kuwa kuna msuguano ndani ya chama. Nawasilisha
Njaa mbaya sana...
 
Back
Top Bottom