Dr. Slaa makampuni yasiyorejesha pesa za EPA hadharani

Linafanyiwa kazi miaka mingapi? Deadline ilikuwa lini? Miaka kadhaa imepita bado linafanyiwa kazi. Suala la Gr
een Finance na TANGOLD litafanyiwa kazi lini? Unataka kashfa mpya zipi? Mbona zimeshaibuliwa au hadi aibue Slaa?
Hapa hamna jipya..ni yale yale ya kila siku tuliyoyazoea!
 
Huyu Slaa hana mambo mengine ya msingi ya kufanya? An achoona TZ hii ni ufisadi na EPA tu?
Ni muda muafaka kwake kubadilika, tunataka kusikia mambo mapya kutoka kwake, siyo haya ambayo yameshaota sugu masikioni mwetu!!

Unaandika ambavyo hata akili yako inajua kwamba ni wrong!Hasara ya unafiki!!!
 
Mbona gazeti limetuficha hizo kampuni ambazo hazikurejesha fedha zetu jamani, nina hiamini JF ni jukwaa huru, naomba mtu mwenye hayo majina ya hizo kampuni ambazo hazikurejesha pesa zetu hatuwekee hapa Jamvini;

"Hata hivyo, alizitaja kampuni 13 ambazo zimegoma kurejesha fedha hizo (majina tunayo) na kwamba hazijalipa jumla ya fedha zote zinazokisiwa kufikia sh bilioni 50"

Na ndiyo maana mi kila siku nasema vyombo vya habari havitutendei haki, iwaje dr ataje halafu wao wasiandike kama dr kawaambia kuwa hayo makampuni yasiandikwe, kulikuwa na haja gani ya kutumbia hii habari ili hali walichokiandika kwenye kichwa cha habari hawajakitaja
 
Huyu Slaa hana mambo mengine ya msingi ya kufanya? Anachoona TZ hii ni ufisadi na EPA tu?
Ni muda muafaka kwake kubadilika, tunataka kusikia mambo mapya kutoka kwake, siyo haya ambayo yameshaota sugu masikioni mwetu!!

Kwa watu kama type yako haya mambo yanaonekana si ya msingi, ila kwa sisi tunaoona kuwa ni ya msingi tuna haki ya kuhabarishwa
 
nakumbuka last week Via TBC1 alisema kazi ya sasa CHAMA MAKINI CHA SIASA - CHADEMA ni kuanika vyanzo vya uozo na si kuutaja uozo pekee na serikali inapaswa kufanya kazi kwa umakini kuzuia uozo hapo wao ( CHADEMA ) watakuwa wamekosa ajenda

nadhani kwa hili ameanza " kila la heri "
 
Huyu Slaa hana mambo mengine ya msingi ya kufanya? Anachoona TZ hii ni ufisadi na EPA tu?
Ni muda muafaka kwake kubadilika, tunataka kusikia mambo mapya kutoka kwake, siyo haya ambayo yameshaota sugu masikioni mwetu!!

Hivi wewe ndugu unachukulia hii kama ni hadithi tu au !! Watu wako serious unafuatilia issue mpaka inapatiwa ufumbuzi!! Kwani suala la Ufisadi na EPA suluhu yake imepatikana? Bahati nzuri DR. si msanii wa kuibua issues za kuwafurahisha watu kwa maslahi yake ya kisiasa. Anataka aone output ya issue hizo alizoziibua ndio aendelee na mambo mengine. Huwezi ukaacha jambo kiporo halafu unakimbilia kuibua issue nyingine!! Endelea mbele Dr. Slaa hakuna wa kukukatisha tamaa tupo pamoja nawe!!
 
Slaa kweli ni "opportunist" kwani anajuwa kabisa kuwa hili jambo linashughulikiwa na Serikali na Takukuru na anajuwa kabisa kuwa karibu litatangazwa, anawahi aonekane yeye ndio kaliibuwa. Amma kweli mfa maji haishi kutapatapa.

Wewe sijui ni mke wa Malaria Sugu?!! manake wewe na MS mnaongea kama sio watanzania nahisi nyie sio raia wa hii nchi kabisa...
 
Majina ya makampuni ambayo hayaja lipa ni yapi hayo!


Yanafahamika, rejea report ya kina Mwanyika!!! It is not news guys; ilitajwa categorically kwamba makampuni 13; walishindwa kupata identification ya makampuni ya nje ambayo ndio yaliyosemwa/yalidaiwa yamatoa hati za kuchukuliwa hela zao!!! So Rais akasema kazi hii inakuwa ngumu;
 
Back
Top Bottom