Dr.slaa live east africa tv leo saa moja jioni

Chumba chenyewe cha mahojiano chekundu utafikiri cha Surge Knight au some Dahomey Queen, kabla hujaanza kusikiliza hoja ushaumia macho.

Kipindi kingine kinaendeshwa na Mpoki Michael (Mwambulukutu?) mtu anaendesha kipindi cha TV, halafu yuko studio indoors, halafu kavaa miwani ya jua.

Hivi nani ana direct hivi vipindi jamani?
 
Dr Slaa kamalizia anakunywa maji halafu kampa mkewe amalizie hayo maji. Shigongo yupo?
 
Aisee wakti kipindi kinaisha Dr.Slaa na mkewe wakashea class ya kunywea maji. Kaaza kunywa Dr then mkewe akamnyanganya kabla haijafika mezani.
Love bana!!
 
Nimefurahishwa na kauli ya mama Slaa kuhusu malezi ya watoto lazima yaanzie kwenye malezi ya kiroho....huu ni ujumbe mzito kwenye jamii yetu ambapo mahusiano ya mtoto na ulimwengu dunia hupewa kipaumbele badala ya mahusiano ya mtoto na Mwenyezi Mungu.....
 
Vile vile ujumbe wa Dr. Slaa kuwa maisha ya mwanadamu nguvu yake ni matumaini na moyo wa kuthubutu ni ujumbe wenye rutuba sanan kwa kizazi cha leo...................
 
mzee anapendwa huyu ndo maana anakuwa kijana kila kukicha! Raha kupendwa babu we!
 
Ninaamini ujumbe mzito wa Dr. Slaa kwa vijana unagusa watu wa rika zote ule wa jitambue, jithamini na thubutu katika shughuli zako uzifanyazo...............unafaa kufanyiwa kazi badala ya vijana kuishia kwenye vijiwe tu ambapo hakuna tija yoyote ile............
 
Nimefurahishwa na kauli ya mama Slaa kuhusu malezi ya watoto lazima yaanzie kwenye malezi ya kiroho....huu ni ujumbe mzito kwenye jamii yetu ambapo mahusiano ya mtoto na ulimwengu dunia hupewa kipaumbele badala ya mahusiano ya mtoto na Mwenyezi Mungu.....

Mkuu, nakuaminia sana na hata Avatar yako inashabihiana na unachosema . . .

Ila mkuu, unapotembelea yale majukwaa mengine, usiingie na Avatar ya kitabu kitakatifu . . . . . haaa haaa jukwaa linaweza kichomwa moto!
 
Nimeipenda kauli ya mama josephine kumaintain gender reality badala ya equality isiyokiri natural gender difference. Amekwenda mbali kuelezea gender responsibilities katika jamii. I like it.
 
Mkuu, nakuaminia sana na hata Avatar yako inashabihiana na unachosema . . .

Ila mkuu, unapotembelea yale majukwaa mengine, usiingie na Avatar ya kitabu kitakatifu . . . . . haaa haaa jukwaa linaweza kichomwa moto!
Ahsante sana Superman I was late lakini nimehabarika. Hivyo hivyo mkuu
 
Je kwenini Dr Slaa anajitambulisha wa VIjana?

Slaa ana mkakati gani na vijana?

Je tamko lake litapata nguvu kutoka kwa vijana??
 
Mkuu, nakuaminia sana na hata Avatar yako inashabihiana na unachosema . .
Ila mkuu, unapotembelea yale majukwaa mengine, usiingie na Avatar ya kitabu kitakatifu . . . . . haaa haaa jukwaa linaweza kichomwa moto!

Ahsante mheshimiwa kama inawezekana tupe video ya wawili wapendanao nataka kumwona Dr wangu
 
Back
Top Bottom